Wanawake wapenzi wa jinsia moja kutoka Mwanza waachiwa kwa dhamana

Sasa unakataa?hata Jofrey Lea wa Azam TV,David Mwaifuge muigizaji ,na wengine kibao kama hutaki unaacha mkuu,sikulazimishi kukubali.hata Emmanuel Miyamba,Marehemu Kanumba woteee.
Nakubali mkuu ila umesahau kuwa ulimfundisha kijana aliyekuwa anaitwa John Magufuli huko lake secondary mwanza wakati akiwa anatokea Igogo kwa washashi! Hongera Mwalimu kwani watakuona wapi hii ni JF hatujuani
 
Usilazimishe fikra zako kuwa ndo itavyokuwa,
Unajua sheria wewe?
Afukuzwe kwa kosa lipi lililo kinyume na mkataba wake wa kazi?
Wanaweza kumfukuza lkn km hajakiuka mkataba wake atalipwa
Mimi sijui sheria wewe ndiyo unaijua Ila kumbuka hii ni Bongo kwa Bahati mbaya Hakuna kinachoshindikana. Ukizingatia Yupo Kwenye Sekta muhimu ya madini.

Kuna Mwanadada nakumbuka alikuwa mtangazaji mahiri wa Eatv alienda kushiriki bigbrother alichokifanya huko aliporudi hakuwa na Maisha tena Eatv nampaka Leo sijui kapotelea wapi alikuwa anaitwa bhoke.
 
Nakubali mkuu ila umesahau kuwa ulimfundisha kijana aliyekuwa anaitwa John Magufuli huko lake secondary mwanza wakati akiwa anatokea Igogo kwa washashi! Hongera Mwalimu kwani watakuona wapi hii ni JF hatujuani
Huyo John Mimi sijawahi kukutana naye,hao niliokwambia ndo nawakumbuka.
 
Huyo Afisa ugavi hapo kazi Hana tena na kwa akili za Kwenye ile video Inaonekana mtu wa bata Sana hapo ndipo ataaza kuwaona ndugu na marafiki wote Wachawi. Kumbe mchawi mwenyewe
Ofisi ilishasema kua hizo ni personal issues havihusiani na kazi maadam kazi yao anaifanya tena kwa weledi.

Ni kama vile baba ampige mkewe nyumbani awekwe rumande atoke halafu ofisi iseme tunakuachisha kazi kwa kumpiga mkeo, wakati mambo yao yalifanyika nyumbani.
 
Halafu me nauliza ni ile video tuliyoiona au ina muendelezo?? maana kwenye video niliyoiona mimi sioni sehemu waliyovishana pete na kusema sisi ni wapenzi, zaidi nilimuona Janeth akionesha kidole cha pete.
Nashindwa kuelewa hapo.
 
mavi yake anafanya ushenz kisha anavaa buibui avae kile kimini chake alchovaa wakat wanavalishana pete
 
Back
Top Bottom