Wanawake wengi wa Tz warembo, pamoja na matatizo kibao yanayowakabili.

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,846
16,740
Habari za w'end.....!!!Ukiangalia nchi nyingi za Africa, ukiacha Ethiopia, Somalia, Djibouti, na Morocco ambao wanawake wao ni warembo by nature, Tanzania haipo mbali, wanawake wengi pamoja na hali ngumu ya maisha bado wanavutia kisura, kiumbo na hata wacheshi ktk hali ngumu hizo. Kiumbo, ukiacha Somalia, wanawake WENGI wa Tz ndio wanafuatia kwa kuwa na KIUNO KIZURI na MAKALIO YALIOJAA vizuri na hips za kupendeza, wanahitaji matunzo kidogo tu, na wanabadilika na kupendeza, mfano just ugali, samaki, maharage na naziiiii huwapendezesha sana wanawake wa Tz, ukienda Senegal, Ivory coast, liberia, most west & central African countries wanawake ni WAGUMU MNO na wamekomaaaa na hata umlishe nini, weka blue band, mayonnaise, mayai, maziwa hawabadiliki, they are naturally that way, wagumu hadi macho, siko kulaumu, kudharau au kuwasema vibaya huo ndio ukweli, ila wanawake wa kwetu Tz ukiacha nchi ya Somalia & Ethiopia, Tz women wanatisha, hasa kiuno na kwenda chini. Narudia matunzo kidogo tu, mwanamke wa Tz anabadilika paaaap, na kuwa mrembo, kiuno, makalio, hips, hizooooo. Wanawake wa kitanzania hongeraaa.
 
1 Samweli 16:7 inspires me to blurt out that ................. I don't judge as you do as you are bewitched by physical stature of a sleek woman..............I look at her heart and judge her accordingly..........................morphological indulgences have no place in my decisions...............and I believe my verdict is always brimming with righteousness and wisdom.........................

unapompenda dada wa watu ujue maelewano yenu hayako huko ambako umetumia muda mwigi kutuchambulia......................yapo kwenye roho yako kwanza halafu ya yule mlengwa na hizo dhoruba zako............
 
as a woman nisingependa mwanaume aangalie sura au shape yangu kama criteria ya kunichagua kuwa mpenzi wake.....kwa sababu huenda vikibadilika with time,kesho utazaa shape itabadilika na uzee ukigonga hodi mikunyanzi usoni sura inabadilika....mapenzi yanatikiwa strong foundation na sio hivi vigezo vinavyobadilika.....
 
And, ooohhh...!!! Why ur being driven by such hypocrisy? Uhalisia ni tofauti na hisia u have commented so far, wanawake wengi wanapoteza masaa kadhaa daily kujiremba, some they go further to surgery just kuwa warembo, ili wavutie machoni mwa wanaume, sio vinginevyo, so when u say a beauty of a woman is not her physical or morphological appearance ur absolutely lying, i know inner beauty is the last thing bcoz is unseen at first glance u make to a woman, kwanza umbo then ukimjua ndio utajua tabia yake, kama haiendani na yako unaachana nae, stop narrating me uzuri si umbo, both umbo + tabia i.e inner beauty of which utajua later kidogo, ila cha kwanza tukiongelea uhalisia kinachokuvutia kwa mwanamke ni appearance, nyie watu waulizeni kwa nini wanawake wanajiremba kila kukicha? Stop living artificial life in only words to score unnecessary credit, be natural from words to ur doings. I am done
 
Unatuwekea vigezo vyako vya urembo kisha unatulisha..........'. Kaka kila mmoja anavigezo vyake ndio maana kuna aina nyingi za vyakula. Pitapita na vijijini ujionee kariakoo si sampo nzuri
 
duh! mwana nimekukubali ni kwel kabisa wanawake wa ethopia ni balaaaaaaa.....anyways back to the main issue hapa. ukweli ni kwamba beauty plays a significant part in selection of a mate. na pia ni kweli kila mtu ana taste yake katika wat is beautiful lakini ni lazima tukubali kwaba kuna nchi au makabila ambayo generally wanawake wao huwa wazuri. sio kosa kusema kuwa wanawake fulani ni wazuri....ni kusema ukweli tuu hapo. na wengi wanaweza kusema kuwa uzuri wa mwanamke ni ubatili...hapana hapa nikukataa ukweli wa mambo...wapo wanawake wana sura nzuri na tabia nzuri..la msingi ni kukubali kuwa muonekano ni muhimu lakini sio kila kitu katika kuchagua mwenza!!! kuna show moja inaitwa dating in the dark usa ....hapa watu hukutana kwenye giza na kuanza kudate na baada ya muda uomba kuonana...na ndio hapa unapoona umuhimu wa muonekano.....na lakushangaza wanawake ndio wapo makini sana kuhusu swala la looks...dnt be fooled, respect beauty but dont obsess over it!!!
 
Back
Top Bottom