Wanawake wengi wanashindwa kusema hapana(Directly) wanapotongozwa

Mm kwangu ni rahisi kwa sababu naishi peke yangu nipo huru kwanza kuongea na simu masaa 24.
Najua huyu anapenda kuongea na simu wale wa kuchat hawaumizi kichwa ila ninachojitahidi ni kuwafundisha kuchat zaid kuliko kuongea mara nyingi naweka visingizio kama nina usingizi nina kazi tutaongea saa flani kwahiyo nawapanga tu.

Naendelea kuenjoy kuwachora maboyaa na kuyatapeli vihela vya vocha ili mradi tu mm nakuwa na furaha ya kucheka jinsi ninavyoendesha akili za maboyaa

Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe ndio hivyo inabidi niitishe kikao cha wanaume wote duniani niwajuze mambo mazito niliyo jifunza kutoka kwako duh .nimegundua kwa nini shetan alimkwepa Adam akaenda kuzungumza na eva
 
Kutongoza mkuu? Kuna mazingira huwa wanastuka mzee baba ushamkojolea, na hukuwahi hata kumtongoza hao viumbe wanajijua wenyewe akili zao
 
Hata mm niko hivyo napenda kutongozwa kusifiwa nikutapeli tapeli vihelaaa ndo hivyo tu ila inategemeana na aina ya mwanamme kama una sura baya huna helaa upoupo tu kama mzukulee nakukataa siku mojaa ila ukute mwanamme amemzidi mpaka boy wako nitakuchekea chekea hapo natafuta mbinu unaweza kuwa mpenzi wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂Napenda sana mtu mkweli,,Nikiamini Huwezi kuwa adui kwa kusema ukweli
 
Wanawake wanavyotiririka humu mpaka nahofia kuwa hakuna mapenzi ya dhati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom