Wanawake Watanzania waletwa Kenya na kutelekezwa

I thank Kenyans who are trying to help the poor girls get back home. If it was Kenyans in Tz, they would be charged with illegal immigration etc and jailed. Yet this just an unfortunate story.
"Nonsense"
Poor girls? what does it mean.

Hao wamedanganyika kwa issue ya mapenzi tu nothing else.
 
eti ndio wale sasa....hehe ukiwaskia wakiongea utadhani tz imejaa waresh lol! hawa sura zinakaa kama Khoikhoi wa Botswana...:D:D ndio maana wanadanganywa...desperate chics...nikama maisha yamekuwa magumu kule kwa magu...wasanii wanaanzisha tweef na wakenya ndio waskike...wengine wanakimbilia waume wa kenya waoleke...maskini tz:D:D
Ndiyo mana kila siku tunasema wakenya ni wezi na matapeli hao wadada watakuwa awajajiunga jf ingewafumbua macho kuhusu kwanini tunawaiteni manyangau ilo jizi la Kenya limekuja tz na misuti wadada wakadanganyika wakadhani wakenya ni Matajiri kumbe mafukala wanaishi kwenye mabanda ya kibera nawashauri dada zetu hivi WASIONE MKENYA KAVAA SUTI WAKADHANI NI TAJIRI MIKENYA YOTE YA KIBERA INATINGA SUTI KUMBE INALALA KENYE MABANDA KAMA NGURUWE UKO KWAO
 
Wewe lwiva usitutie lawama wanachopenda dada zenu kutoka kwa wakenya si suti. Wanapenda wanaume wa kikenya kwasababu hawabanii pesa afu ni wanaume rijali hamna cha chipsi mayai wala nini. Walivozoea nyie vibamia wakishapigwa njiti la kweli hamna namna wanahamia Kenya kabisa.
 
Wewe lwiva usitutie lawama wanachopenda dada zenu kutoka kwa wakenya si suti. Wanapenda wanaume wa kikenya kwasababu hawabanii pesa afu ni wanaume rijali hamna cha chipsi mayai wala nini. Walivozoea nyie vibamia wakishapigwa njiti la kweli hamna namna wanahamia Kenya kabisa.
Huwa wanawapenda Wakenya coz ni mabwege wanaoweza kuwapa kipigo mda wowote, Wanaume wa Afrika Mashariki tusimame pamoja tuwatetee Wanaume wa Kenya wapunguziwe kipigo kutoka kwa madem zao
 
Hii inafaa kuwa fundisho kwa wanawake ambao wameonyesha kuwa desperate kiasi cha kumuanguakia yeyote bila kujua mtu wa aina gani. Hawa wametokea Kahama, Tanzania na wameletwa Kenya baada ya mmoja wao kudanganywa kwamba ataolewa hii ni baada ya kukutana na mshukiwa huko Tanzania.
Jamaa baadaye aliwapiga chenga na kutoweka baada ya 'mpenziwe' kugomea tendo bila kinga, cha kushangaza wanawake wenyewe hata hawafahamu majina yake, walimwangukia tu na kujiachia kwa kwenda mbele. Muwe makini maana mtauzwa hadi mkome.
Shirika la kibinadamu limewapokea hawa na maandalizi yameanza ya kuwapa nauli na chakula ili warudi walikotoka.

tza.jpg


Violet Johnhanson, 22, and Nyang’ole Lucas, 29, both residents of Kahama in Tanzania, at the Baharini Police Post in Eldoret on May 25, 2017. PHOTO | GERALD BWISA | NATION MEDIA GROUP
A man has dumped two Tanzanian women in a guest house in Eldoret in a suspected case of human trafficking.

Violet Johnhanson, 22, and Nyang’ole Lucas, 29, both residents of Kahama, Tanzania, say the man abandoned them after Violet turned down his request for unprotected sex.

MARRIAGE

The Nation found the two seeking police help at the Baharini Police Post, three kilometres from the Eldoret town centre.

The women claimed they agreed to leave Tanzania after the man, whose identity is yet to be established, promised to marry Violet.

According to Violet, the man approached her in a hotel in Sirare, on the border of Kenya and Tanzania, where he expressed his interest in marrying her.

“We got acquainted and after having a good conversation, he asked if I could marry him,” she said.

She said she fell for the man's lie after realising that they were both recovering from broken relationships.

SH1 MILLION

“He told me that his ex-wife stole Sh1 million from him and felt I should give him a chance since I was fed up with being single.”

She said she gave in to the man’s request on condition that he visit her parents and introduce himself.

