Wanawake waweka kikwazo uchaguzi wa mayor arusha

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,210
2,000
TAMISEMI Imetoa maagizo Wakurugenzi, Mayors, Wenyeviti wa halamashauri na wakuu wa idara wakae vikae mnamo tarehe 17/12/2010 kwa ajili ya utambulisho na kuanza mipango ya maendeleo.

Ila wanawake wa Mkoa wa Arusha wameweka kikwzo katika uchaguzi wa Mayor kufuatia kuchakachuliwa kwa jina la mwenzao katika ubunge wa viti maalumu. Mwenzao alishinda lakini kama ilivyo ada jina lake likachachuliwa na kuwekwa la mgombea mwingine ambae yuko karibu na waheshimiwa sana.

Source - TAMISEMI
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom