Wanawake wanaudhi sana, unamwita mkale bata anaomba na nauli!

Unajua mambo madogo madogo kama hayo huwa ni dirisha la kukuonyesha mengi kuhusu huyo mtu kuanzia uwezo wake wa kutafakari mambo, maadili yake, ustaarabu alionao, nia yake, na mengineyo mengi.

Mimi kama nimealikwa peke yangu sehemu basi nitaenda mwenyewe. Sitaenda na rundo la watu.

Sasa mtu umemwalika yeye peke yake halafu anakuja na watu wangine watatu huku wote wakitegemea wewe ndo ugharamie chakula na vinywaji?

Really? Seriously?

Where they do dat at?
Ata mm naonaga aibu kumbeba ata rafiki yangu mmoja, labda itokee ghafla mmekutana sehemu upo na rafiki zako ila Ngabu we kwa kuja kuwaanika wasichana zako sijui hawajui masikini
 
Uyo unaemtaka inabidi umuumbe mwenyewe mkuu ata kuhudumia kidogo tu mnalalamika wengne kutoa bila kuombwa hawatoi inabd tu uwaombe
Kuhudumia kupo. Problem she mmetu underrate saana kiasi kwamba kwenye dating/sex monger ni sisi tu. Na hili mmefanikiwa but is too much shunie
 
Ata mm naonaga aibu kumbeba ata rafiki yangu mmoja, labda itokee ghafla mmekutana sehemu upo na rafiki zako ila Ngabu we kwa kuja kuwaanika wasichana zako sijui hawajui masikini

Hapana, siwaaniki kivile bana.

Kwanza situmii jina langu la ukweli humu [na hakuna hata mtu mmoja anayelijua jina langu halisi humu], vilevile hata wao situmii majina yao halisi.

Nazungumzia tajiriba za ukweli lakini majina naweka bandia.
 
Hapana, siwaaniki kivile bana.

Kwanza situmii jina langu la ukweli humu [na hakuna hata mtu mmoja anayelijua jina langu halisi humu], vilevile hata wao situmii majina yao halisi.

Nazungumzia tajiriba za ukweli lakini majina naweka bandia.
Apo sawa
 
Sasa kama hana pesa ya nauli unataka akudanganye anakuja halafu asitokee!?

hawa viumbe sijui washatuona sisi wanaume kama mazombi yaani Dem unamwita sehemu pa nauli haifiki hata buku 2 anakuambia nitumie nauli hii yote ni asitumie tuu ela yake hivi anakuja umpe nauli aje anywe, ale, bado mkapigane vita na zaidi apa yeye ndiye anasikia utamu zaidi alafu bado umtoe ela wanaita ya sabuni bado akuambie nauli ya kurudi daa yaani mapenzi sasa yamekua kama Huna ela hupigi Mjengo sasa hii yote hawa viumbe wamekua hawataki kutumia ela yao kwenye starehe sasa kwa nini wasiliwe visewa tuu?
 
Hivi mwanaume unamwomba elfu kumi ya kwenda saloon tuu analia hivi huyu ni mwanaume wa kumuhesabia husband material?
 
Halafu wanaongea kabisa na mwenye bajaj au taxi

Anakuja na daladala hadi karibu na eneo la tukio
ndo anachukua taxi au bajaj..utalipa elfu 15 kumbe ni elfu 2..tu....
hahaa ....na usikute ni bodaboda wake wa misele yake yoote...
wanaenda kuelewana mbele
yaaaan hwa viumbe sio wazur kwa maisha yetu, weka mbal na wallet.
eeeh kuna manz nilmtuma ktu kariakoo nikiwa najua bei yake nkampa hera kbwa nikimpma iman alvokja kanambia bei mara mbil ya bei halis. kwaio hawa jamaaa wez knoumer
 
Back
Top Bottom