Wanawake wengi (wazuri wachache wapo) tuna roho mbaya mno

Upo sahihi, roho mbaya haiangalii jinsia. Ila mada yetu inazungumzia upendo/kujaliana kati ya wanawake kwa wanawake, au wanaume kwa wanaume.

Ukiangalia in real life, kwenye circle yako men wapo very supportive kuliko women.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Hata sisi tupo supportive sana
Ni wanawake wengi wamenisupport kuliko wanaume.
 
Kumpisha mtu wala haiangalii jinsia, ni matakwa na moyo wa mtu.

Huyo mwanaume aliyeachia siti alitoka nyuma na kumuita yule dada mjamzito akakae. Kwa mazingira ambayo yule mjamzito alikuwa kasimama,waliokuwa karibu wengi umri ulikuwa umeenda kiasi,ni wawili tu waliokuwa vijana, na wote wanawake. Kati ya hao vijana, mmoja alikuwa amebeba mtoto, nahisi alitoka clinic, mwingine ndio huyo aliyefungua dirisha na kuangalia nje as if hataki kujua ndani panaendelea nn.



Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Hatutakuelewa kiongozi.mkutano wa Beijing Bado uko vichwani mwetu
 
Ukianzisha mada ya mwanamke kumpa/kumsaidia mume wake kipesa utawaona wanawake wanavyokuja speed na vimaneno vyao kua oooh "siwezi honga mwanaume" "siwezi toa hela yangu nikampa mwanaume",nk

pesa ya mwanamke,msaada wa mwanamke sio kwa mwanaume tu ila hata kwa mwanamke mwenzake kutoa ni kwa mbinde sana na ukiona mpaka kajitoa yeye muda/pesa yake ujue kuna external factors zimem push yeye kufanya hivyo la sivyo nakwambia asingejitosa.

tembea tu na mwanamke kisha mkipita njiani apite omba omba,utamsikia anasema "maskiniiiii huyu anateseka" baby hauna hela hapo tuwape,yani badala azame kwenye wallet yake atoe hela yake ampe yule omba omba,atakwambia wewe utoe yako na kwakua baby kashatoa go ahead huwa wanaume hatuna ubishi tunafungua wallet kilichopo unachomoa unampa yule omba omba.

yani kuna vitu vingi sana vinavyodhihirisha ubaya wa mwanamke,sema ni kwasabbu hawana uwezo lakini hawa viumbe wangekua wanauwezo ni hatari sana,matukio mabaya wanayoyafanya wanaume chanzo n wanawake,mwanamke amekaa akiamini kila tatizo mtatuzi ni mwanaume yeye kajiweka pale kama bosheni flani tu.

Akianguka mdada kwa matatizo ya kiafya hutoona mdada mwenzake anaenda msaidia hata kama atakua kaona,yani ukikuta mwanamke ana roho ana utu ana moyo wa nyama lazima atakua AGE imesogea ni mama flani mtu mzima sana ila hizi age 40 kushuka asee sio watu eti hawa.

imefikia mahali mimi nikasemaga wanawake huanza kuwa na utu wakishakaribia menopause,ila kabla ya kufika hicho kipindi hapa kati kati wenye utu na moyo wa kibinadamu ni mama angu tu na mama ake wewe unaesoma hii comment.
Hapana mkuu kuna wenye upendo na kujali ana hata kabla ya kufika umri huo ingawa ni wa kulenga kwa tochi aiseh.ingawa pia na umri unachangia kwa kiasi fulani
 
Upo sahihi, roho mbaya haiangalii jinsia. Ila mada yetu inazungumzia upendo/kujaliana kati ya wanawake kwa wanawake, au wanaume kwa wanaume.

Ukiangalia in real life, kwenye circle yako men wapo very supportive kuliko women.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Bado haujapingwa ndugu yangu 😅😅
 
Habari ya muda huu natumai muwazima nyote.
Moja kwa moja nisipoteze muda.

