Duh! Hiyo ya kumuamkia mume shikamoo kama unamuamkia baba ngumu, lol! Eti shikamoo ...
Ndio hayo basi! Hamjui namna ya kumlainisha mzee na kwa bahati mbaya hawa ndio wateja wakubwa wa Ndowa!
Duh! Hiyo ya kumuamkia mume shikamoo kama unamuamkia baba ngumu, lol! Eti shikamoo ...
hehehe.he, jf bwana vituko haviishi.hii ndiyo sababu
Dah, mimi pia sipendi mpenzi wangu aniambie shikamoo maana itamfanya aniogope kwa kuniona kama baba yake.Ndio hayo basi! Hamjui namna ya kumlainisha mzee na kwa bahati mbaya hawa ndio wateja wakubwa wa Ndowa!
hyo ilikuwa zamani siku hizi wanawake wengi hawapendi kuolewa coz hawataki kubanwa banwa.
Huku Uswahilini kwetu wanawake wengi wanatamani sana kuolewa, lakini cha kusikitisha vijana wengi wa kiume wanaogopa kuoa. Hivi nini huenda ikawa inasababisha hali hii?
We mbona umjichanganya mwenyewe sasa! Yaani ni kama umetoa hela kutoka kwa pochi, umeiweka kifuani kwenye sidiria halafu unaitafuta eti imeenda wapi hela yako!
Mbona haueleweki!!!!!
Wanaume wengi hawapendi kuoa kutokana na sababu hizi:
- wanapenda sana ngono, so wanaogopa wakioa hawatakuwa huru kama mwanzo.
- hawana ufahamu mkubwa wa kwenda na wakati, wao wanadhani bado ni wadogo vile vile so wanahitaji kula maisha zaidi.
- wabinafsi - wanapenda kujifikiria wao tu, wanaogopa familia.
- hawapendi majukumu
- wanapenda kupata wanawake wenye tabia nzuri na anaona bado hajatokea.( hata kama yeye tabia zake hazipendezi)
- Hawapati msukumo kutoka kwenye jamii (binti anaweza kusengenywa kwa kutokuolewa lakini mwanaume haonekani kama amechelewa)
- wanapenda kuwa na nyumba kabla ya ndoa
- wanapenda kufurahia maisha ya ujana kwa muda mrefu zaidi.
siku hizi wanawake ni majangili na wanaume ni wachuna ngozi, hapo unadhani ndoa itatoka wapi?
wanaogopa kuoa,ni wazembe hawapendi majukumu......lol
kuolewa,ni kama heshima fulani hivi,:thinking:
Huku Uswahilini kwetu wanawake wengi wanatamani sana kuolewa, lakini cha kusikitisha vijana wengi wa kiume wanaogopa kuoa. Hivi nini huenda ikawa inasababisha hali hii?