Wanawake wapenzi wa jinsia moja kutoka Mwanza waachiwa kwa dhamana

MATENDO YA USHOGA NI ROHO. NI ROHO INAYOTENDA KAZI KWA NGUVU KUBWA SANA CHINI YA URATIBU MAHUSUSI NA WA SIRI SANA WA NCHI ZA MAGHARIBI KUPITIA MFUMO ULIOANDALIWA UTAKAOTUMIKA RASMI KUIONGOZA NA KUITAWALA DUNIA WA "NEW WORLD ORDER", KIPENGELE CHA KUDHIBITI IDADI YA WANADAMU DUNIANI. NI MOJAWAPO YA MBINU ZA UZAZI WA MPANGO ZA NEW WORLD ORDER. JE, TUFANYE NINI? HII HUIWEZI KUDHIBITIWA ISIPOKUWA KWA NJIA ZA KIROHO. NEW WORLD ORDER NI MPANGO MAHUSUSI WA SHETANI AMBAYE HUPINGA KILA KITU KILICHOPANGWA NA MUNGU. ENENDENI ULIMWENGU MKAZAE MUONGEZEKE.... SHETANI HUWAHADAA WANADAMU WATENDE KINYUME! ILI WAMWASI MUNGU HIVYO IWE DHAMBI NA KUKATALIWA MBINGU. HAWA WENZETU WALIOKUMBWA NA ROHO HII SIYO KWAMBA WANAPENDA KUWA HIVYO. WAMESHIKWA NA KUNASA. WATU HAWA NI WASHIRIKA WA MAKANISA NA MISIKITI.TENA WASHIRIKA WAZURI TU WAKIJITOA KWA KAZI MBALIMBALI ZA KANISA. WATUMISHI WA MUNGU KAZI KWENU. TIMIZENI WAJIBU WENU. MMEPEWA MAMLAKA YA KUFUNGA NA KUFUNGUA. MSIPOJIBIDIISHA KUWAFUNGUA ROHO HIZO DAMU YAO ITATAKWA MIKONONI MWENU MWISHO WA SIKU. KUWAFUKUZA KAZI NA PENGINE KUWATIA GEREZANI SIYO MUAROBAINI. GEREZANI WATAKWENDA KUPANDA HIYO ROHO HUKO NAKO! SHETANI YUPO KAZINI SERIOUSLY. SISI TUNACHEZA. MAPADRE WACHUNGAJI NA MASHEHE MISIKITINI MPO HAPO?!
Kisa cha Kuandika kwa Maandishi Makubwa hivyo ni nini tena bila hata kuweka Paragraph!!!!

Inachosha kusoma na haisomeki!

Kumradhi Kama nimekukwaza.
 
Hapa nimeamini Watu wana roho mbaya asilimia kubwa wanaongelea kuhusu kazi yake tena wanalazimisha kwamba atafukuzwa na wanatamani afungwe na kufukuzwa kazi hizo ni roho mbaya watz wenzangu maisha hayaendi hivo Hata Kama ni mkosaji Hamna right ya kumjudge sana sababu haja affect MTU yyte pale ni maisha yake,
Sio kwasabbu maisha ni magumu kwenu mnataka na kilamtu naye apatwe na Mattzo pia, kwanza kuna mashoga na wasagaji wengi tu humu mmejificha bila Hata Aibu mnaona wale ndo wakosaji
All in all mwenyezi Mungu Atakua mhukumu wa mwsho at the end of the day
 
Hata mimi nimeliona hilo, roho mbaya zimewajaa kesi nyingine watu wanaleta mambo ya kazi....

Wanajifanya watakatifu wakati wanazini tena hadharan maana kuishi na kimada mpk kuzaa nae huo ni uzinifu wa dhahiri, wanawaingilia wanawake kinyume na maumbile tena wanasifia kabisa kwa kuita 'mtandao pendwa', wanatoa mimba daily, wananyanyasa mayatima, wanadharau maskini, wanasengenya, wanaiba, wanasema uongo, kutwa kwa waganga kurogana na kutambika....

Yoooooote hayo hawayaoni lakini wanadiriki kuwaoneshea wenzao vidole na kusema 'Dhambi kubwa' kuna dhambi kubwa kama ushirikina??? kuua je??

So pathetic.
 
MATENDO YA USHOGA NI ROHO. NI ROHO INAYOTENDA KAZI KWA NGUVU KUBWA SANA CHINI YA URATIBU MAHUSUSI NA WA SIRI SANA WA NCHI ZA MAGHARIBI KUPITIA MFUMO ULIOANDALIWA UTAKAOTUMIKA RASMI KUIONGOZA NA KUITAWALA DUNIA WA "NEW WORLD ORDER", KIPENGELE CHA KUDHIBITI IDADI YA WANADAMU DUNIANI. NI MOJAWAPO YA MBINU ZA UZAZI WA MPANGO ZA NEW WORLD ORDER. JE, TUFANYE NINI? HII HUIWEZI KUDHIBITIWA ISIPOKUWA KWA NJIA ZA KIROHO. NEW WORLD ORDER NI MPANGO MAHUSUSI WA SHETANI AMBAYE HUPINGA KILA KITU KILICHOPANGWA NA MUNGU. ENENDENI ULIMWENGU MKAZAE MUONGEZEKE.... SHETANI HUWAHADAA WANADAMU WATENDE KINYUME! ILI WAMWASI MUNGU HIVYO IWE DHAMBI NA KUKATALIWA MBINGU. HAWA WENZETU WALIOKUMBWA NA ROHO HII SIYO KWAMBA WANAPENDA KUWA HIVYO. WAMESHIKWA NA KUNASA. WATU HAWA NI WASHIRIKA WA MAKANISA NA MISIKITI.TENA WASHIRIKA WAZURI TU WAKIJITOA KWA KAZI MBALIMBALI ZA KANISA. WATUMISHI WA MUNGU KAZI KWENU. TIMIZENI WAJIBU WENU. MMEPEWA MAMLAKA YA KUFUNGA NA KUFUNGUA. MSIPOJIBIDIISHA KUWAFUNGUA ROHO HIZO DAMU YAO ITATAKWA MIKONONI MWENU MWISHO WA SIKU. KUWAFUKUZA KAZI NA PENGINE KUWATIA GEREZANI SIYO MUAROBAINI. GEREZANI WATAKWENDA KUPANDA HIYO ROHO HUKO NAKO! SHETANI YUPO KAZINI SERIOUSLY. SISI TUNACHEZA. MAPADRE WACHUNGAJI NA MASHEHE MISIKITINI MPO HAPO?!
Uwepo wa watu kama wewe ndio unafanya Magu awaone kama wagonjwa wa mtindio wa ubongo ambao anaoweza kuwaambia kuwa kinu ni kiwanda na mkakubali tu.

Umeandika upumbavu sana mkuu!

Nakuhurumia sana, maana ubongo wako uko ndani ya minyororo na matope mazito sana ya ujinga!
 
Hivi huyo mwanafunzi wa SAUT bado ni mwanafunzi mpaka sasa?
Maana Kwa sheria za SAUT sijui!!
Si rahisi hata kama ni UE hawezi ruhusiwa kufanya..
Nakumbuka enzi nasoma hapo kuna wanafunzi wa kike walijirekodi kwa video wakiwa chumbani mwao wakikatika na kubambiana walikua watatu Mara tu baada ya zile videos kusambaa walisimamishwa na onyo Kali.
 
Back
Top Bottom