prospa
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 554
- 156
Jamani wakuu heri ya Mwaka mpya 2015
Hivi inakuwaje kila siku wewe Dada/Kaka kutwa unashinda unamlalamikia mwenzio kuwa anakusaliti.
Hebu jiulize kwanini anafanya hivyo, yule unayemhisi kakuzidi nini, anafanya kitu gani cha ziada mpaka mumeo/ mkeo anachelewa nyumbani badala yake anapita kwake na wakati mwingine kulala huko, tena utakuta mwanamke unaye mlalamikia ameshazaa watoto 2/3 na wewe bado binti mdogo, au wewe Mwanaume unalalamika mkeo anachukuliwa na mtu ambaye umemzidi kipato,nguvu na mwonekano pia,
Nawashauri jamanii jitumeni na kuwajibika ipasavyo, kama ni Mwanaume hebu mshughulikie mkeo ipasavyo mpe dozi na mchoshe uone kama ataukumbuka Mchepuko, pia Dada zetu hebu jitumeni jitambueni tupeni mambo mpaka tuombe poo uone kama Mchepuko utakuwa dili? kwa lipi hasa? mwisho kabisa kila mmoja atimize wajibu mwingine wote ipasavyo,
Mi naona kuchapiwa ni kujitakia tu.
Maoni yenu muhimu neno langu sio Sheria.