Wanawake wanavutiwa na 'details' gani za suti za wanaume?

Naam! sasa hapa tuna pakuanzia - sasa dada zetu wengine nao huw awanaangalia hivi vitu au niwachache? Kwa hiyo hapa inawezekana ni muhimu kutokwenda kununua suti bila kuwa na mwandani wako!
Sijui kuhusu wadada wengine wanaangalia nini... I would advise wende nae. Maybe she has her own preferences...
 
na hali hewa ya dar ya joto most of time
suti inakuwaje?

Kuna sheria moja hapo inasema usipande daladala. Panda the opposite tena iwe na kiyoyozi. Kuvaa suti Dar Es salaam ni adhabu. Labda uwekeze kwenye lightweight suits. Au wekeza kwenye mashati na suruali ambazo unaweza kuvaa bila suti na tai. Ikishindikana piga kama Cameron. lol

Cameron240706_228x384.jpg
 
Hahahaahaha, EMT you are crazy! Ni lini uliuliza hilo swali in bold? Mi nilikua wapi, mbona sikuliona?
Hayo mengine nimecheka hadi basi! hasa number 12 and 20. sasa number 24 unahakikishaje husababishi mijadala hiyo? ikianza in your back je?
Anyway, thank you. I think those rules should aply to any man, as soon as he dresses up, no matter how he dresses.

Sikumbuki niliuliza kwenye uzi upi but I did. Kuhusu kuhakikisha hasababishi ubishi, we go back kwa uvaaji wa suti wenyewe. Kama amevaa ili kumwa-attract mwanamke then, kwake itakuwa rahisi kutoa povu jukwaa la siasa. Lakini kama amevaa suti for his own respect, then sidhani kama ataanza kutoana povu na watu. Speak only where there is an issue. No issue, sepa.
 
Mkuu vaa suti ikuvutie wewe, sio mwanamke. The rule of thumb: There is something more in a man which attract a woman than a suti.
Zipo sheria sheria ambazo zinatakiwa kuzifuatwa unapovaa suti. Kama hutafuata hizi sheria unaweza kujikuta upo matatani kwa kuvunja moja ya sheria hizo.
1. Ni marufuku kuvaa kandambili au malapa (Sawa)
2. Ni marufuku kuvaa soksi mbovu. ( Na zisizo nuka pia)
3. Ni marufuku kujisaidia uchochoroni(Sawa)
4. Ni marufuku kupenga kamasi barabarani.(sawa)
5. Ni marufuku kupanda daladala.(Kwa Tanzania tu! kwingine duniani ipo)
6. Ni marufuku kuendesha baiskeli au pikipiki.(Tanzania tu)
7. Ni marufuku kucheka cheka hovyo.( Kuonyesha magego, tabasam linakubalika)
8. Ni marufuku kuomba change dukani.( Wallet yenye 'brand' siyo plastic)
9. Ni marufuku kubeba mfuko wa plastiki maarufu kama rambo(kosa la jinai)
10. Ni marufuku kuingia kwenye kibanda cha simu.(Tanzania tu)
11. Ni marufuku kula magengeni.(McDonald, KFC, Tacobell, je hawa si mama ntilie advanced!)
12. Ni marufuku kuonekana unatafuna barabarani.(Sawa)
13. Ni marufuku kutembea na pesa za sarafu mifukoni mwako.(zinaleta utuno na usumbufu wa kijinsia)
12. Ni marufuku kulia hata kama umeletewa taarifa ya msiba.(Unatakiwa kububujikwa na machozi)
14. Ni marufuku kupiga miruzi.(Hasa nyimbo za kilingala na mayenu, country music na Blues ruksa)
15. Ni marufuku kuonekana unatoka mijasho kama unasukuma mkokoteni.(Sawa)
16. Ni marufuku kuongea kwa kelele.(unatakiwa aam,aam, ya know katikati ya sentesi)
17. Ni marufuku kunywa chai au kahawa kwa kutumia kikombe cha plastiki.(Hasa kutoka China na Yemen)
18. Ni marufuku kutembea kwa miguu.(Sawa)
19. Ni marufuku kukimbia.(Hadi utakapojiridhisha vibaka wanakutamani na huna jinsi)
20. Ni marufuku kunuka mdomo wala kikwapa hili kosa kubwa sana na hukumu yake mpaka mbinguni ipo.(toba)
21. Ni marufuku kusema uongo.(Si kweli, wanasiasa wangekuwa wanatembea uchi)
22. Ni marufuku kuonekana umekasirika unatakiwa uwe na uso uliokunjuka.( Bashasha)
23. Ni marufuku kumchapa mtoto. (Ina utata sana hii, naiacha kama ilivyo)
24. Ni marufuku kusababisha ubishi au mjadala usio na maana (hata hapa JF)(sawa).
25. Ni marufuku kuvaa suti na lebal yake (hii nimeongezea) (inatakiwa ijieleze yenyewe)
......
 
Mkuu vaa suti ikuvutie wewe, sio mwanamke. The rule of thumb: hata siku moja usinunue suti kwa ajili ya kumfurahisha mwanamke. Nilishawahi kuuliza wanawake wa hapa hapa JF kama walishawahi kutovutiwa na mwanaume aliyevaa suti iliyomkaa. Sikupata jibu. So, nunua na vaa suti inayokutosha kulingana na unapoenda.

