Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

wanawake starting F6 to varsity wengi kweli they are so stubborn, tatizo ni kujiona wamefika, but u cannot override nature, most of them wanadharau, ukikuta kaolewa mchunguze ni balaa huko home, her husband is almost rubbish to her, hili ni kweli, na wana shindwa kutofautisha
maisha ya ndoa, familia na kazi or their profession, they don't have limit yy kila mahala ni boss hadi home, huu ni ushamba sana/ blind to who they are once educated, mm binafsi napenda mwanamke mwenye elimu mwisho Diploma, period

Insecurity at its best!!!Heshima hailetwi wala haiondolewi na ELIMU!!
 
mmmmmmhhhhh ndugu yangu naona umeamua kuniamsha asubuhu asubuhi......
ahhhhh bwana naposema 50/50 namaanisha zile shughuli ambazo zilikuwa za wanawake na wanaume wafanye....(which is happening a lot these days)
yap nakubaliana nayawe hatuwezi kuenda 50/50 katika mambo yote ..... lakini kwa yale yanayowezekana ...
na nilisema kama unaweza kuoa ambaye hajasoma kwasababu ya madai yako hapo juu (waliosoma ni wasumbufu) na si kwa ajili ya 50/50....
bado tnataka wanaume wawe vichwa vya nyumba zetu,,,
lakini ikija kweny decision making kuhusu mambo mengi ya hapo nyumbani na mengine mengi tunataka kuwa part of it..
si kama hapo miaka ya nyuma anachosema baba ndo kinachoenda mama hanausemi.....
Usikimbilie kwa asiye soma, tunataka nyie mlie soma. Sawa wanaume tunaweza kufanya kazi zote mwanamke anzofanya ukiacha kuzaa, kunyonyesha etc. Lakini sidhani kama mwanamke anaweza fanya kazi zote mwanaume azifanyazo kwani nyingine itaonekana ni kumnyanyasa badala ya usawa tunao uzungumza. Mimi naamini hakuna sehemu iliyo andikwa kuwa kazi za baba John ni hizi na za mama John ni hizi ila majukumu yapo automatique na tunayajua. Tusidanganywe na wanaharakati wa kwenye TV tutavunja ndoa wzetu nzuri.
 
pole anza kujiamini kama mwanaume,na yeye atakuheshimu...
Ukiwa hujiamini hata ukipata mwanamke ambaye hajasoma atakuendesha tu...:teeth:

sio swala la kujiamini ni swala upstaire kuliko jazwa fikra za wanaharakati wanao jitfutia riski zao
 
wengi ni ushamba zaidi unawasambua maana miaka ya huko nyuma walikuwa wamebanwa sasa wakiachiwa kidogo na kupata ka elimu inakuwa tabu tupu ila siyo wote kuna wanawake waliosoma tena wametoka familia za mambo safi lakini wametulia vizuri tu
kweli ni tabutupu.
 
wanawake starting f6 to varsity wengi kweli they are so stubborn, tatizo ni kujiona wamefika, but u cannot override nature, most of them wanadharau, ukikuta kaolewa mchunguze ni balaa huko home, her husband is almost rubbish to her, hili ni kweli, na wana shindwa kutofautisha
maisha ya ndoa, familia na kazi or their profession, they don't have limit yy kila mahala ni boss hadi home, huu ni ushamba sana/ blind to who they are once educated, mm binafsi napenda mwanamke mwenye elimu mwisho diploma, period
atapata degree siku uone cha moto, hausiGEL Atakufanyia kila kitu.
 
Nyie bwana....
Kiburi ni hulka ya mtu...hata alieishia vidudu anaweza kuwa na kiburi vile vile!Sasa elimu gani inayompa kiburi hapo???
Tatizo lenu mnataka wanawake wabaki kua watu wakuambiwa na kufanya tu chochote wanachoambiwa hata kama sio
sahihi....basi mkikutana na mtu anaeweza kusema hapana basi inakua tabu.Na kama mtu hujiamini kwenye mahusiano
yako lazima utaona vitu vingi tu visivyokuwepo...kimoja wapo ni hicho kiburi!!!Uanaume sio kumwendesha au kumsukuma
mwanamke kama punda ,zama za kale zimeshapita....wanawake wana sauti sasa so get over it!!
Heshimu uheshimiwe...Dharau udharauliwe!!!:teeth:
lIZZY HATUJA SEMA WOTE. OFCOZ MWANAMKE ALIYE ELIMIKA NA ANAYE JUA NAFASI YAKE UTAPENDA. NIMEWAHI KWENDA NYUMBA MOJA YA RAFII YANGU LAKINI MAMA NILIYE MKUTA PALE ALINIDUWAZA , KWANZA JINSI ALIVYO KUWA ANAMTREAT YULE HOUSE HELP (HG) NA JINSI ALIVYO KUWA SIMPLE PALE HOME. BAADA YA KUULIZA NIKAAMBIWA KUMBA ANA MASTERS NA ALIKUWA KIPANGA PALE MLIMANI. AKIWA NYUMBANI NI NYUMBANI KAMA MWANAMKE NA MLEZI WA FAMILIA. AKIWA OFISINI NI BOSS NA LAZIMA AHESHIMIWE. TUNACHO GOMBA NI KUTOTEKELEZA MAJUKUMU YAKE KTK FAMILIA ETI KWA SABABU AMESOMA.
 
huwa ni inferiority complex kama mzee hujapiga kitabu!! Kama na wewe umepiga kitabu, una kazi nzuri hakuwezi kuwa na shida.
Problem ni pale mama atakapo anza kulipa fadhila ya kupewa uwaziri, ukurugenzi kwa kutoa uroda kwa waheshimiwa, hapo shida ita anza. Na kama ukifanya utafiti wako utagundua wengi wenye kiburi huko nyumbani ujue wazee wamesha anza kumega.
.
Mungu aniepushe na hili. Duniani tabu tupu. Ukisikia habari za mawaziri wamabutu utalia machozi.
 
you are too general! And you need to substantiate!

"wanawake wengi hasa wa kitanzania"= wangapi?
"waliosoma"= kwa kiwango gani? Std 7, f4, f6...?

Na ni usumbufu gani huo ambao unafikiri wasiosoma ndio hawanao?
asante wewe kama umesoma na upo safi ok, lakini ama umeolewa uliza baba john kama siomsumbufu kisingizio usomi usomi wako utashuka. Tunacho taka mkifika home vua vyeti vyako na vyeo vyako vaa degree yako uliyopewa siku ya kiapo ya ulezi wa familia, mambo kwisha. Mzee akija ajue kuna mtu (mywife). Siyo unakuwa kama trafic ni amri kwenda mbele utafikiri upo ubungo junction . Ofcourse tunapenda msome na zaidi yetu mtukomboe wanaume.
 
Twanga kotekote - Mwanamke akikusumbua tafuta "small house" - small house akileta tabu nenda "ohio street" - acha kuumiza kichwa kwa sababu ya mwanamke - there are so many "out there"
duu kumbe hatari ivi?
so wanawake wooooooote nii sawa sawa? wa ohio ,mkeo wa hm,hawala?wanafanana kitabia na status?
na hauwez kujichek labda wewe ndo sababu ya mkeo kukengeuka?so utakuwa unahama vihota tu?mbona hatari jaman?
poa
 
.
Mungu aniepushe na hili. Duniani tabu tupu. Ukisikia habari za mawaziri wamabutu utalia machozi.
tabia izi ni za mtu bnafsi
si mtu mwenye usomi basi ndo anakengeuka n nt wife material
kuna wasiosoma na ni wasumbufu balaa kuna waliosoma lakin ni wazuri kitabia usipime
mzizi mkubwa jee mlipendana wakat mnaoana?
je wwe mwanaume unasimama km mwanaume ndan ya nyumba?unamuheshim mkeo ?if so automatically na yeye piua atakupenda sana tena sana na atakuwa mkemwema ndani ya nyumba!
pbm yenu wanaume nyinyi mnajishtukia mkiona mkeo kaenda shule /anapokea pesa ming kukuzd na mbaya zaid uyo njemba awe amelewa udumelism bas shda inapanda cz demu hatakubali umtreat km babu alivyomtreat babu mwaka 1876....
 
Tatizo wanaume mkioa wanawake wasomi/wenye pesa mnaanza kujiona dhaifu.
Kama mimi wife naenda kutafta pesa nikikwambia baki home uangalie watoto unamind. Unataka upewe hela ukazurule. Tatizo huwa hamkubali kuwa house husbands ndio hapo utata unapotokea.
 
