Wanawake wengi wanajua waume zao ndio watatangulia kufa

kwaiz K vant tunazokunywa unarud nyumban uko hoi ukilala unakoroma kama jenereta apo wanatuwazia tu huyu kwa ulev huu hatoboi miaka 20 mbele
 
Ili waanze wao kufa inabidi tuoe wanawake waliotuzidi umri
images.jpg
 
Wakuu tupige mazoezi sanaaaa Tanzania nzima ili tupunguze hii kitu ya kufa mapema kwa wanaume
Alokwambia wanaume tunakufa sababu hatufanyi mazoez nani? Majukum, stress na sonona ndio zinatumaliza, Mwanaume uweze kodi ya pango, mahitaji ya home, matunzo ya mke na watoto, vikoba ulipe wewe, ada, utunze wakwe na wazazi, ndugu jamaa na marafiki afu ukute pesa zakumenga mzee hutoboi 50, na bahat mbaya watoto wakikua wanahamishia mahaba yote kwa mama, utasikia nani kama mama, we unaangamia kwa kukosa mapenzi ya familia ulioipigania ktk ujana wako wote
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom