Wanawake wawagaragaza wanaume Stories Of Change

Nilitegemea kuona majina ambayo tumeyazoea kuona kwenye thread nyingi humu dooh
Watu hawataki identity zao ziwe unclassified.

Majina ya kwenye threads yatabaki kama yalivyo na threads zake ila katika washindi hapo kuna mmoja ni mwananzengo wa JF maarufu sana mwenye threads tenashara sema aliingia na identity ingine.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya safari ndefu ya shindano la Stories Of Change hapa jukwaani hatimaye leo tumejua yupi kaibuka na kitita cha milioni tano. Mshindi wa kwanza na wa pili wote ni wanawake

1. Golder Anael Mmari
2. Shiija Balla Masele

Tangu shindano limeanza nimekuwa mfuatiliaji kwa kusoma makala mbalimbali ambazo members wenzangu walikuwa wanatupia ili kuwania ushindi.

Niwapongeze wote kwani yalikuwa ni madini matupu yanarushwa naamini majaji wamepata tabu sana kuyachambua na hatimaye kutuletea washindi hawa ambao kwa hakika wanastahili kulamba zawadi zao.

Ila sasa wanawake hawajabaki nyuma na wamepambana kuonesha kuwa katika zama hizi wanawake wanaweza kuchangamkia fursa na kuminyana vyema na wanaume kwani wote tumeona wameshika nafasi za juu za ushindi yaani wa kwanza na wapili, HONGERENI WANAWAKE.

Hii iwe chachu kwa wanawake wengine wasijidharau kila itokeapo fursa waingie kuichangamkia vyema ili kuondoa dhana ya wanawake kuwa hawana uwezo wa kufanya vitu vikubwa

Kuona makala za washindi soma hapa:LIVE - Story of Changes: Yanayojiri katika Utoaji wa Zawadi ya Washindi wa Shindano la Uandishi la JamiiForums
na ukizingatia nchi tunaiongoza sisi wanawake hahhhahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Watu hawataki identity zao ziwe unclassified.

Majina ya kwenye threads yatabaki kama yalivyo na threads zake ila katika washindi hapo kuna mmoja ni mwananzengo wa JF maarufu sana mwenye threads tenashara sema aliingia na identity ingine.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
hahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenifurahissha sana hataki afahamike kwa id yake jf si mchezo
 
Baada ya safari ndefu ya shindano la Stories Of Change hapa jukwaani hatimaye leo tumejua yupi kaibuka na kitita cha milioni tano. Mshindi wa kwanza na wa pili wote ni wanawake

1. Golder Anael Mmari
2. Shiija Balla Masele

Tangu shindano limeanza nimekuwa mfuatiliaji kwa kusoma makala mbalimbali ambazo members wenzangu walikuwa wanatupia ili kuwania ushindi.

Niwapongeze wote kwani yalikuwa ni madini matupu yanarushwa naamini majaji wamepata tabu sana kuyachambua na hatimaye kutuletea washindi hawa ambao kwa hakika wanastahili kulamba zawadi zao.

Ila sasa wanawake hawajabaki nyuma na wamepambana kuonesha kuwa katika zama hizi wanawake wanaweza kuchangamkia fursa na kuminyana vyema na wanaume kwani wote tumeona wameshika nafasi za juu za ushindi yaani wa kwanza na wapili, HONGERENI WANAWAKE.

Hii iwe chachu kwa wanawake wengine wasijidharau kila itokeapo fursa waingie kuichangamkia vyema ili kuondoa dhana ya wanawake kuwa hawana uwezo wa kufanya vitu vikubwa

Kuona makala za washindi soma hapa:LIVE - Story of Changes: Yanayojiri katika Utoaji wa Zawadi ya Washindi wa Shindano la Uandishi la JamiiForums
Huoni kama umwatambulisha rasmi majina yao halisi hadharani? Mfano ,mshindi wa kwanza alinifuata na nkampigia kura hivyo namjua id yake ya jf
 
Back
Top Bottom