Wanawake wengi wa mjini wanaoonekana kuvutia kisura ama kimaumbo wanadanga......!!

CCM Music

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
1,036
1,782
Hawawezi (wengi) kutulia na mwanamme mmoja.

Huenda ndio sababu wanawake wengi wenye maumbo mazuri ni vigumu kuolewa, wengi huishia kuzalishwa bila proper marriage.

Of koz wanadangaji wameongezeka kipindi hiki kuliko kipindi kilichopita, kiasi kudanga ni kama habari ya mjini mchezo wa nipe nikupe!
 
Umesema ukweli. Japokuwa si wote.. ila asilimia kubwa ukiona mwanamke kajipamba na marangi rangi.. anawaka. Ukimsogelea anaanza kudanga hapo hapo. Hata jina akufahamu. Kwa jinsi hii wasahau ndoa

Kudanga, Alaf ile huduma Muhimu sana kwetu, Lazima tuigharamikie tu, hakuna namna, ila wadangaji wapunguze Bei, Maana starehe twapata wote
 
Umesema ukweli. Japokuwa si wote.. ila asilimia kubwa ukiona mwanamke kajipamba na marangi rangi.. anawaka. Ukimsogelea anaanza kudanga hapo hapo. Hata jina akufahamu. Kwa jinsi hii wasahau ndoa
Na sio wote wanaopaka rangi Ni wadangaji
 
Back
Top Bottom