Wanawake wazuri wana sauti mbaya na wenye sura mbaya wana sauti za kuvutia

Mhaja

Senior Member
Feb 23, 2017
119
90
Habari za jioni wakuu, naamini mu wazima wale ambao hawapo vizuri nawaombea Mungu awape shifaa

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimechunguza wanawake wengi wenye sura nzuri wana sauti mbaya na wanawake wenye sura mbaya wengi wao wana sauti nzuri na hii imechangia kuwaingiza Chaka wanaume wengi wanaopenda kufanya dating mtandaoni

Naomba kuwasilisha
 
1.Mwanamke mzuri ni yupi ?
2. Mwanamke mbaya ni yupi ?
 
Hata Radio presenters wengi...wanasauti nzuri muonekano wa kawaida kisura
 
Habari za jioni wakuu, naamini mu wazima wale ambao hawapo vizuri nawaombea Mungu awape shifaa

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimechunguza wanawake wengi wenye sura nzuri wana sauti mbaya na wanawake wenye sura mbaya wengi wao wana sauti nzuri na hii imechangia kuwaingiza Chaka wanaume wengi wanaopenda kufanya dating mtandaoni

Naomba kuwasilisha
Ukweli mtupu.
 
Acha wenda wazimu akuna mwanamke mbaya ata mamako kuna walio muona mbya bt babako akaona kifaa kuwa na adabu bwana mdogo.
 
Back
Top Bottom