Wanawake wengi sio watu; kanidanganya hana mume, roho inaniuma kwa kutembea na mke wa mtu

Acha kukariri na wewe.Nimeongea na mme wake na jinsi maongezi yalivyokuwa unajiongeza as great thinker.

Wewe umeishia kukariri sentence ya manzi kusema kuwa yule ni mme wake.Au wewe ndiyo bwana wake uliyekuwa unaniigizia?

Sawa Bingwa....Nimekuelewa

BUT Siku hizi hadi wajanja wanaliwa sio wajinga tu
 
Habari zenu great thinkers.Natumai kila mmoja anakula kwa urefu wa kamba yake.Moja kwa Moja kwenye mada.

Ilikuwa siku ya jumatatu wiki hii nikiwa katika majukumu yangu ya kikazi.Kufikia mida ya saa nane mchana kazi ikawa imeisha.Nilikuwa na dereva wa kampuni,tukatoka zetu site kurudi camp.

Dereva ni mshikaji wangu,wote tupo camp.Tukiwa njiani akampigia demu simu huku wakitaka kuonana.Hapa alinitonya kuwa kuna demu alimtongoza hivyo anataka kuonana nae.

Tukawa kwenye safari ya kwenda kumuona huyo demu.Tukafika mahali walipokubaliana.Demu akaja tukapiga stori mbili tatu ila mimi sikuwa najihusisha sana na stori zao nikabaki as introvert_007.Sasa bhana jamaa akanitonya kuwa tusepe.Demu akawa anataka hela ya nauli.Jamaa alikuwa hana hela hivyo akanikopa 2000/= kumpa demu si akaanza "ohhh hela haitoshi".Kumbe walikuwa wamekubaliana kuwa demu hana nauli ya kurudi tu ambayo ni 2000/=

Jamaa yangu akamwambia leta hiyo 2000/= nikupe 5000/=.Mimi kweli nikatoa 5000/= ila jamaa alivyoichukuwa hiyo 2000/= akawasha gari tukasepa.

Nikasema hapa nishapata namba.Nikamtonya mdau anipe namba ya huyu manzi kwa kuwa nilishajua kam-mwaga.Kweli namba nikachukuwa.Kumpigia demu simu na kujitambulisha acha awake na kuanza kunitukana bhana matusi ya nguoni.Msemo ulionikosha "unajua hela yangu nimeipatia ugumu kiasi gani?"Hivi viumbe wabinafsi yaani hadi kukutana hela yako ya nauli atoe mwanaume?

Nikasema huyu shida ni pesa kabla sijatuma muamala nikamuuliza mdau wangu kama huyu manzi ana mume.Akasema hana mme vile vile alikuwa anachati nae hadi saa sita usiku.Nikasema good nikamtuliza manzi kwa kudanganywa kuwa namba nimemwibia mshikaji hivyo haikuwa plan yetu bali plan ya mshikaji pekee nikajitoa kiaina.Nikamtumia 6000/= kufidia nauli yake ya 2000/=.

Lugha ikabadilika tukawa tunaelewana . TATIZO PESA !!!.Nikamwambia nimekuelewa akanipiga kibuti(mzinga)."Kama umenipenda nitumie 30000/=".Nikamwambia "Nikutumie!? Hakuna kitu kama hicho,kama hela nitakupatia geto.

Mtoto juzi akaja cha ajabu nilikuwa nimenunua FIESTA CONDOMS ila nikauza mechi bao la pili kwenye mbususu yake baada ya kupigwa blowjob ya maana iliyofanya nipige bao la kwanza.Nilipiga bao nne jumla,moja ya blow job na tatu kwenye mbususu ambapo moja niliuza mechi na mbili nilivaa fiesta baada ya kujishtukia kuwa sikuvaa condom kabla.Nikampatia hiyo 30000/=

Siku si nyingi jana nikamtumia ujumbe 'Nimemiss penzi lako'.Eeh bhana si ikapigwa simu kupokea nasikia sauti ya mwanaume nikamwambia naongea na nani. Jamaa akaniambia kuwa mwenye simu katoka nje alafu akakata.

Baadae nikapigiwa simu namba ileile ya manzi.Kupokea ni yule demu anauliza nimemwambia nini mme wake maana amekasirika na message yangu ameiona!

Nikamwambia kwa kuuliza kwa ukali 'Mme wako? Si ulisema hauna mme? 'Akasema ni Mme wake alafu akanitakia kazi njema akakata simu.Blood fucken!

Popote ulipo wewe mwanaume mwenzangu niliyo kuchapia mke wako NISAMEHE BURE hivi viumbe, wengi wao wana urafiki na shetani!

#Mbona wanawake mmekuwa hivyo? Kisa pesa ndiyo usiithamini ndoa yako?

Ndiyo maana idadi ya waoaji inapungua.
Kuwa na mahusiano ya kingono na wenza zaidi ya mmoja kama kijana ni vyema ukafahamu kuwa una uwezekano mkubwa wa kupata #VVU au magonjwa mengine ya zinaa
 
Hiyo kuwa mke wa mtu haijanishtua sana...

Penye ahida ni hapo ulipojua huyo ni mchuchu wa dereva wako, halafu wewe ukapasiwa kwa sababu tu jamaa kashindwa kuhonga halafu nawe ukaona ni sawa tu...
 
Back
Top Bottom