Wanawake wengi huomba kufanyiwa upasuaji badala ya kujifungua kawaida

Hapana siwezi kuwaambia hivyo maana sijui kwa nini alipata operation kuna wengine uchungu aliupata na akateseka ila mwisho wa siku akaambulia kisu kunusuru maisha yake na ya mwanae na kuna mwingine aliupata uchungu na kisu juu na bado akakosa mtoto, huyu kumjibu hivyo ni kumuumiza maana uchungu wa labour anaujua mule ni nusu kifo either utoke mzima au utoke umefariki au mtoto mzima au amefariki au nyote wawili muende kaburini.
Okyyyyy
 
Ni kweli binafsi wanakuja wengi wakiwa na shida mbalimbali za kiafya,ukimuuliza kwa nini una tumbo kubwa utasikia "Nilijifungua kwa upasuaji dr". Ukiuliza ulipatwa na shida gani mpaka ukajifungua kwa upasuaji wengi useme ni kuzuia uke usitanuke ili waume zao wasijetoka nje ya ndoa.Kimsingi dada zetu wanafanya kila wawezacho kuhakikisha waume zao wanaridhika.
Wengi wanaoomba "kuzaa" kwa operation ni wale watoaji wazuri wa 0713
 
Wafuasi wa nabii Tito? anyway mie kuna mdada alikuwa na mimba yake ya kwanza, yeye alichagua kuzaa kwa operation na sababu zake alisema kwanza anakwepa uchungu, pili anajihisi kuwa ana ukimwi hivyo akizaa kwa kisu basi sio rahisi kumwambukiza mtoto na mwisho akasema ni kuitunza K yake ibaki kawaida, ila pia jamaa waliokuwa wanatoka naye walikuwa wanamsifia sana X713
Halafu eti LadyRed anajifanya kuwatetea hapa.
 
Unaandika kimihemko. Kwa hali ya sasa ili kumnusuru mtoto na madhara ya kuzaliwa ni bora mama akajifungua kwa Operation ya kupanga. Nakuapia mtoto ambaye hakupitia misukosuko ya kubanwa, au kunywa maji ya uzazi, nk huwezi kumkuta ana bichwa kubwa au kuwa taahira. Sisi tulipona kwa vile tulizaliwa vijijini na wakunga wa jadi. Makabila mengine kama wamasai walikataza mjamzito kula baadhi ya vyakula ili katoto kaziwe kakubwa kakashindwa kupita katika mlango wa uzazi etc. Hivi unajua mateso ya mama wajawazito hadi mwingine alijichana na kutoa mtoto? Let’s congratulate those mother who arrange and I do repeat who arrange for Operations
Wale wale
 
Tatizo baadhi ya Me wenzio walivyoandika hapa wanajumuisha wanawake wote hadi wale wenye complications. Na kuna mmoja hapo juu ye anachukulia hata hizo tatizo zinazosababisha mtu afanyiwe Upasuwaji hazipaswi kuwepo. Eti kisa zamani hawakufanyiwa. Ya kweli hayo?

Tusitake kuileta zamani wakati ishapita hiyo. Na ndio sababu maisha waliyoishi hao wa zamani yako tofauti na tunayoishi sasa.

Mi naona wajikite kwenye wale wanaotaka wenyewe.

Na hizi visingizio vyenu nyie wanawake wa kileo vya kuwafanya nyie mkimbilie kisu?

Very very stupid reasons.
 
Maisha ya sikuhizi wangapi wanafanya mazoezi?.

Kazi ama biashara anashinda amekaa

Nyumbani kajaza wafanyakazi wa ndani
Na mnaishi hivyo mkijua kabisa athari zake ni zip kwa kwa mama mjazito wakati wa kujifungua au mnakuwa hamjui? Basi kama ndio hivi wanawake wa siku hizi hasa wasomi niko sawa kabisa kuwaita wajinga.

KellyLowland mwenyewe huwa anashinda gym kipindi chake chote cha ujauzito halafu eti waswahili mnajifanya hamna huo muda. Submit
 
Mhhhh kwa jinsi mshono unavyouma (ninavyowasikia wakilalamika) lakini pia naimagine mtu kuwa na kidonda mshono wa maisha, mimi nilikuwa naingizwa kwenye chumba cha upasuaji aiseee niliomba niliomba sana Mungu aniepushe na kisu niliomba sana jamani sidhani kama mpaka leo kuna siku nliyoomba kama siku ile, ikatokea bahati pia kuna mchungaji kaja kumuombea mtumishi wake kwa vile labour nzima niliyekuwa naomba kwa sauti ni mie wakajua huyo mchungaji amenifata mie basi wakamuingiza chumbani kwangu kwa dakika 2 aiseee niliomba siku ile sikulia kama wengine mimi niliomba tu niepushwe na kisu, na kweli Mungu wangu si kiziwi alisikia maombi yangu wakati wanajiandaa vifaa na chumba cha upasuaji nami nikajifungua njia ya kawaida.
Mimi ni nani mpaka niogope kujifungua kawaida ilihali hata kwenye vitabu vya dini vimetueleza tuzae kwa uchungu.
Nafikiri huo uchungu na experience hiyo ndo inatengeneza bond aiseee nampenda sana kidume changu na yeye ananipenda hatariiii na tumefananana mno.
Amu hongera sana kwa kumkumbuka Mungu, yaani ume hubiri na kutaja mambo makuu Mungu aliyo kutendea kwa wakati mmoja.

Bravooooo!!
 
Na hao mama zetu wa zamani Eliza watoto wengi kwa njia ya kawaida na wamedumu na Wayne zao hadi kuzikana
Aisee mimi nna mama zangu 7 hivi kwenye tumbo la bibi, na wote wana watoto angalau wanne wanne, hizi mambo za sijui CS hawakuwahi kujizua kabisa enzi zao, wamekuja kuziona kwa mabinti zao hawa ambao kipindi chao chote cha ujauzito wanashinda wamelala na kuchati tu.
 
Mazoezi hayasababishi usipasuliwe unaambiwa sukuma mtoto anatanguliza miguu jiulize kifuatacho.....
Basi tuambie nini kinachopelekea mtoto kutanguliza miguu!?

Tupe scientific explanations na sio blah blah za kihisia tu.
 
Kuna kitu hapo kimefichwa nyuma ya pazia acha nitumbue jipu km mkeo anajifungua kwa oparation anazuga ni kwa ajiri ya urembo nasema hapana.
Sababu ya wanawake kukwepa kupush na kukimbiria kisu ni (USODOMA NA UGOMORA) Wengi wanaogopa ku push wanajua siri itakua imefichuka maana kwenye ku push pale km unafanya iyo michezo ya kishetani lazima kinyesi kipite na pumzi ikate mpka wazibe hilo tundu ndio anaweza ku push

Hivyo basi ukute mkeo anafanya iyo michezo nje ya ndoa mme ajui na mara nyingi ndoa zimevunjika kwenye chumba cha kujifungulia kina mama mme anagundua tabia za kishetani za mke wake kupitia kujifungua sasa sikuizi wamekua wajanja sababu zimekua nyingi ndio maana wote wanakimbilia huko.
Yupo mke wa mshikaji alihitaji kufanyiwa operation na vile vile hakuitaji ndg wa mume hospital alichagua hospital anaeijua mwenyewe,baada ya muda ndg wakagundua kumbe yule mwanamke ana michezo ya sodoma na gomora na hata huyo mtt aliezaa hakuwa wa mshikaji
 
Back
Top Bottom