Wanawake Wengi Miaka Hii wana matumbo makubwa-why?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
Nimekuwa Baa moja jioni hii nikiangalia mechi ya Aston Villa na Man U, wanawake wote hapa wana matumbo makubwa, hakuna hata mmoja mwenye tumbo dogo yaani, nimejiuliza sana nikakumbuka nije nijenge hoja hii hapa jamvini


  1. je, Huenda ni pomb?
  2. au chips?
  3. .wapi Mzizimkavu?
 
2Q==
 
...mkuu, asante sana! Kama ulikuwa akili mwangu vile!

"siku hizi za karibuni wanawake wengi wamekuwa na VITAMBI, kama vile wanashindana na wanaume! mpaka wamepoteza mvuto!"


"sielewi ni kwa nini wanakuwa na maHOT POT"

UNAKUTA MWANAMKE MZURI KWENYE SURA, lakini ukishuka chini kidogo! Duh liKITAMBI hilo...! Manyama yananinginia kama yanataka kudondoka chini vile... Alafu wanavaa vinguo vinavyoonyesha maumbile yote ya mwili...! Loh!

Kibaya zaidi siku hizi za karibuni wanawake walio wengi wamepukutika nywele kichwani "wanapenda kuvaa minywele ya wafu (bandia) "ukihesabu wanawake kumi, utakuta tisa wote wanamanywele ya bandia" na MATUMBO NI VILEVILE!
 
madawa mengi sana hasa haya ya uzazi wa mpango??
mnaogopa mimba eee eti hamtaki mambo ya blee siku 4 siku 5 na midam kibaoo nyie mwataka siku 1 au 2tena kwavijitone tu vya dam.
bila kujiuliza dam zingine zinakwenda wapi??
acheni miili ifanye kazi vizuri bana na taka mwili zote zitoke sasa mnavyozizuia ndio hizo zinzkimbiliz sehem ndizo sizo.
teh teh teh teh mnahaha kutafuta mchawi eeee.kujiloga mjiloge wenyewe why mnahaha kutafuta
 
Nimekuwa Baa moja jioni hii nikiangalia mechi ya Aston Villa na Man U, wanawake wote hapa wana matumbo makubwa, hakuna hata mmoja mwenye tumbo dogo yaani, nimejiuliza sana nikakumbuka nije nijenge hoja hii hapa jamvini
  1. je, Huenda ni pomb?
  2. au chips?
  3. .wapi Mzizimkavu?
Kumbe ulikuwa umekaa nao baa. Kwa nini hukuwauliza wao wenyewe unakuja kutujazia inzi tu humu jf.
 
Kuna mtoto mzuri nimekutana nae church lkn ana kitumbo!!! Cjui ashazaa? Daa mpaka naogopa maana namkubali sana!!!
 
Nianze kwa kusema kuwa vitambi viko katika makundi 6:-

1. KITAMBI MVURUGO - Hiki kitambi kimekaa kama O kinapatikana kwa kula sana kitimoto

2. KITAMBI MCHUCHUMIO - Hiki kitambi kimekaa kama herufi D kinatokana na kula sana
michemsho na bia za ofa

3. KITAMBI MBONYEO - Akivua shati kitovu hakionekani. Hiki wanacho wala rushwa, ila
akisimamishwa kazi kinaisha haraka sana.

4. KITAMBI MTEPETO - Ni kitambi cha wastani ambacho ukivaa nguo pana hakionekani. Hiki
kinasababishwa na kula mno vipolo

5. KITAMBI MFUMANIO - Hiki mtu anakuwa hana pesa ila kitambi ni kutokana na minyoo na
utapiamlo wa ukubwani

6. KITAMBI MTUNGUO - Hiki wanacho sana akina dada na wanawake, kina umbo la yai. Hiki
kwa "diet" hakitoki labda kwa maombi tu.

Je kitambi cha ndugu yako, partner wako, wewe mwenyewe au cha boss wako kiko kundi lipi??
 
Back
Top Bottom