Ama? Kumbe wewe Tupu unapenda mamlaka. Ulitaka wanawake wawe chini kielim ili uwe na power eh? Kusema eti wanawake kama wanaume una maana gani kwanza? Kwani mwanaume ananini kichwani ambacho mwanamke hana? Fikra zako hizo sio sahihi kabisa, unatoka poli la wapi mzee? Hata wa polini wanaelewa kama haufit na mked atasumbua tu awe na elim na hasiwe na elim.

Ubongo wa mwanaume na mwanamke unatofauti. this is scientifically proven. Tofauti ya maumbile ni pamoja na tofauti ya brain.
 
wasiosoma balaa. Wakisoma balaa. Wakiwa hawana kitu balaa. Wakiwa na fedha balaaaaa. They are complicated like criket and sometimes bitter like osokoni tree
 
Hivi kwanini wanawake wengi hasa wa kitanzania waliosoma ni wasumbufu katika ndoa. Wakisha olewa nao wanakuwa kama wanaume!!! Tabutupu hii!!!!

Tabu,

Ukipenda tabu itaipata tu ila ukitaka mambo yaende vizuri unaweza kuyaweka sawa. Katika hili tatizo unaloongelea shida iko kwa wanaume zaidi kuliko wanawake. Kama unaweza kukaa chini ukafikiria vizuri basi utakubaliana nami kuwa ni jambo lisiloeleweka kirahisi kuuvunja mfumo ulijengeka kwa miaka mingi na kuzoeleka. Jaribu mfano mdogo tu wa kuwatoa CCM madarakani!

Hata hivyo ujue kuwa hakuna ujanja..dunia imebadilika na kama hutaki kubadilika utasombwa na mafuriko!
 
Twanga kotekote - Mwanamke akikusumbua tafuta "small house" - small house akileta tabu nenda "ohio street" - acha kuumiza kichwa kwa sababu ya mwanamke - there are so many "out there"

Can you say that again BE?
 
Hii ni tabia ya mtu hata kama asome, asisome kama aliumbwa na Kiburi atakua nacho tu.....

Nakubaliana na wewe, nafahamu wanawake wasomi wengi tu na wengine wana vyeo vikubwa, lakini wanafahamu sana responsibilities zao as wives. Kikubwa ni kwamba ndoa ni pande mbili, inahitaji uelewa wa pande mbili na kulingana kwa maadili na utamaduni wa pande mbili za ndoa.

kama wewe ni mchaga unaoa mswahili basi ujue wazi kuwa dunia itakuwa chugu kwako. Kama wewe ni mtu wa Ungija unaolewa na Mkurya au mjita, basi ujue kuwa ndoa itakuwa mgogoro.

Kuna wanaume wanaona kuwa mwanamke ni a possesion na sio binadamu, na kuna wanawake wengine wanaona kama mwanaume ni money spitting machine, wengine wanaona easytu ku-rent miili yao na kuwaita wanaume mbuzi (buzi), hii ni utamaduni. Watu kama hawa hata wasome vipi ni tatizo elimu kwao ni wastage of time. Cha muhimu ni kwamba kama wewe ni mstaarabu na unaheshimu utu wako na wa mtu mwingine ni kuepuka watu kama hawa, jaribu kuangalia mnayendana.

So i would say that it is not entirely true that educated women are problematic and can not make good wives. Those women who are hard headed like mules, are born that way, and they will behave the same way regardless of whether they are educated or not
 
Ubongo wa mwanaume na mwanamke unatofauti. this is scientifically proven. Tofauti ya maumbile ni pamoja na tofauti ya brain.

Kweli ila ujue yafuatayo:
1. Biologically mwanamke na mwanamume wanatofautiana sana na kwa hiyo kuna kazi ambazo hawawezi wote kuzifanya. Je, unajua kwa nini kwenye sports hawachangamani?
2. Intellectually hawana tofauti ingawa uwezo wa ubongo wao unatofautiana kwa jinsi unavyoshughulikia baadhi ya mambo. Ila hakuna tofautia ya IQ kati ya mwanamke na mwanamume
3. Majukumu ya kawaida katika maisha wote tunaweza kugawana bila shida tukipenda au kulazimishwa. Nchi kama Denmarka wameshafika hapo. Wengine bado tunang'ang'ania visingizio vya miaka ya 47. Hatuna ujanja. Hata sisi tutafika huko kwa kadri wanawake wanavyozidi kujikwamua kiuchumi. Kwa hiyo wanaume inabidi tuanze kusoma alama za nyakati na kuyaelewa maandishi yaliyoko ubaoni, tena yakionekana kwa uzuri kabisai!
 
Back
Top Bottom