kid ink tz
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 307
- 320
Duu kabla ya kuandika huku vuta bangi etiMama yako ana sauti gani?
Duu kabla ya kuandika huku vuta bangi etiMama yako ana sauti gani?
Mama yako ana sauti gani?
Upewe vyote we naniHabari za jioni wakuu, naamini mu wazima wale ambao hawapo vizuri nawaombea Mungu awape shifaa
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimechunguza wanawake wengi wenye sura nzuri wana sauti mbaya na wanawake wenye sura mbaya wengi wao wana sauti nzuri na hii imechangia kuwaingiza Chaka wanaume wengi wanaopenda kufanya dating mtandaoni
Naomba kuwasilisha
jamaaa umepiga nyoka kichwani duuuuh ndo umeshaua hivyo.