Kumbuka kuvaa suti si lazima tuu kumvutia mwanamke. Otherwise, wanaume wote wanaovaa jeans wangekuwa hawawavutii wanawake. There is something more in a man which attract a woman than a suti. Pia suti inaweza kukufanya uonekane nadhifu na mwenye heshima ndani ya jamii kwa ujumla.

Tatizo ambalo huwa naliona ni kuvaa suti visivyo. That is the big big problem. Zipo sheria sheria ambazo zinatakiwa kuzifuatwa unapovaa suti. Kama hutafuata hizi sheria unaweza kujikuta upo matatani kwa kuvunja moja ya sheria hizo. Sheria zenyewe ambazo nimezinyakua mahali ni kama ifuatavyo. Unapovaa suti au tai hakikisha huvunji sheria hizi hapa chini:-

1. Ni marufuku kuvaa kandambili au malapa
2. Ni marufuku kuvaa soksi mbovu.
3. Ni marufuku kujisaidia uchochoroni.
4. Ni marufuku kupenga kamasi barabarani.
5. Ni marufuku kupanda daladala.
6. Ni marufuku kuendesha baiskeli au pikipiki.
7. Ni marufuku kucheka cheka hovyo.
8. Ni marufuku kuomba change dukani.
9. Ni marufuku kubeba mfuko wa plastiki maarufu kama rambo
10. Ni marufuku kuingia kwenye kibanda cha simu.
11. Ni marufuku kula magengeni.
12. Ni marufuku kuonekana unatafuna barabarani.
13. Ni marufuku kutembea na pesa za sarafu mifukoni mwako.
12. Ni marufuku kulia hata kama umeletewa taarifa ya msiba.
14. Ni marufuku kupiga miruzi.
15. Ni marufuku kuonekana unatoka mijasho kama unasukuma mkokoteni.
16. Ni marufuku kuongea kwa kelele.
17. Ni marufuku kunywa chai au kahawa kwa kutumia kikombe cha plastiki.
18. Ni marufuku kutembea kwa miguu.
19. Ni marufuku kukimbia.
20. Ni marufuku kunuka mdomo wala kikwapa hili kosa kubwa sana na hukumu yake mpaka mbinguni ipo.
21. Ni marufuku kusema uongo.
22. Ni marufuku kuonekana umekasirika unatakiwa uwe na uso uliokunjuka.
23. Ni marufuku kumchapa mtoto.
24. Ni marufuku kusababisha ubishi au mjadala usio na maana (hata hapa JF).
25. Ni marufuku kuvaa suti na lebal yake (hii nimeongezea)

Source: HABARI NA MATUKIO: ZIJUE SHERIA ZA UVAAJI WA TAI NA SUTI

Kama huwezi kuzifuata hizo sheria, stick with the jeans, which is my favorite.

hahahahahahahahaha nitaota ndoto nzuri leo
 
Says who?

When was the last time you buy him a suit?

This is a clip from the BBC's three part series about the "Secret of the Sexes" this is a clip from "attraction" and shows how a man's actual physical looks seem to fall a far distant to the appearance of his status (power, wealth, popularity) largely based on material possessions and fashion/clothing.

 
Last edited by a moderator:
When was the last time you buy him a suit?

This is a clip from the BBC's three part series about the "Secret of the Sexes" this is a clip from "attraction" and shows how a man's actual physical looks seem to fall a far distant to the appearance of his status (power, wealth, popularity) largely based on material possessions and fashion/clothing.
I think he looked more attractive because he looked clean, neat, confident and in love with himself. not necessarily because he looked wealthier. Perception of about his income only went up from 30 to 50, but all women seemed to be interested in a date with him. Sidhani kama ni money, really. it is more the confidence he displays. And a good suit can provide that confidence.
So my answer to your question would have been a YES, I think men look better in suits (kama zinawatosha, na kama ni suit nzuri). But if they are not used to suits, bora wakae na jeans kuliko kua uncomfortable because I will note that.
 
I think he looked more attractive because he looked clean, neat, confident and in love with himself. not necessarily because he looked wealthier. Perception of about his income only went up from 30 to 50, but all women seemed to be interested in a date with him. Sidhani kama ni money, really. it is more the confidence he displays. And a good suit can provide that confidence.
So my answer to your question would have been a YES, I think men look better in suits (kama zinawatosha, na kama ni suit nzuri). But if they are not used to suits, bora wakae na jeans kuliko kua uncomfortable because I will note that.

And some women like this too.


low-jeans.jpg
 
This is a free world EMT... siwezi kuwalaumu. I won't judge them or else na wenyewe watanijudge kwa kua different. But since we are in a free world nimecheka sana! :lol: :lol: :lol:

And some women like this too.


low-jeans.jpg
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Anaevaa suti za uhakika hapa bongo ni Jakaya tu.

Vazi linalovutia wanawake ni suti ya kanzu na kofia kama maaskofu au masheikh, vitoto vyote na mijimama vinahusudu kweli hiyo. Wanaokuja kuungama haya, wanaokuja kuombewa dua haya. Hizo zina mvuto wa pekee. Talking about practicality. Hizo suti zingine ubishoo tu.
 
Miye nimeshaona siyo mara moja mtu ametinga suti na limo wanapiga macdonald kupata msosi kwanza kabla ya kwenda kuparty!
 
Back
Top Bottom