Wanawake wazuri na vibweka vyao!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,379
Ninaposema wanawake wazuri nina maana pana sana na yenye utata kwa kiasi kikubwa kwa sababu uzuri kama dhana dhahania inachanganya sana. Je wanawake wazuri ni wenye sifa zipi na hasa ni wazuri kwa akina nani na sio kwa wengine? Lakini kwa kusudi la kufikisha ujumbe huu naweza kusema wanawake wazuri ni wale ambao watu wengi wakiwatazama hukubali kwamba wana maumbile au sura ambazo zinakubaliwa na maoni yao au maana ya uzuri kwa viwango ambavyo akili zao zinaamini.

Kwa kuwa wanaume wa dunia hii wamelelewa na kujengewa dhana kuwa mwanamke ana kazi kubwa moja tu ambayo ni kumstarehesha mwanaume, humtazama mwanamke kama wanavyo tazama ua au mapambo mengine na huenda mbali zaidi na kumtazama mwanamke kama mashine ya kuwakatia kiu ya tamaa ya miili yao. Inakuaje?
Wanaume wengi wanaamini kwamba wanawake wengi wazuri wa sura na maumbile (labda) huwa wana matatizo ya kuwaringia wanaume. Kuwaringia wanaume kuna maana ya mwanamke kutokua tayari kuwa mtumwa wake na kifaa chake cha kukatia kiu ya kimwili. Kwa imani hiyo wanaume huwa waangalifu sana katika kushughulika na wanawake wazuri kwani huogopa kwamba watakua wakiteleza pale watakapokuwa wakitaka kuwabana.

Inawezekana kabisa wanawake wazuri hawana tatizo hilo. Bali wanaume ndivyo wanavyo amini. Kuamini ndiko kunapopelekea waogope kuwaoa. Wanaume huwa wanasema “mwanamke kama yule hafai kuoa labda kuchezea tu kwani ukimwoa atakusumbua sana…” Kauli kama hii ina maana kwamba mwanamke mzuri ukimwoa atataka kuwa na kauli kwa sababu ni mzuri nawe itabidi ukubali hili.

Lakini kwa upande wa pili wanawake wazuri nao wanapogundua kwamba ni wazuri huku wakiwa wanaamini kwamba uzuri wao ni silaha ya kuwapigia wanaume kamwe hawawezi kuolewa au wanaweza kujikuta ndoa zao hazidumu. Hii ni kwa sababu kwa kuamini kwao hivyo hufanya mambo kwa kiwango cha kupindukia. Huwatenda wanaume yasiyopendeza kwa kuamini kwamba kwa sababu ni wazuri hawawezi kuachwa na hata wakiachwa wataolewa baada ya mda mfupi.
Bila shaka umeshawahi kusikia hata wanawake wenyewe wakisema “flani anautumia uzuri wake vilivyo anawaburuza kweli wanaume” Hii ina maana kwamba uzuri wao ni silaha nzuri ya kuwashikisha adabu wanaume.

vitu havina thamani isipokuwa tumevipa! pia mtu hana thamani isipokuwa tumempa.
 
Sorry to say this lakini ndo ukweli wanawake wengi ambao ni wazuri sana they are horrible in bed,nadhani uzuri wao unawapa kiburi cha kutotaka kujifunza namna bora ya kumridhisha mwanaume,its a fact kinamama wala msinibishie katika hili.
 
Wanawake ambao ni wazuri alafu limbukeni na washamba... no matter how modern or polished they look yaweza kua kweli for hawajitumi... BUT kuna wanawake wazuri ambao wanajua kua Uzuri wao attached with intelligence and Sex techniques (sio kwa malengo ya kuchanganya but kwa malengo ya kua Super Great) yaweza wapeleka places... And if you find such a lady.... kama tu ana hio intelligence ya kutambua hilo... She is almost PERFECT!!! Ingawa hakuna mwanadamu mwenye kasoro....
 
one in a million!
 
maelezo mazuri,...
 
one in a million!

Kutokana na ukweli kua sasa hivi uzuri wanunuliwa kikubwa uwe na mpunga wa maana... naweza sema one in a HUNDRED.... Sababu mwingine she is always intelligent na aweza shughuli... with time anaji polish and she is beautiful...
 
Sorry to say this lakini ndo ukweli wanawake wengi ambao ni wazuri sana they are horrible in bed,nadhani uzuri wao unawapa kiburi cha kutotaka kujifunza namna bora ya kumridhisha mwanaume,its a fact kinamama wala msinibishie katika hili.
<br />
<br />
duh!
 
@AshaDii......... Uzuri wa kununuliwa (Huu nitauzungumzia katika mfululizo wa mada zangu) huwa hauna nguvu sana kama huo ambao nimeuzungumzia (Natural Beauty) Na kwa taarifa yako wanaume wengi huwaepuka sana wanwake wenye uzuri wa Bandia. Kwa hiyo hawa tusiwajumuishe hapa.
 
Ninaposema wanawake wazuri nina maana pana sana na yenye utata kwa kiasi kikubwa kwa sababu uzuri kama dhana dhahania inachanganya sana. Je wanawake wazuri ni wenye sifa zipi na hasa ni wazuri kwa akina nani na sio kwa wengine? Lakini kwa kusudi la kufikisha ujumbe huu naweza kusema wanawake wazuri ni wale ambao watu wengi wakiwatazama hukubali kwamba wana maumbile au sura ambazo zinakubaliwa na maoni yao au maana ya uzuri kwa viwango ambavyo akili zao zinaamini.

