Wanawake wengi siku hizi hawajui kupika chakula. Wanajaza viungo vingi kwenye mboga inapoteza ladha yake halisi

Mleta mada ushawahi kunywa supu ya mbuzi(sijazungumzia beberu) ambayo hajawekwa viungo?
Mbuzi mwenyewe beberu uwiiii harufu lake! Anaongea tu mbona hata huko vijijini tulikuwa tunaunga mafuta karanga yakutengeneza nyumbani!
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kwenye jamii zote sehemu kubwa ya wanaopika ni kina mama.

Ni kweli wanaume wanapika ila ni kwa kiasi kidogo sana.

Sio kila jambo lazima uwe na mawazo ya kijinsia.

Feminists mko negative muda wote. Hamuoni kitu chochote kizuri kwenye maisha. Hii Dunia ni ngumu sana kwenu.
Wala hata ni ngumu kwenu mnaohangaika kulinda failing patriarchy.
 
Siupike wewe ukitakacho,kiongozi huongoza kwa mfano nunua huyo kuku siku hyo pika muonyeshe mfano mbona atajifunza,upendo wa kweli nikuelekezana tu mpaka mnakuwa mstari mmoja

Kwani mimi ndo ulimwengu kwamba hakufunzwa na mamaye nimfunze.?

Ukute hakutaka kujifunza na kwao walimsema, majibu yake ni hayo kwamba nitajua mbele kwa mbele.

Labda uwe na sifa ya ziada kufidia hili, la sivyo nakurudisha kwenu.!!
 
Hivi Biriyani lina viungo? yani nilete nyama home ipikwe bila vikolombezwo? unataka kufananisha mapishi ya mwaka 1800 na 2020? Kama wewe unapenda kula vyakula visivyoelewaka sema hivyo ila sio kwamba eti hawajui kupika, mpelekee mkeo nyama aweke jikoni na maji mwambie akatie nyanya then kula maana mpaka vitunguu na hoho hutaki... Wadada mna huruma sana aisee,poleni. Nawapenda sana wanawake wanaonukisha nyumba yaani upo getini ila unaskia vitu ndani vinanukia tu ukishaingia hutamani kutoka ila kuna mtu anataka ale kama hana taste buds vile
 
Ahsante sana.
Kwa kweli viungo ndo mpango mzima.
 
Mbuzi mwenyewe beberu uwiiii harufu lake! Anaongea tu mbona hata huko vijijini tulikuwa tunaunga mafuta karanga yakutengeneza nyumbani!
Au unapika supu ya sangara bila viungo.

Ahata vijijini kuna limao ndimu wanaweka kukata shombo.

ASITUFOKEE KUHUSU VIUNGO
 
Wala hata ni ngumu kwenu mnaohangaika kulinda failing patriarchy.
Achana na mawazo ambayo hayana maana. Hayo unayowaza wala hawawezi kutokea miaka 500 ijayo. Ishi sasa.

Hao wazungu wanaowadanganya wenyewe huo ujinga hawafanyi. Sasa wanakuja kuwajaza mazuzu ujinga huku mnaumeza kama ulivyo.

Unachokiwaza won't happen in this world. Asikudanganye mtu.

Hiyo fairness mnayoiwaza hata kwenye maisha ya kawaida tu haipo sembuse ya kijinsia.

Achana na mawazo ya kijinga.

Feminists wengi ni wale mmepigwa mimba au mmezalishwa mmeachwa au mko rejects or shapeless, mko bitter na kila kitu.

Pole sana.
 
Hahaaa kwa unavyoongea inaonyesha kabisa unaogopa kinachoenda kutokea. Na kilishaanza kutokea. kama unafikiri utaninyamazisha kwa kuniambia niko shapeless bitter sijui reject think again. Unaonyesha kabisa wewe ni failure kila idara ndo maana you're a sexist and a misogynist. Kama wanawake wanakutisha pole sana you can't avoid the inevitable.
 
Ndio wanawake wetu hawa. Kupika hawajui, chochote hawajui wao wanachotegemea ni uchi tu kwenye mahusiano au kwenye ndoa.
Ndo wanaume taka taka kama nyinyi mlivyo. Mnatagemea slave labour kutoka kwa wanawake wanawafanyia kila kitu mwisho wa siku mnachukua credit.
Pika mwenyewe huko kwani wanokula ni wanawake peke yao?
 
Nyama inawekewa vitunguu maji, vitunguu swaumu, pilipili hoho, karoti, nyanya, meat masala, royco mchuzi mix na viungo vingine. Hapo huwezi kupata real taste ya nyama.

Inaonekana hujui hata viungo Ni Nini,karoti na hoho na vitunguu sio viungo Ni vegetables kwanza tuelewane hapo sio mapambo hayo Ni vitu ambavyo mwili wako unavihitaji.

Halafu kitu nimegundua Ni kwamba huko unakokulaga anaekupikia anajiungia tu viungo ilimradi, viungo vina formula Kuna viungo vinaenda sambamba Kuna viungo haviendi sambamba ukiviunga kwa pamoja lazima vilete kero usije kutusumbua siku nyingine hapa wanawake this wanawake that!!!
 
Hahaaa kwa unavyoongea inaonyesha kabisa unaogopa kinachoenda kutokea. Na kilishaanza kutokea. kama unafikiri utaninyamazisha kwa kuniambia niko shapeless bitter sijui reject think again. Unaonyesha kabisa wewe ni failure kila idara ndo maana you're a sexist and a misogyny. Kama wanawake wanakutisha pole sana you can't avoid the inevitable.
😂😂😂Mwanamke ananitisha nini sasa?

Nakuonea huruma kwa sababu unataka uishi kwenye imaginations. Ishi kwenye uhalisia.

Utafiti unaonyesha feminists wengi ni either single mamas au shapeless women ambao hawana zuri wanaloliona kwenye maisha. Hua wanaona kama wamekataliwa na jamii hivyo kuona kupigania usawa ndio jambo pekee linawapa faraja.

Ndio maana nimekuomba ujikubali, ukubali uhalisia kua life is not fair na uzoee huo ukweli. Uishi sasa usifikirie maisha ambayo bado ni ya kufikirika.
 
Si umfundishe?
Wanawake wanaolewa wakiwa hawajui mengi.
Mnafundishana ndio ndoa. Kujaza mapungufu ya mwenzio
 
Back
Top Bottom