Wanawake wengi ukiwatongoza tu anakwambia simu yake imeingia maji

Hao watakuwa watoto wa chuo, sie watuwazima tunaomba zakuongezea kwenye mitaji au tuchukue viwanja na mashamba.
 
Kweni raha tunapataga sisi wanaume peke yetu?wamezidi aisee
1 simu mbovu
2 kodi imeisha
3 gas imekata nataka kuagiza boda boda ila sina pes
4 simu yangu haina credit
5 mtoto shule anadaiwa ada na baba yake kanitelekeza
6..........yaani tabu tupu.
Kuepuka haya usitongeze
 
njia nzuri sana kumkimbiza mtu.
Pia ukitaka kuwafahamu wanaojua matunzo, unamwambia tu gesi imeisha!
 
Mimi hamna linaloniudhi eti nikopeshe laki 2,3,4, nitarudisha wiki ijayo badala aseme naomba nisaidie. ....hiyo kauli naichukia sana
 
daaaah kweli mwanangu juzi kuna kidemu oooh sina simu ya smartphone

nikakitell usijal mama nimekuagizia kutoka njee alaf si unajua mpk kufika ni kama mwezi

na kilivyokuwa kishamba akuji chochote

apa nimekiambia simu iko vetinam inakuja usijal

kesho naenda kuvunja amri ya sita

akiuliza namwambia meli imezama
 
Juz tu hapa, Kuna dada mmoja, huku niliko, ameanza tabu, mara simu yake mbovu, mara anadawia kodi na TRA ya biashara, yaani nimempotezea, yaani Mawasiliano yetu hayana ata wiki, na sijataka kukutana nae
 
daaaah kweli mwanangu juzi kuna kidemu oooh sina simu ya smartphone

nikakitell usijal mama nimekuagizia kutoka njee alaf si unajua mpk kufika ni kama mwezi

na kilivyokuwa kishamba akuji chochote

apa nimekiambia simu iko vetinam inakuja usijal

kesho naenda kuvunja amri ya sita

akiuliza namwambia meli imezama

at meli.imezama ww jamaa
Kweli kiboko
 
njia nzuri sana kumkimbiza mtu.
Pia ukitaka kuwafahamu wanaojua matunzo, unamwambia tu gesi imeisha!
Mtungi wenyw n ule mkubwa
Hapo bdo bili ya tanesco
Dawasco nao hawa hapa bili ya maji
Mwny nyumba nae huyu hapa kod imekata

Walaaaa napta tu zang hvi
Kuangalia upande wa pili

Hapo sasa ndo nakumbuka
Umuhimu wa kuoa
 
Mtungi wenyw n ule mkubwa
Hapo bdo bili ya tanesco
Dawasco nao hawa hapa bili ya maji
Mwny nyumba nae huyu hapa kod imekata

Walaaaa napta tu zang hvi
Kuangalia upande wa pili

Hapo sasa ndo nakumbuka
Umuhimu wa kuoa
Unaona eeh! Kuoa kunapunguza garama zisizo na maana!
 
Kweni raha tunapataga sisi wanaume peke yetu?wamezidi aisee
1 simu mbovu
2 kodi imeisha
3 gas imekata nataka kuagiza boda boda ila sina pes
4 simu yangu haina credit
5 mtoto shule anadaiwa ada na baba yake kanitelekeza
6..........yaani tabu tupu.
hahahahahahahahahahaha hao ni single mother mkuu
 
wanahabari wenzangu!

sidhani kama hapa JF kuna mtu hajakutana na hii ya simu yangu imeingia maji au imeibiwa na sasa hivi natumia ya mama!!

hata nyie wademu kama mnasoma hapa mjue hii mbinu yenu sasa imekuwa popular au compromised!!

kwani ukisema tu huna simu unaomba ununuliwe kuna ubaya gani??!!kwanini mnapenda kuongopea au mshaona wanaume mafarasi kiasi hicho??!!
kila mwanamke au msichana hii ndio kete ya kwanza kurusha hata tumezoea mwisho wa siku unajua tu muda si mrefu utaambiwa simu imenyeshewa mvua!!

mmeishiwa mbinu za kuchuna au kitu gani?!!mnapenda namba halafu hamjui mahesabu kama chama kubwa.

nyambafuuu
hao watoto unaowatongoza uache jela inakuhusu
 
Uombaji uko wa aina nyingi. Mimi nikiona ama kukutana na demu wa dizaini ya uombaji....nakata Kamba na simsalimii tena hata anichekee vipi.
 
Pia utawasikia.....jamani leo mwenzio sina raha, maana wazazi wamelazwa huko vijijini na ninahitaji milioni kumi tu niwauuguze. Yaani anahitaji milioni kumi wakati yeye mwenyewe hana hata laki moja.
 
Back
Top Bottom