Upasuaji sio mzuri hivyo ukiweza kuupeka ni bora.Sasa kama kuna option kwanini tuumie?
Na njia ya kawaida pia sio nzuri, kila kitu kina faida na hasara zake.Upasuaji sio mzuri hivyo ukiweza kuupeka ni bora.
njia ya upasuaji ina hasara nyingi zaidi kuliko njia ya kawaida.Na njia ya kawaida pia sio nzuri, kila kitu kina faida na hasara zake.
once ukijifungua kwa njia ya upasuaji...mimba zote zitakazofata lazima ufanyiwe upasuaji tena, cases za kusema complications za mimba ya kwanza hazipo kwenye mimba ya pili huwa haitiliwii maanani sana,Si kweli kwamba mimba ya kwanza ukipigwa kisu basi mimba zinazofuata lazima upigwe kisu tena, inategemeana na sababu iliyopelekea ukafanyiwa operation. Kama sababu iliyopelekea ukafanyiwa CS mara ya kwanza haipo kwenye mimba ya pili unaweza kujifungua kawaida ila muhimu kuwepo hospital inayoweza kufanya operation ili ikishindakana basi ufanyiwe upasuaji haraka
Ila kama mimba ya kwanza na ya pili zote ulifanyiwa operation basi ya tatu haiitaji kusubiri ni moja kwa moja operation
Operation ndio njia yenye uhakika wa uzazi salama kwa dunia ya leo
Mijini humu unasikia vifo vya wazazi tena?..
Kupush yataka mtu ambae nyonga yake si lelemama..kuzaa natural na kifo ni suala la 50/50
Kwa upasuaju wa kisasa si kovu persay ila vi alama kama nukta pale ambapo stitch za uzi zilipita na ukipona vizuri kuna lotion ya kitaalamu inafuta vikovu...hayo mambo ya makovu miaka hii labda kule kwenye hospitali zetu ambazo lengo ni kuokoa maisha ya mama na mtoto..ila kwa hizi za kileo wanaokoa maisha na pia wanazingatia urembo baada ya zoezi kuisha.Hivi nasikia ukizaa kwa opereation inaacha alama hapa kwenye tumbo?
Heri nije kuzaa kwa uchungu wa kupush kuliko kubakiza alama tumboni
Nahisi wanashindwa kulifunga ili lirudi katika ukubwa wa kawaida kutokana na mshono.Ooh! Kwani ukizaa kwa upasuaji ndio unakuwa na tumbo kubwa au me ndio sijaelewa hapo?
Au umemaanishaje Dr
Hizi ni dharura zinazojulikana , wengine ni uamuzi tu.Wengine wamechelewa kuzaa, kupush wanaogopa kukosa Mtoto, Upasuaji wanakuwa na uhakika wa kupata Mtoto. Umri watu wanawake wengine wanachelewa kupata watoto, wengine mimba kila ukiingia zinatoka, wengine Mtoto anakuwa amejifunga
Yeah...kabla kidonda hakijapona vizuri huruhusiwi kuvaa mikanda au kufunga otherwise unaweza kusababisha balaa kubwa...sasa muda huo ndio utaona tumbo kubwa ila baadae litarudi tu plus kujiongeza.Nahisi wanashindwa kulifunga ili lirudi katika ukubwa wa kawaida kutokana na mshono.
Nani kakulisha haya matango pori wewe?Operation ndio njia yenye uhakika wa uzazi salama kwa dunia ya leo
Mijini humu unasikia vifo vya wazazi tena?..
Kupush yataka mtu ambae nyonga yake si lelemama..kuzaa natural na kifo ni suala la 50/50
Huyo amemezeshwa upuuzi tu na mashosti zake waliopasuliwa ambao nao wamemezeshwa upuuzi huo na madaktari waroho wa hela wanao watisha tisha huko na wenyewe wanajaa kisha wanapasuliwa.Izo nyoga za sikuizi ni za kichina ndio maana zinagoma ovyo ovyo au acheni kupotosha watu bhana tumezaliwa ivyo ivyo sisi sote leo kizazi chetu kuzaa ndio nyonga zinagoma kweli !!!!!!!!!.
Acha kumlisha mwenzio upupu. Operation ni kwa wanawake waliojaa hofu za kipuuzi walizopandikizwa huko wanakojua wao.Omba Mungu
Nyonga zikigoma operation ni salama kwako
Hilo kovu linabaki nje tu lakini ndani kile ni kidonda cha maisha.Ndio kovu linabaki lakini ni dogo sku iz wanachana sehemu ndogo, nimeshuhudia kwa mademu wawili niliowala
Hao wanaozalishwa kwa mavisu hata kufikisha watoto wanne tu ni inshu.Dada utazaa salama asikutishe uyo mpka leo watu wanazaa kawaida pasipo kisu tena adi watoto 12 hao wa visu wanajua wanayo yafanya ndio maana awataki kuzaa kawaida.
Kwanini wasifanye mazoezi?Aina ya maisha
Watu wengi ni wakaaji hasa wenye vipato
Wasio na vipato wanajishughulisha/wanamove miili sana kama wamama wa zamani hivyo ni wepesi
Vipi ndonda hilo lilipo ndani ya tumbo lako madaktari wanakwambiaje?Sio kila mtu anachagua CS kwa sababu mlizotaja nyie. Km mtu nyonga ni ndogo akaue mwanae sababu anataka kusifiwa kwamba alipush?? Binafsi wakat najifungua mwanangu nilitamani nipush Ila nikajikuta jumatatu asubuhi mpaka J4 asubuhi mtoto amesogea cm 4 wakati zinatakiwa angalau 10 ndipo upush. Drip 2 za uchungu bado hasogei yani ilibidi nikimbilie kisu. Na ndani ya Dk 30 nilikuwa nimeshamuona mwanangu baada ya kuchoka mateso ambayo pia yangehatarisha uhai wa mwanangu na mm mwenyewe.
Kwa kuwa nshajua nyonga zangu ndogo Safari ijayo nitachagua tu kisu mapemaaa. Mungu anilinde maana huko nako kuna complication zake.
Bila shaka wewe utakuwa ni mmoja wapo wa hao madaktari walafi ambao mmeigeuza hii kama biashara, mnadanganya watu kuwa wana complications hili muwapasue mtengeneze hela, sasa unajifanya ku-mind baada ya kuona kuna watu mnaoshirikiana nao hawapendi mnachokifanya na wameamua kuwa disclose.Kwa hiyo HAWALA yako anakupa sili za wagonjwa? huyo atakuwa wa vyeti feki na hana kiapo cha utabibu,tutamfatilia na hatua sitahiki achukuliwe.
Comments za kipopoma uzipotezee tu mzee baba.Kakojoe ukalale wakubwa wanapozungumza.