Wanawake wazuri wana sauti mbaya na wenye sura mbaya wana sauti za kuvutia

Habari za jioni wakuu, naamini mu wazima wale ambao hawapo vizuri nawaombea Mungu awape shifaa

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimechunguza wanawake wengi wenye sura nzuri wana sauti mbaya na wanawake wenye sura mbaya wengi wao wana sauti nzuri na hii imechangia kuwaingiza Chaka wanaume wengi wanaopenda kufanya dating mtandaoni

Naomba kuwasilisha
Upewe vyote we nani
 
Vigezo gani vinatumika kuangalia mwanamke mzuri na mbaya tuanzie hapo kwanza
 
Uko sahihi ...

Kuna manzi hapa huwa nikimcall moyo wangu unasuuzika..
 
Back
Top Bottom