Kwa kuwa wanaume wa dunia hii wamelelewa na kujengewa dhana kuwa mwanamke ana kazi kubwa moja tu ambayo ni kumstarehesha mwanaume, humtazama mwanamke kama wanavyo tazama ua au mapambo mengine na huenda mbali zaidi na kumtazama mwanamke kama mashine ya kuwakatia kiu ya tamaa ya miili yao. Inakuaje?
Wanaume wengi wanaamini kwamba wanawake wengi wazuri wa sura na maumbile (labda) huwa wana matatizo ya kuwaringia wanaume. Kuwaringia wanaume kuna maana ya mwanamke kutokua tayari kuwa mtumwa wake na kifaa chake cha kukatia kiu ya kimwili. Kwa imani hiyo wanaume huwa waangalifu sana katika kushughulika na wanawake wazuri kwani huogopa kwamba watakua wakiteleza pale watakapokuwa wakitaka kuwabana.

Inawezekana kabisa wanawake wazuri hawana tatizo hilo. Bali wanaume ndivyo wanavyo amini. Kuamini ndiko kunapopelekea waogope kuwaoa.
Wanaume huwa wanasema "mwanamke kama yule hafai kuoa labda kuchezea tu kwani ukimwoa atakusumbua sana&#8230;" Kauli kama hii ina maana kwamba mwanamke mzuri ukimwoa atataka kuwa na kauli kwa sababu ni mzuri nawe itabidi ukubali hili.

Lakini kwa upande wa pili wanawake wazuri nao wanapogundua kwamba ni wazuri huku wakiwa wanaamini kwamba uzuri wao ni silaha ya kuwapigia wanaume kamwe hawawezi kuolewa au wanaweza kujikuta ndoa zao hazidumu. Hii ni kwa sababu kwa kuamini kwao hivyo hufanya mambo kwa kiwango cha kupindukia. Huwatenda wanaume yasiyopendeza kwa kuamini kwamba kwa sababu ni wazuri hawawezi kuachwa na hata wakiachwa wataolewa baada ya mda mfupi.
Bila shaka umeshawahi kusikia hata wanawake wenyewe wakisema "flani anautumia uzuri wake vilivyo anawaburuza kweli wanaume" Hii ina maana kwamba uzuri wao ni silaha nzuri ya kuwashikisha adabu wanaume.

...@Red, huo msemo umetawala sana hapa mjini kwa sasa na unatumiwa sana na vijana ambao hawajaoa. au hata waliooa. Na nafikiri wengi wetu huwa tunamaanisha zaidi Uzuri wa Sura na Umbo la M`mke kwa vile tu umemuona kwa mara ya kwanza, muonekano wa machoni.
My Point is, Si wanawake wote wazuri kwa Sura na Umbo basi wana kasoro.
 
@AshaDii......... Uzuri wa kununuliwa (Huu nitauzungumzia katika mfululizo wa mada zangu) huwa hauna nguvu sana kama huo ambao nimeuzungumzia (Natural Beauty) Na kwa taarifa yako wanaume wengi huwaepuka sana wanwake wenye uzuri wa Bandia. Kwa hiyo hawa tusiwajumuishe hapa.

Natura beauty... labda kama ni binti wa 18 years..... Mtambuzi kuna wadada alikua mbaya wakati unasoma nae unakuja onana nae baada ya miaka kadhaa unasahau kabisa kua she is the one.... Sasa kama muonekano wake ni mzuri... anakua disqualified kua hayupo kwenye group?? na kama anakua disqualified... utatumia vigezo gani kujua kama alikua mzuri ama mbaya hapo zamani ukionana nae at par??
 
Sijui kwa wanaume wenzangu, lakini kwa mimi binafsi, ninaweza kabisa kutofautisha Natural Beauty na artificial Beauty............., lakini pia labda nikufahamishe kwamba hata wale wanaosemekana kuwa ni wazuri kwa mtazamo wa watu, nao pia huangukia katika kuongeza vikorombwezo vya vipodozi ili kuongeza uzuri wao, kitu ambacho wanaharibu.....na hiyo inatokana na kutojiamini. kwa hiyo usidhani nakubishia ila nilitaka kuweka angalizo..............
 
Nimekupata Mtambuzi... For nikifuata the direction umeenda nitatoka nje ya mada i think...
 
hujiamini kwa kudhani muda wowotw watapendwa ... kumbe muda unaenda na wanazidi kuchezewa
 
Sorry to say this lakini ndo ukweli wanawake wengi ambao ni wazuri sana they are horrible in bed,nadhani uzuri wao unawapa kiburi cha kutotaka kujifunza namna bora ya kumridhisha mwanaume,its a fact kinamama wala msinibishie katika hili.
<br />
<br />

Sorry to disappoint u, lkn ukiona mwanamke hajitumi kitandani jua weye ndio horrible kwani humpandishi/humhamasishi! Nani kakwambia lengo la mwanamke ni kumfurahisha mwanaume? U will be dissappointed to know kuwa mwanamke humake love kwa enjoyment yake, in the process anakufurahisha nawe!

Now about wanawake wazuri kutoolewa, ni kutojiamini kwa wanaume tu! Mnakuwa na wasiwasi kuwa wengine waliojuu yako wanaweza mcharm na kukuacha ndio maana mnaishia kuoa less attractive ila mkiendelea kutamani wadada wazuri! Just shame the devil by being a little honest!
 
Kutokana na ukweli kua sasa hivi uzuri wanunuliwa kikubwa uwe na mpunga wa maana... naweza sema one in a HUNDRED.... Sababu mwingine she is always intelligent na aweza shughuli... with time anaji polish and she is beautiful...
between a mwanamke intelligent na mwanamke mzuri i will go for an intelligent one,after all life with her will always be stimulating.
 
I like msimamo wako..... Bishanga wanaume wengine waoga kweli wa Intelligent women... Intelligent women mara nyingi hukosa wanaume if she really opens up yale ambayo she knows..... sad.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom