Wanawake / Wanaume ambao ukishiriki nao tendo la ndoa 'mambo yako yanaenda vizuri zaidi'

Haya yote, SHIDA NI KATIBA MPYA!!!

watu hwana hata uhakika wa kusex kwa raha wanawaza mikosi, nuksi mara kismati
JamiiForums83182744.jpg
 
Tatizo hili na mengine ya kiroho huanza pale just before mimba haijatungwa...

Ni muhimu sana wazazi wakawa wapo vizuri kiroho na kumuomba Mwenyezi Mungu just before tendo la ndoa kuanza ili roho zilizo laaniwa zisipate nafasi ya kujipenyeza. Hapa kuna siri kubwa sana.

Sehemu nyingine muhimu ni pale mzazi anapojifungua...

Ni muhimu sana kumkinga kiumbe aliyezaliwa dhidi ya roho zilizo laaniwa.

Haya mambo yapo, fuatilieni.

Mf.
Fuatilieni binti ambaye pamoja na kubaleghe lakini haoti nywele sehemu za siri, hususani kinenani; nini hutokea 'akilala' na mwanaume.
 
Yaletwe maelezo ya kisanyansi kwanini kitovu cha mtoto wa kiume kwa mfano kinavyo katika kikigusa sehemu za siri za mtoto basi anapata uhanithi au (japo si wa kudumu akitibiwa)

Wenye uelewa watiririke ili kupeana uzoefu na namna ya kukabiliana na hali kama hizi.
 
Dah ndo mumeamua kuuchuna akati kuna elimu

Kipindi nipo njaa kalii basi kuna mdada ilikua nikikutana nae tu ilikua sikosi ya kula nlipohisi hili jambo nlijitahidi sana tuonane tatizo getkali na nimwanafunzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom