Wanawake wengi tunaingia kwenye ndoa na wanaume ambao hatujawapenda

We Kama umeingia kwenye ndoa ambayo hauna mapenzi nayo na kwa sababu ya pesa hauna tofauti na wadangaji na Malaya wanaojiuza mtaani

Makosa yenu mnataka kuwabebesha wanaume

Hapo mwanaume hana kosa kwa sababu hiyo siku ukijichanganya na ukaliwa Kichwa mashabiki zako watakuja humu kuandika hicho kinachotokea wenzako
 
ukweli huu ambao hujawahi kusemwa.
Bibi zetu waliozeshwa kwa mababu zetu bila wao kujuana

Na walikuwa na mapenzi ya dhati kwa waume zao hadi kwa Ndugu zake


Tatizo wanawake wa Sasa hawana upendo wa dhati wanapenda vitu vingi sio pesa tu

Wanataka mwanaume awe mkamilifu kwenye kila kitu wakati wao wanamapungufu mengi yasioyoelezeka

Tamaa za Mali na tamaa za mwili ndizo zinazowatesa

Wanaanza ngono katika umri mdogo, wanaingikiwa kinyume na maumbile halafu hapo unakuja kuoa mwanamke wa aina hiyo unategemea nini kwenye familia hiyo????

Watakufa Sana..….....…......
Watachinjwa Sana....….......

Badilikeni tamaa mbaya.
 
Eeh, Kuna anayebisha?

Baada ya kuaona matukio mengi ya mauwaji, wanawake tunachinjwa kila siku nimeona niuseme ukweli huu..

wanawake wengi tunaingia kwenye mapenzi na tusiowapenda sababu ya kutafuta maisha mazuri tu na ndio maana ndoa tunaichoka mapema na mwanaume ukishamwingia moyoni hakuachi salama pale unapoanza dharau.

Mlishawahi skia wanawake wengi walio kwenye ndoa huwa wanawamiss ma-x zao?, Yah ni kweli, wanawake wengi wanaoingia kwenye ndoa sababu ya hali ya maisha na sio mapenzi, kuwatunuku max wao waliokuwa wanawapenda kweli ni kitu cha kawaida

Sasa basi wanaume jamani mnapotafuta wanawake wa ndoa hebu acheni show-off, hata kama una mali hebu jishushe zifiche, mfuate mwanamke kama huna kitu, hapo utapata mke wa kuowa maana atakuwa kakupenda wewe na sio pesa zako

Wengi mnawavuta wanawake kwenye ndoa kwa nguvu ya pesa na sio nguvu ya mapenzi na ndio maana wanawake wanakuja kuchuma pesa huku nyuma ya pazia Ma X, wanaendelea kuwatafunia wake zenu sababu sio mapenzi yaliyowapeleka kwenye ndoa bali ni shida

Jamani eeeh, naombeni nilale
kakojoe kwanza ndiyo ulale......huo muda wa ku act kwamba huna hela ili mwanamke akupende kiukweli hatunao....sana sana atakuwa anagongwa na wanao show off...kwa hiyo ni kazi bure
 
Back
Top Bottom