LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,449
Operation ndio njia yenye uhakika wa uzazi salama kwa dunia ya leoMadhara yapo mengi sana. Sema tu nimeona uzi utakuwa mrefu sana.
Mijini humu unasikia vifo vya wazazi tena?..
Kupush yataka mtu ambae nyonga yake si lelemama..kuzaa natural na kifo ni suala la 50/50