Wanawake wanene wakideka wanaonekana kama makubwa jinga

Daah inatia huruma Yani dada ako tumbo mgongo makalio vyote vimelundikana eneo Moja.
Irregular shape๐Ÿ˜”๐Ÿ’”
 
Kabisa, asa sie wenye miili minene kidogo, yaani tuna roho nyeupee pee hata maofisini hatunaga unafiki wala fitna
Maofisini mnaongoza kwa maneno ya hapa na paleโ€ฆ talking frm my experience.

Mna umbea mwingi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Naona unajaribu kuforce kila mwanaume apende unachopenda wewe, umeshaambiwa kila mtu ma taste yake kwa mwanamke ila bado umekomaa tu.

Wewe unapenda mwembamba mwingne anapenda mnene, nafikiri ibaki hivyo.

Hapana,

Huo ni mtazamo wako wewe tu!

Humu kunahitajika darasa la jinsi ya kichangia majadiliano ya mada mbalimbali.

Watu wengi wana-inferiority complex, n.k.

Kina Maxcence waandae mafunzo itapendeza sana watu tukipata mafunzo hayo na kuyapokea itakuwa raha sana.

Halafu wawe wanafuatilia michango ya watu na kuwa-categorize kutokana na uwezo.
 
Wasalaam,

Katika pilika za mahusiano nilichogundua kudeka kunampa raha mwanamke japo kwa kiasi ila pia kudeka kwa mwanamke kunampa fursa mwanaume kujimwambafy na kutekeleza 1, 2, 3

Lakini kudeka kunapendeza kwa mwanamke mwembamba sasa unakuta mwanamke kama kiboko ati na yeye anajidekeza haa ha haa. Siwasemi kwa lengo baya ila mwanamke bonge hapendezi kudeka anaonekana kama kubwa jinga tu.

Uzi tayari ASP

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Hapana,

Huo ni mtazamo wako wewe tu!

Humu kunahitajika darasa la jinsi ya kichangia majadiliano ya mada mbalimbali.

Watu wengi wana-inferiority complex, n.k.

Kina Maxcence waandae mafunzo itapendeza sana watu tukipata mafunzo hayo na kuyapokea itakuwa raha sana.

Halafu wawe wanafuatilia michango ya watu na kuwa-categorize kutokana na uwezo.
Kila mmoja aruke na anaempa ashki za kimapenzi, wewe hupendi wanawake wanene yule hapendi wembamba kisha maisha yaendelee.
 
Wasalaam,

Katika pilika za mahusiano nilichogundua kudeka kunampa raha mwanamke japo kwa kiasi ila pia kudeka kwa mwanamke kunampa fursa mwanaume kujimwambafy na kutekeleza 1, 2, 3

Lakini kudeka kunapendeza kwa mwanamke mwembamba sasa unakuta mwanamke kama kiboko ati na yeye anajidekeza haa ha haa. Siwasemi kwa lengo baya ila mwanamke bonge hapendezi kudeka anaonekana kama kubwa jinga tu.

Uzi tayari ASP
Ninae bonge mmoja ana shundu nimejipa low profile basi anaona kama anatoa sadaka ya mbususu kwangu, ila akisikia maongezi kwenye simu na heshima yangu kwa wana haelewi. Huwa namwambia mwanamke apende ndio inanoga ila kama anazuga itakula kwake anashangaa, naishia kucheka. Jana nimetoa 2.5M kwa wakala mbele yake namwambia nimeagizwa na boss, leo anakuja kukesha ngoja aendelee na probation period.
 
eti probation
 
Wacha wee, ila kweli hii haihitaji research kabisa wanawake vibonge wako with genuine heart, very generous ,humble + their kindhearted behaviour is legendary, japo sio wote.
Aiseh nathibitisha hili..now na mimi nimeanza kunenepa kama yeye true lovers hawana visirani vya kipumbavu,nilikua na kademu kembamba mbona tulinyooshana!!!!
 
Na ukome kuyasema vibaya mayutong

Manamake manene mapoleee, matulivu, yana huruma, yana upendo, hayana neno na mtu wala hayana hata haja ya kujidekesha yaani otomatikale utakuta tu mwenyewe unalidekesha kwa raha linazokupa...Amani ya moyo mtu unaweza hata kutoroka kazini uje nyumbani chapu ulisalimie tu yaani

Vimbaumbau hivi kiranga, gubu, ugomvi na kisirani 24/7 ndo faida gani?...

View attachment 2233464
Hahaha very true
 
Back
Top Bottom