Tukio la leo(jana) limenifanya nikakumbuka miaka michache iliyopita nilipoteza fahamu katika moja ya usafiri wa umma, kizunguzungu kikali sana kilinipata nikajikuta naanza kuyumba (kupepesuka)nilikuwa natafuta nafasi ya kupata fresh air...aiseh kila niliyekuwa natua kwake alikuwa ananisukuma na kunikwepa na hao walionifanyia hayo ni wanawake wenzangu(hapo taratibu naanza kupoteza fahamu) nakumbuka kabla macho hayajazima kabisa nilimuona mwanaume kwa mbali akinidaka.baada ya hapo sikumbuki nini kiliendelea lakini nilijikuta hospital.

Kilichotokea leo(jana)
Mmama omba omba,kipofu na yuko na mtoto wa mwaka na nusu au miaka miwili hivi mgongoni katika harakati zake za kujitafutia mkate wa kila siku(kuomba)akawa anatafuta namna ya kutoka(sehemu aliyopo ilikuwa inawatu na mtoto alikuwa anaanza kulia)alikuwa anatumia ile fimbo yake so ikawa kila akipapasa fimbo inawagusa watu(niliona wanawake kama 15 hivi wamekaa sehemu moja.nilikuwa kwa mbali lakini niliweza ona kila kitu)cha ajabu wote walikuwa wanamkwepa(Sijui walikuwa wanajikuta nani kwa mfano)kwa hiyo ikawa kila akipapasa na kutembea anaparamia Watu..nilitamani kama ningekuwa Karibu ningemsindikiza mpka sehemu ya njia aendelee na mizunguko yake maskini ..

kwa mbali nikamuona mwanaume mmoja akimsaidia yule mama kidogo huzuni ikapungua.

Sio mara moja kuona mwanamke akishindwa kumsaidia mwanamke mwenzie au mtu mwingine yeyote ili hali uwezo wa kumsaidia anao(sizungumzii pesa wala sio kwamba wanawake wote wana roho ngumu sana hapana wachache sana wanakuwa na mioyo mizuri mpka unamshangaa!!huyu ni mwanamke kweli?)sijui ni nini mbaya na sisi jamani
Sizungumzii kusaidia kila mtu hapana nazungumzia wale watu ambao wanauhitaji hata kwa kuwaangalia tu.

Sijaandika haya ili nionekane pengine mimi ni ni mtakatifu hapana mi mwenyewe ninamapungufu kibao lakin swala la kumsaidia mtu haliangalii mapungufu wala uhimara wa mtu.inaangalia moyo wako Na huruma na kujivalisha kiatu cha mhusika unaemuona anahitaji msaada kwa wakati huo.

Nilijaribu kuvaa viatu vya yule mama nikajikuta nashindwa kabisa huzuni ilinijaa nafsini mwangukuliko kawaida, najua Ni ngumu kubadilisha vitu kwa haraka taratibu wanawake wenzangu tujaribu kuvaa viatu vya wahusika(kama yule mama asiyeona)pengine inaweza kusaidia kutoa msaada wa haraka kwa wahitaji..pengine.

Sisemi wanaume wasisaidie...hapana!kati ya wanaume na wanawake,mwanaume ndie kiumbe mwenye huruma zaidi kuliko mwanamke.usiniulize utafikiti wangu nimeufanya wapi,Hata wewe unaweza jifanyia utafiti hapo ulipo kuhusiana na hili

Naomba nipunguze hili gazeti.
Mshukuru Mungu kwa alivyokuumba kuna mtu mwingine hana baadhi ya viungo ulivyonavyo wewe.

Tuwe ni watu wa kusaidia wengine bila mategemeo yoyote kwa kidogo tunachojaaliwa tupate thawabu kwa Mungu.

GM.
Imekaa vema haya mgonjwa akiingia kwenye basi sijawahi kuona mwanamke kapisha siti wote hujifanya Wana matatizo,, mwingine anakuambia nimegeuka na Gari nimelipa nauli Mara mbili nimpishe mtu? Hapana yaani ubinadamu kwa kina mama Ni zero kabisa
 
😅😅jamani mbona hata manjemba yanapishana huko angani 😆😆😆
Ni kweli ila wanawake ndiyo wanaongoza zaidi katika uchawi, mfano kuiba waume za watu au marafiki zao, kuchezea na kuua watoto wa majirani zao, kunya nyumba za watu na upuuzi kibao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom