Wanawake wanene wa wastani, walofungasha nyuma (makalio ya kutosha), wenye miguu mikubwa (ya bia)

00iz000KT2W[1].gif
Nimekuchagulia huyu.
 
lol ni kawaida pia kuna wengine wanapenda wembamba tu, wala si ugonjwa
 
huo si ugonjwa ni mtazamo wako kuwa hao ndio wazuri ndio maana ukiwaona roho inataka kutoka, otherwise hakuna lolote jipya kila mwanamume/mwanamke ana utamu wake inategemea na mlaji mwenyewe! mie mwanamume mfupi ambae akivaa suruali inajikunyata katikaati ya miguu hata awe na mamilioni hawezi kunishawishi kwenda nae popote! labda tuongee amekaa kwenye kiti nikiiona ile suruali ilivyojikunyata tu pozi zote zinaniisha aagh!
 
Kama hili la Omotola halimtoshi basi saizi yake huyo anaerukaruka

jdn.png

Huyo hana makalio ya kutosha wala mguu wa chupa ya bia, anaodai mdau. Omotola ni mzuri ila hamfai jamaa!
Labda ajaribu kwa wanyakyusa, wahaya, wasukuma.........
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kama utamu ni mpaka ule/uonje wewe suruali yake kukaa vibaya inakuhusu nini??? Tukubali tukatae kuna mvuto ambao hata mwanamke waweza kumkubali mwanamke mwenzio kuwa huyu dada ameumbika; same goes to men. Sasa kuanza ku dig deeper kwenye utamu ni wrong. SI kila king'aacho ni dhahabu.

huo si ugonjwa ni mtazamo wako kuwa hao ndio wazuri ndio maana ukiwaona roho inataka kutoka, otherwise hakuna lolote jipya kila mwanamume/mwanamke ana utamu wake inategemea na mlaji mwenyewe! mie mwanamume mfupi ambae akivaa suruali inajikunyata katikaati ya miguu hata awe na mamilioni hawezi kunishawishi kwenda nae popote! labda tuongee amekaa kwenye kiti nikiiona ile suruali ilivyojikunyata tu pozi zote zinaniisha aagh!
 
What made you say so? Mwanamke anayejiamini haoni vibaya kumpa credit mwanamke mwenzie kama ana deserve; wasioweza ndo wanaitwa wana WIVUUUU.:juggle:

Kuwa mwanamke haina maana hatuna macho au macho yetu yanaona tofauti na wanaume.

kumbe wengi humu ni midume??????
 
Napenda m/ke design ya Nicki Minaj,yani P.H.A.T girl::::::ziwa mchongoma,mahaga na wezere::::"Kajazia haja kubwa bambataa taarabu anayo ukicheck nyoro inakuita ajigijigijiiii"-Inspector Haroun
 
SIJAELEWAHAPA...UNATAKA WOTE KWA WAKATI MMOJA? au wenye miguu mbali, ****** mbali, nk? kwa kawaida wengi wa hivi huambaana na MICHIRIZI FULANI HIVI.........mm ndo hunioagawisha nikiona aliyevaa katop lazima niitafute hasa anapoinama
 
Poa, ongeza na nyonyo kubwa za wastani, yaani matikiti maji. Sipendi vinyonyo vidogo.
 
Wana JF, mwenzenu nimekuwa addicted na totozi zilojibeba nyuma, nenene fulani hivi na zenye miguu ile vijana wa kisasa wanaita miguu ya bia. Mimi huwa nikiona mabinti wa namna hii.....Kwisha habari yangu kabisa. Mimi penda wao sana.

inaonekana hta ukiwa nao kumi hutoridhika akipita mwingine utamtaman pia
 
Uzinzi ni mbaya sana na kizazi hiki kitaangamizwa kwa huo na mambo yale yanayofanana na hayo na yale yoote yaliyo ni chukizo mbele za Mwenyezi Mungu.
 
Wana JF, mwenzenu nimekuwa addicted na totozi zilojibeba nyuma, nenene fulani hivi na zenye miguu ile vijana wa kisasa wanaita miguu ya bia. Mimi huwa nikiona mabinti wa namna hii.....Kwisha habari yangu kabisa. Mimi penda wao sana.

Hizi ni hisia za Mkuu, hakuna cha kujadili hapa.

Wakuu ni vyema tunapoandika mada mpya ziwe zile ambazo zinajadilika siyo kupeana taarifa ya matamanio kama haya ambapo hatuwezi kujadili lolote.
 
Hauko peke yako kaka!

chonde chonde chonde doctor, nna mgonjwa wangu ana hizo sifa halafu nimesikia tatizo lake wewe ndo specialist wa huo ugonjwa.........hapa sasa nifikiria kughairi kumleta mgonjwa wangu kwenye hospitali yako.
 
Back
Top Bottom