Wanawake! Wanawake! Mna shida gani jamani?

"One man down"

Pesa ya mwanaume haiwezi kuliwa bila mikakati mkuu, hapo ulifeli

Nunua vipimo vyako, weka ndani na anakuja kupimwa akiwa getho na analiwa humohumo kama ni redbull atazinywea getho.

Itakuwa umepata moral lesson
 
Kuna wanawake wanapata wanaume jamani. Yani Redbull ya 3500 nayo unaiongelea?
Bora anakupotezea kashakuona una utoto
 
Kosa lako ni ulivyomwambia mkapime, akasema umpe muda yawezekana ulimwonesha kama vile unaamini kaathirika na anataka akuambukize.
Tena yawezekana hata uliwasimulia watu na yeye akayapata.

Ndio maana alikubali mpime ujue afya yake kisha akuache maana angekuacha ungesema kakuacha kwa sababu ameathirika na msimamo wako ulikuwa ni kupima kwanza.

Unavyomshirikisha mtu suala la kupima, ukiona anasita sita, haimaanishi kaathirika. Halafu hautakiwi kumwonesha kwamba unaogopa sana UKIMWI. Wewe mwambie unampenda na unataka mjue afya zenu ili kama ikitokea mmoja hayupo salama, mtumie njia za kujikinga.

Siku nyingine tumia akili.
Kwani huyo mwanamke alikua anaenda kupima yeye tu au?

Si walikua wanaenda kupima wote?

Huyo mwanamke hakutakiwa kukwepa kwenda kupima maana na yeye alitakiwa ajue afya ya mtu wake...

Kama angekua anajiamini wangeenda tangu mwanzo.
 
Kuna wanawake wanapata wanaume jamani. Yani Redbull ya 3500 nayo unaiongelea?
Bora anakupotezea kashakuona una utoto
Hakuna pesa itaachwa kuhesabiwa hata iwe ni 1000/= na kinachonisikitisha zaidi ni amekunywa redbull 3 na total inakuja 10,500/=
 
Huyo dem nae balaa anakunywaje redbull 3 kama bia? Ila nawe pia unazingua bill ya 10,500 unaona umepigwa, je kuhudumia familia utaweza kweli?
Jamaa anasikitika alivyopotezewa na binti huyo,huku ametoa pesa kumnyweshwa manzi.
 
Dogo I feel you ........achana na hizi kelele za 10500 . Watu wanaona hiyo hela ni ndogo lkn kiuhalisia hiyo hela nikubwa mno Kuna 30% ya watanzania wanaishi chini ya robo ya hiyo hela ....yaani kwa siku pato lao ni 2500 .....Sasa wewe umetumia mra nne yao , japo watu wanakubeza bila kuangalia nature ya kazi yako.

Usife moyo huo msimamo ulio nao kaza hivyo hivyo naamini Kuna makosa umefanya ndio maana Mambo yame backfire ila naamini kunakitu umejifunza na kimekufanya uwe imara zaidi ya Jana.


NB
1. Mwanamke sio wa kukenuliwa meno Kama wengi wanavyo kushauri. Kwangu Mimi nakuona wewe bado ni underground ila Kuna siku trust me utakua legendary.kama utakaza .

2. Dogo usibadiri msimamo kisa maneno ya womanizers walio jazana humu ....hawana lolote na nakuapia womanizers walio jazana humu hizi mbususu wanazo zihusudu kwao ni adimu Kama maji jangwani


3. Dogo nakupongeza kwa kutambua thamani ya pesa yako yaani jasho lako kwa spirit hii utafika mbali Sana dogo

4.last but not list DOGO keep up your fight...
 
Back
Top Bottom