“In the evening, at the same hotel, he had second thoughts and told me to visit his parents in Kenya, instead.”

And with that, the two left Sirare for Eldoret, where Violet’s newfound love said he had his roots and a home.

Nyang’ole, Violet’s friend, said she decided to accompany them to ensure her safety.

“I have heard of many stories concerning Tanzanian women being brought to Kenya by Kenyan men in the name of marriage only to be neglected,” she said.

GUEST HOUSE

“I wanted to make sure that my friend was safe and later inform her parents of her whereabouts.”

However, things did not go as planned, as the man booked a guest house in Maili Nne, a few kilometres from Eldoret, instead of taking his love to his parents’ home.

“First, he wanted the three of us to share one room, but I resisted so he was forced to take another room,” said Violet.

She said their ‘love’ bond was put to test after he insisted to have unprotected sex with her, a request she resisted on the grounds that they both get tested for HIV.

“He was so disappointed and annoyed with me that he got out of the room and later came back to pick up his briefcase claiming that he was going to collect some money from a nearby ATM. That was the last time I saw him,” she added.

Well-wishers directed the two to the police station, where they reported the incident and sought help.

BORDER

Kipkorir Ng’etich, an activist with the Centre for Human Rights and Democracy, blamed the border patrol police for not doing their job.

“If they could have done their job properly these women would not have ended up in the country in the first place,” said Mr Ng’etich at his office in Eldoret.

“We appeal to the government to be strict on that by ensuring goods brought or individuals entering the country are screened," he said.

He said his organisation would ensure that the two women return to their country by offering bus fare and food.

Eldoret West police boss Samuel Mutunga said his officers were looking for the man, who had registered at the Makuti pub using the fake name Livondo.

“We are also going to question the owner of the guest house as to why people book rooms there without proper identification and also urge him to assist in tracing the man,” said Mr Mutunga.

Man dumps Tanzanian women in Eldoret
Story nyingine bana, hazina mshiko
 
Wewe lwiva usitutie lawama wanachopenda dada zenu kutoka kwa wakenya si suti. Wanapenda wanaume wa kikenya kwasababu hawabanii pesa afu ni wanaume rijali hamna cha chipsi mayai wala nini. Walivozoea nyie vibamia wakishapigwa njiti la kweli hamna namna wanahamia Kenya kabisa.
Yaani wanawake wa TZ wawaogope Wanaume wa Kenya wanaopigwa na wake zao kila uchwao na Wasiowaridhisha kitandani?

Nimeishi sana Kenya, wanawake wa TZ watakuwa na mwanaume wa Kenya kwasababu ya PESA tu. Tena wasio wabahili ni wakikuyu tu na at least wana roho nzuri na ni washkaji kuliko wanawake wao wa kikikuyu.

Kenya viepe ni kiiiila baada ya hatua 2 hapo usitudanganye kuhusu viepe.

Unajua kilichomuua Ndikumana mume wa Irene Uwoya kisha akaolewa na dogo janja?

Unajua kilichomuua Ivan Mume wa Zari kisha zari kuchukuliwa na Diamond?


Nimewapelekea sana washkaji zangu wa Nairobi kule Bomas, Karen na Rongai dawa za kuongeza nguvu kitandani tena ya viungo tu ambavyo wao hawakuvijua before na mpaka leo wanahitaji mzigo ili kuwaridhisha wake zao jooh.

Usikurupuke usivyovijua.
 
wana passport??
mmejuaje ni wa tz?

inaonesha ni jinsi gani nchi yenu haiko makini huko border
Hakuna haja ya kuona passport zao, huwa wanajitambulisha vizuri na maneno yao. Eti kaka jamani naomba njoo tuende tukajumuike pamoja kwenye mikasi ya mwendokasi.
 
Hakuna haja ya kuona passport zao, huwa wanajitambulisha vizuri na maneno yao. Eti kaka jamani naomba njoo tuende tukajumuike pamoja kwenye mikasi ya mwendokasi.
Mtapata hao machangudoa, ila wale wa hadhi ya juu wa Kenya na Tanzania tunachukua sisi wa Tanzania. Ninyi kwetu ni second class, mtachukua hao second class wenzenu ndio level yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtapata hao machangudoa, ila wale wa hadhi ya juu wa Kenya na Tanzania tunachukua sisi wa Tanzania. Ninyi kwetu ni second class, mtachukua hao second class wenzenu ndio level yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ndugu yangu, acha kufata machangudoa. Tafuta mwanamke mwenye hadhi, staha na heshima, kisha kuza familia yako. Basi. Ushauri wa bure.
 
Back
Top Bottom