Wanawake wengi huomba kufanyiwa upasuaji badala ya kujifungua kawaida

Kuna kitu hapo kimefichwa nyuma ya pazia acha nitumbue jipu km mkeo anajifungua kwa oparation anazuga ni kwa ajiri ya urembo nasema hapana.
Sababu ya wanawake kukwepa kupush na kukimbiria kisu ni (USODOMA NA UGOMORA) Wengi wanaogopa ku push wanajua siri itakua imefichuka maana kwenye ku push pale km unafanya iyo michezo ya kishetani lazima kinyesi kipite na pumzi ikate mpka wazibe hilo tundu ndio anaweza ku push

Hivyo basi ukute mkeo anafanya iyo michezo nje ya ndoa mme ajui na mara nyingi ndoa zimevunjika kwenye chumba cha kujifungulia kina mama mme anagundua tabia za kishetani za mke wake kupitia kujifungua sasa sikuizi wamekua wajanja sababu zimekua nyingi ndio maana wote wanakimbilia huko.
Ni uzembe wa hali ya juu kushindwa kumgundua mkeo kama anaingiliwa huko nyuma, mwanamke anayeingiliwa huko nyuma ukimuweka style ya mbuzi kagoma kwenda tundu hubaki wazi
 
Izo nyoga za sikuizi ni za kichina ndio maana zinagoma ovyo ovyo au acheni kupotosha watu bhana tumezaliwa ivyo ivyo sisi sote leo kizazi chetu kuzaa ndio nyonga zinagoma kweli !!!!!!!!!.
Aina ya maisha

Watu wengi ni wakaaji hasa wenye vipato

Wasio na vipato wanajishughulisha/wanamove miili sana kama wamama wa zamani hivyo ni wepesi
 
Sio kila mtu anachagua CS kwa sababu mlizotaja nyie. Km mtu nyonga ni ndogo akaue mwanae sababu anataka kusifiwa kwamba alipush?? Binafsi wakat najifungua mwanangu nilitamani nipush Ila nikajikuta jumatatu asubuhi mpaka J4 asubuhi mtoto amesogea cm 4 wakati zinatakiwa angalau 10 ndipo upush. Drip 2 za uchungu bado hasogei yani ilibidi nikimbilie kisu. Na ndani ya Dk 30 nilikuwa nimeshamuona mwanangu baada ya kuchoka mateso ambayo pia yangehatarisha uhai wa mwanangu na mm mwenyewe.
Kwa kuwa nshajua nyonga zangu ndogo Safari ijayo nitachagua tu kisu mapemaaa. Mungu anilinde maana huko nako kuna complication zake.
 
Iyo ni kwako mkuu ilitokea aukupanga iwe ivyo bt wa sikuizi wanapanga kuzaa kwa kisu ata kabla ya ujauzito sasa km sio ufirauni ninin? Ajaambiwa na dr ayo ni maamuzi yake binafsi.
 
Back
Top Bottom