Wanawake wengi huomba kufanyiwa upasuaji badala ya kujifungua kawaida

Jambo la njia ya kuzaa ni maamuzi ya mke na mume.
Sasa wewe mkuu unatoka from nowhere unaanza kusema ndoa za watu..
Wewe umezaa kwa njia gani??
Kama ni mwanaume inabidi upambane na mkeo mambo ya TZ nzima hayakuhusu jomba.

Hata kama wanawake woote wakiamua kuzaa kwa kisu wewe haikuhusu as long as sio mtoto wako wala mke wako.
Acha kuwapangia watu jinsi ya kufanya kwenye miili yao
 
Unaandika kwa hisia zako au kitu unacho kidhahania tu... Yani unafikiri mambo yanaenda kienyeji namna hiyo..

Eti labor Dr. aanze dialogue na Mama.

Hizo ni critical moments. Ni utaalamu tu. Hivi kwnza mwanamke mwenye uchungu unamjua wewe... !?

Una mke!? Una mtoto!?
Hata Mimi nashangaa.
Wanawaonea bure madaktari kwamba Ni wafanyapo biashara..
Mama Hana option ya kuchagua njia anayoitaka..
Dr anamchagulia njia kutokana na Hali Yake.
 
Uzazi una changamoto nyingi, mwanzon wanawake wengi walikuwa wanakufa pamoja na watoto. Serikali wanapambana kuzuia vifo hivyo jiulize wanapambana navyo kivipi na chanzo cha vifo ninini? .

Asilimia kubwa watakaokuunga mkono ni wanaume na wanawake ambao bado hajazaa.
Na hiyo zamani wanayoishupalia huenda ikawa walikufa sana watoto na hata wazazi kwa ajili ya uzazi ila tu ndio hakukuwa na wa kuyaweka wazi.
 
Uzazi una changamoto nyingi, mwanzon wanawake wengi walikuwa wanakufa pamoja na watoto. Serikali wanapambana kuzuia vifo hivyo jiulize wanapambana navyo kivipi na chanzo cha vifo ninini? . Asilimia kubwa watakaokuunga mkono ni wanaume na wanawake ambao bado hajazaa.
Mimi namshangaa sana mtoa maada na wanaomsuport.

Hivi operation kwenye matumbo ya watu wengine yanamuuma nini?
Tena wengi wanaomsuport wahajawahi hata kuingia labor kuona mtu anazaaje na possible complications..
Wote wanaomssuport hawajui hio zamani wanaoiongelea kifo cha mama na mtoto namba ilikua ngapi na sasa ni ngapi?

Mwisho: naona kila mtu apambane na familia yake...mtoa maana & the like wawakomalie wake zao wakapush labor
 
Kama walikuwa wanazalia nyumbani Mkuu unadhani habari ya namba ilikuwepo basi.

Mi naona wasitake kuileta zamani ambayo hata hawaijui ilikuwa na changamoto zipi.
 
Nilitaka nikuite we na Marianah ili muje mwende naye Sambamba.

Japo nikawaza sijui kama muna watoto.

Marianah anao,jaribu kumwita .
Mimi bado Sina ila nimeona kwa Dada zangu watatu wakila visu

Mmoja amekula Kisu mtoto wake wa nne.
Dk alimwambia kuwa akijifungua kawaida anaweza akafariki..maana BP zilikua juu Sana

Mwingine huyu uzao wake wa tatu...mapacha
Mmoja alitanguliza kichwa,mwingine miguu...dk akamwambia apasuliwe maana Ni hatari Hali km hiyo

Mwingine alipata uchungu amekaa bdae ikashindikana akawa anaenda kupotea...ikabidi wampasue

Yaani walipelekwa leba Huku nyuma tunaomba Sala zote jasho zinatokana.
Kile kidonda si mchezo...
Watu sio Kama wanapenda kupasuliwa
Lizarazu acha kukariri maisha
 
Kama walikuwa wanazalia nyumbani Mkuu unadhani habari ya namba ilikuwepo basi.
Mi naona wasitake kuileta zamani ambayo hata hawaijui ilikuwa na changamoto zipi.
Kwanza hata kusingekuwa na risk yoyote ..mtu ana uhuru wa kuamua anafanya nini juu ya mwili wake.. muhimu ni mume na mke kuelewana tu.
Sasa mtoa maada badala ya kuongea na mke wake au mume wa ke vizuri anakuja kulalamika huku
 
Marianah anao,jaribu kumwita .
Mimi bado Sina ila kwa nimeona kwa Dada zangu watatu wakila visu

Mmoja amekula Kisu mtoto wake wa nne.
Dk alimwambia kuwa akijifungua kawaida anaweza akafariki..maana BP zilikua juu Sana

Mwingine huyu uzao wake wa tatu...mapacha
Mmoja alitanguliza kichwa,mwingine miguu...dk akamwambia apasuliwe maana Ni hatari Hali km hiyo

Mwingine alipata uchungu amekaa bdae ikasindikana akawa anaenda kupotea...ikabidi wampasue

Yaani walipelekwa leba Huku nyuma tunaomba Sala zote jasho zinatokana.
Kile kidonda si mchezo...
Watu sio Kama wanapenda kupasuliwa
Lizarazu acha kukariri maisha
Kweli kabisa hakuna anayependa kile kidonda bana.

Wengi wanakuwa ni sababu ndio imesababisha tena zile za msingi. Na hao madaktari sidhani kama wanakuwa wajinga pale wanapoona suluhisho la kumuweka salama Mama na mtoto ni kisu.

Hao wanaowasemea hapa ni wachache mnoo. Sababu mtu akijifungua kawaida ndani ya muda mfupi anakaa sawa kuliko hicho kisu wanachoona wanawake wa sasa wanakifurahia.
 
Ndio maana Kuna Kaka amesema watao unga mkono hoja Ni wale ambao bado hawajazaa na hawajawaona ndugu zao wakikumbwa na hii Hali.
Kile kidonda Ni kibaya zaidi jamani...wasidhani watu wanakifurahia.

Waache kuwasingizia madaktar kwamba wanataka kupiga hela
 
sijui yuko wapi aje kutema cheche za kitu asichokijua.
Alishakupa mfano wa dada yake kule juu.
Utamwambia Nini!?.
Tatizo lake huwa ana waza hasi kila siku.
Anaumia Kwanini yeye atafute hela kwa jasho halafu mkewe asizae kwa uchugu.. Hali akiwaza hayo,,hajafikiria kabisa Kama mambo huwa yanagoma kabisa kwa njia ya kawaida
Na alishakwambia mtu wa hivyo hata kidonda kikimuuma hamuonei huruma
Lizarazu una Roho ngumu wewe,
Hakuna anayekipenda kisu kakangu
 
Ndio maana Kuna Kaka amesema watao unga mkono hoja Ni wale ambao bado hawajazaa na hawajawaona ndugu zao wakikumbwa na hii Hali.
Kile kidonda Ni kibaya zaidi jamani...wasidhani watu wanakifurahia.

Waache kuwasingizia madaktar kwamba wanataka kupiga hela
Hakifai mdogo wangu hicho kidonda.
 
Hakifai mdogo wangu hicho kidonda.
Nilimuuguza huyo mama wa mapacha.
Nilienda nae leba..maana ile siku ya kwanza wanasema inabidi asitingishike..
Aisee alikua anatia huruma...inabidi umuwekee mtoto kwenye ziwa unamshikilia..
Halafu watoto wawili...
Wanasumbua na mama hawez kuinuka...
Nilihisi Yale maumivu nayapata Mimi

Lizarazu ukija usome na hapa
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom