Wanawake warembo ndio wateja wakubwa wa waganga ukilinganisha na wale wakawaida

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,706
155,293
Nasikia masista duh na warembo wengi ndio wqashiriki wakubwa wa mambo ya kiganga na dawa za mapenzi ukilinganisha na wasichana wenye sura za kawaida.
Pia utafiti usio rasmi unaonyesha kuwa wanawake warembo ndio wanaoongoza kwa kugombea mabwana kulinganisha na wale wasio na sura zenye wingi wa vikwerombwezo
 
mh sina uwakika sana na hilo.lakin mi nahisi labda tatizo nikwamba wanakuwa wameutumia vibaya uzuri wao kwa kubadilisha wanaume. hali inayowapelekea kuchuja na kupoteza mvuto.sasa ikifika kipindi ambacho wanaitaji ndoa au hata mpenzi wa kudumu wanatafuta njia itakayo wafanya waludishe mvuto wao..
 
Ah mahangaiko haya...baada ya kutoka kwa mganga wanafanikiwa mazima..? Bujibuji tafiti yako imeliona hilo?
 
Last edited by a moderator:
upo sawa mkuu!
hapa wachangiaji wengi watajifanya hawajui au wasindikizaji kumbe ndo wadau wakubwa!!! (washindwe kabisa)
na kuanzia leo kabla ya kufanya chochote nasali kwanza hata muda wa kugegedana nasali pia!!!
 
Inaukweli ndani yake huwa wanajisahau sana afu wanataka wanyenyekewe na wanaume kulingana na uzuri wao mwisho wa siku inakua ni mtihani kwao
 
Sio kweli,sijawahi kwenda kwa Mganga wala kugombania mwanaumee,na sifikiriiii mi nadhan inategemeana ntu na ntu
 
upo sawa mkuu!
hapa wachangiaji wengi watajifanya hawajui au wasindikizaji kumbe ndo wadau wakubwa!!! (washindwe kabisa)
na kuanzia leo kabla ya kufanya chochote nasali kwanza hata muda wa kugegedana nasali pia!!!

kubariki uzinzi?
 
Back
Top Bottom