Wanawake wanaudhi sana, unamwita mkale bata anaomba na nauli!

hawa viumbe sijui washatuona sisi wanaume kama mazombi yaani Dem unamwita sehemu pa nauli haifiki hata buku 2 anakuambia nitumie nauli hii yote ni asitumie tuu ela yake hivi anakuja umpe nauli aje anywe, ale, bado mkapigane vita na zaidi apa yeye ndiye anasikia utamu zaidi alafu bado umtoe ela wanaita ya sabuni bado akuambie nauli ya kurudi daa yaani mapenzi sasa yamekua kama Huna ela hupigi Mjengo sasa hii yote hawa viumbe wamekua hawataki kutumia ela yao kwenye starehe sasa kwa nini wasiliwe visewa tuu?
Ndo maana siku hizi mnaolewa..asa ni jukumu la nani kutoa hela?hata vitabu vya Mungu vinajua hilo.Mi mwanamke bana lazima unigharamie ila labda tu kama unataka hit n run.lol
 
Wengine ukimwambia aje sehemu fulani ama anakuja na bajaji au teksi lakini unalipia wewe.

Wanawake wa Dar wanaendekeza sana njaa:D:D:D.

Halafu sasa hivi naona wame evolve.

Hawapigi mizinga ya hela tu.

Wakikuona una vitu vizuri kama saa, raba, begi la mgongoni, kapelo, au hata kama unanukia unyunyu mzuri basi watakuomba.

'Ngabu naomba saa yako'....'Ngabu begi lako la mgongoni zuri..niachie basi'....'Ngabu zawadi yangu iko wapi?'....

Good grief!
Acheni kuchepuka jamani..njia kuu wala hatuko ivo
 
yaaaan hwa viumbe sio wazur kwa maisha yetu, weka mbal na wallet.
eeeh kuna manz nilmtuma ktu kariakoo nikiwa najua bei yake nkampa hera kbwa nikimpma iman alvokja kanambia bei mara mbil ya bei halis. kwaio hawa jamaaa wez knoumer
1473698813497.jpg
 
wewe si umemuita?? kwani alikuwa na ratiba ya kusafiri? ukiona unakereka usimuite hiyo buku 2 yako kaa nayo. Watu buana buku 2 kweli inakutoa roho
 
Kumbe kuna watu mpaka leo wanaomba nauli!!! Hata kama ulikuwa huna mpango wa kutoka jamani ni mtu wako huwezi kosa buku mbili ya kukusogeza, na ni bora uwe na ya kurudia maana unaweza fika njiani akakutext kuwa amepata dharura yuko kwenye gari, teh
 
Wengine ukimwambia aje sehemu fulani ama anakuja na bajaji au teksi lakini unalipia wewe.

Wanawake wa Dar wanaendekeza sana njaa:D:D:D.

Halafu sasa hivi naona wame evolve.

Hawapigi mizinga ya hela tu.

Wakikuona una vitu vizuri kama saa, raba, begi la mgongoni, kapelo, au hata kama unanukia unyunyu mzuri basi watakuomba.

'Ngabu naomba saa yako'....'Ngabu begi lako la mgongoni zuri..niachie basi'....'Ngabu zawadi yangu iko wapi?'....

Good grief!
 
Mtumie uone atakachokujibu! Atamwambia naoga, baadae Sana ukiuliza tena Atamwambia Navaa baada ya nusu Saa anakutumia text kuwa hataweza amepata mgeni! Dogo huna saikolojia ya kuwaelewa hawa watu? Akisema tu tuma nauli ujue hamna kitu hapo, ilitakiwa aje ndio ulipie Wewe. Kuwa na akili dogo otherwise utasubiri hadi simu itafungwa, kesho anakwambia sorry simu iliisha chaji
hatoona tena nikimpigia simu, kuna wanawake waelewa na wanakuwa wanakauchungu kiasi na hela yako, mwanamke wa hivyo mwenyewe tu utapenda kumpa hela. haiwezekani mwanamke aseme hana nauli ina maana ndani hana hata buku
 
Back
Top Bottom