Wanawake wasagaji waanzisha kanisa la wanawake wasagaji nchini Kenya


G

GerryKondo

Member
Joined
Dec 7, 2018
Messages
29
Points
125
G

GerryKondo

Member
Joined Dec 7, 2018
29 125
1551084640731-png.1031582

Jacinta Nzilani. Mwinjilisti Msagaji aliyefungua kanisa lake la wasagaji jijini Nairobi Kenya.

1551084763868-png.1031583


Jacinta Nzilani ni mwanamma mwenye umri wa miaka 50 raia wa Kenya. Ijumaa ya wiki iliyopita Jacinta alitoa maelezo yake jinsi alivyoamua kuingia kwenye mapenzi ya jinsia moja baada ya mume wake kufa.

Jacinta aliyasema hayo mbele ya mahakama kuu nchini Kenya wakati wa kusikilizwa kwa shauri lililo wasilishwa mahakamani hapo na mtandao wa watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja nchini Kenya kwa lengo la kuiomba mahakama nchini humo ihalalishe mapenzi ya jinsia moja.

Nzilani alisema aliamua kuwa msagaji baada ya kunyanyaswa na wakwe zake ambao walitaka kujifaidisha kupitia kifo cha mume wake.

Mimi ni msagaji, mimi ni mjane, mimi ni mwanamke niliyeishi na mume wangu katika ndoa kwa muda wa miaka 25. Mume alipokufa wakwe na ndugu wa marehemu wakaanza kuninyanyasa.Hapo ndipo nilipoanza kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wenzangu ambao ni wasagaji “ Alisema Jacinta. “

Mhubiri huyo aliongeza kuwa waumini wenzake hawakumpa faraja yoyote wakati wa majaribu ya kufiwa na mumewe na walikuwa wakimshawishi aolewe na mwanaume mwingine.

Anaongeza kuwa baadae alikutana na wasagaji wengine jijini Nairobi na kujiunga na kanisa lao ambalo anasema amekuwa akiabudu kwa furaha.

Sasa hivi ana kanisa lake karibu na eneo liitwalo Odeon Cinema jijini Nairobi,Kenya.

Tarehe ya maamuzi ya kesi hiyo imesogezwa mbele hadi mwezi Mei mwaka huu.

CREDIT : AFRICANDADAZ BLOG
 
The Technologist

The Technologist

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Messages
481
Points
1,000
The Technologist

The Technologist

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2015
481 1,000
Ee Mungu nisamehe Mimi mwenye dhambi!

Nisamehe nilipokosea kwa namna yoyote ile!
 
kadoda11

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
21,557
Points
2,000
kadoda11

kadoda11

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
21,557 2,000
kwenye hii picha ya pamoja namuona kijana Msapere (collomzii) akiwa amejumuika na wanawake wasagaji.
tapatalk_1551085298108-jpeg.1031587
 
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Messages
2,680
Points
2,000
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2013
2,680 2,000
subiri wenye dini yao waje
 
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Messages
8,605
Points
2,000
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2015
8,605 2,000
Kama Raisi Kenyatta alizuia ushoga Kenya...hawezi pia kuruhusu huo upuuzi....
 
BOB OS

BOB OS

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Messages
2,016
Points
2,000
BOB OS

BOB OS

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2011
2,016 2,000
yajayo yanafurahisha uko tayari!,,,,dah Christ have mercy.
 

Forum statistics

Threads 1,295,845
Members 498,410
Posts 31,225,149
Top