Wanawake wengi hawana muda wa kukusubiria ufikie malengo yako, wanataka mwanaume mwenye mafanikio tayari

Ukiuliza wanawake wengi watakuambia wanataka kijana mwenye maono atakama hana fedha, Kwa sababu wengi wao wanaogopa kusema waz wazi wanataka wanaume wenye hela/mafanikio tayari, kwa kuhofia jamii itawachukilia vibaya, na ni wachache wenye ujasir wa kusema wazi wazi wanataka wanaume wenye ela.

Na hii ni kutokana na ukweli kwamba wanawake walio wengi na sio wote, wanataka mwanaume ambaye tayar anamafanakio hawako tayar kuingia gharama ya kuyatafuta hayo mafanikio, Na vijana wengi wamajimudu kimaisha ila hawana hayo mafanikio wanayoyataka wanawake.

Kwa sababu Kwa vijana wenye mafanikio wanayoyataka wanawake in kuanzia miaka 32+ kuendelea na wengi wao wameshaoa tayari, kwa hy wanawake weng wanaishia kua michepuko wanapo date na hili kundi LA vijana

Nini kinafuata inabid vijana tutumie uongo wa hali juu, ata akija kujua ukweli tayar ni mke wako na ujauzito juu, Kwa sababu wanawake wengi sio wote hawapend ukweli
Waache waendelee hivyo hivyo.
 
sikiliza mdogo wangu.... mambo mengine yooote ni ngonjera tu..... Mwanaume lazima uwe na mali hicho ndicho kigezo kikuu cha kwanzwa kuku define wewe kama mwanaume na hii ni tangu Adamu alivyoaasi na kulaaniwa na Mungu kuwa kwa jasho utakula na kumtunza mkweo.

Ukiwa mkuliwa ili watu wakupe mke wanataka kuona shamba lako na mavuno unayovuna na gane (geto/nyumba) lako ulilojenga ambapo utamlaza binti wa watu unaetaka kumuoa.

Halikadharika hata ninyi wavulana wa Dar es Salaam lazima muoneshe hivyo vitu ili tuwaamini kuwaozesha mabinti wa watu. kama una miaka 25 ndo umemaliza chuo acha kupaparikia watoto wa watu kaa chini tafuta michongo ya kufanya hadi ukifikia 33 utakuwa umejishikiza walau una kazi maalum, umenunua ka IST, umejenga vyumba viwili kisemvule au umepanga nusu nyuma sasa hapo demand kuoa wanawake na wazazi wao/wako watakuelewa kuwa sasa wewe ni mwanaume.

Tatizo lenu nyie vijana mnayakimbilia mambo yasiyo saizi zenu na ndiyo maana mkitoshwa hamuishi kul;alama. hakika nakwambia, binti aliyefikia umri wa kuolewa labda wa 22 ukiona akakubali kavulani ka 25 kasiko jipanga kama nilivyosema hapo juu nae atakuwa na matatizo makubwa sana. most of them wanawatafuta waliopevuka atleast 30 and above maana hawa ndiyo wanaoweza kuimudu ndoa kwa maana ya kumtunza mke. kumbuka hatuoi wanawake ili waje kutusaidia maisha, tunawaoa ili tuwatunze full stop.
nimeelewa sana iyo sentensi ya mwisho mkuu,wanawake ni kama object,ndo maana unaamini wanaume wanatakiwa wafanikiwe kwanza ndo wapate wanawake.
 
Back
Top Bottom