Wanawake wasiojua kukata mauno

Nyinyi ndio hamuwajali waume zenu, alafu kesho mnalialia hapa ooooh mara anakojoa ndani ya dakika mbili, mara mume wangu shughuli haiwezi.. visingizio kibao, Tatizo ni nyinyi
sipo kwenye ulimwengu huo wa kwako mume ndio nini mimi pesa namba 1 mwanaume apite hivi sina habari....eti hatuwajali kwani tulizaliwa nao sisi,....wewe wacha kunitania aisee
 
hahahha JF inanipa RAHA asubuhi ya leo nimecheka mpaka basi, mleta mada huyo mwanamke ebu mtayarishe vizuri
mbona ukitayarishwa unakizungusha mwenyewe tena hata ujui umewezaje inakuja yenyewe tuu.. kuna wanawake wengine baada ya kujituma pale ili iwe wapewe zaidi ya kile wanachokitaka wanatumia sehemu ile kama yakuombea mahitaji yao
wakati wange jituma pale wangepata vingi lakini unasikia "baby nataka mobile" wakati wala sio sehemu yake..
 
Hakuna anaezaliwa anajua. Halafu kama unampenda na unaona hajui kwa nini usimwambie? Unataka ready made?
Mwambie "mama mimi nataka hivi..." maisha yanaendelea. ULivyopost hapa unauhakika gani kama ujumbe umefika? Au unaiambia michepuko yako ijue unachotaka hadharani?
Hold your manners, talk to her.
Usikasirike lakini tunaelewashana tu.
 
Back
Top Bottom