GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 3,754
- 4,801
Lkn jamaa akiwa mkazaji mzuri basi huyo X atasahaulika tu. Tatizo lipo kwenye kukaza kwa mtu akisha kuwa na helaEeh, Kuna anayebisha?
Baada ya kuaona matukio mengi ya mauwaji, wanawake tunachinjwa kila siku nimeona niuseme ukweli huu..
wanawake wengi tunaingia kwenye mapenzi na tusiowapenda sababu ya kutafuta maisha mazuri tu na ndio maana ndoa tunaichoka mapema na mwanaume ukishamwingia moyoni hakuachi salama pale unapoanza dharau.
Mlishawahi skia wanawake wengi walio kwenye ndoa huwa wanawamiss ma-x zao?, Yah ni kweli, wanawake wengi wanaoingia kwenye ndoa sababu ya hali ya maisha na sio mapenzi, kuwatunuku max wao waliokuwa wanawapenda kweli ni kitu cha kawaida
Sasa basi wanaume jamani mnapotafuta wanawake wa ndoa hebu acheni show-off, hata kama una mali hebu jishushe zifiche, mfuate mwanamke kama huna kitu, hapo utapata mke wa kuowa maana atakuwa kakupenda wewe na sio pesa zako
Wengi mnawavuta wanawake kwenye ndoa kwa nguvu ya pesa na sio nguvu ya mapenzi na ndio maana wanawake wanakuja kuchuma pesa huku nyuma ya pazia Ma X, wanaendelea kuwatafunia wake zenu sababu sio mapenzi yaliyowapeleka kwenye ndoa bali ni shida
Jamani eeeh, naombeni nilale