Wanawake wanatafuta mali au pesa kupitia mahusiano iko siku atakuua, believe me

Ikitokea umepata msichana au mwanamke ambae unamuona ana tamaa ba pesa zako au mali zako.

Au ikitokea umepata mwanamke anaetaka kupata mali kupitia mahusiano na yeye na wewe mara utasikia nataka hichi mara nataka kile au nina shida kitu flani na ukimnyima ananuna.

Amini usiamini iko siku atakuja kukuua tuu.
well said mselaa
 
Ahsante sana kaka ake nashukuru kwa kulifahamu hilo.

Barikiwa sana.
You too
ad04cee6399b0d07404c0c3cc49d7ca2.jpg
 
Mbona hili liko wazi mkuu.sema wengine wanajificha sana kukupa swaga za uongo na ukweli lakini the botom line anachotaka kwako ni mkwanja tuu mapenzi tupa kule.
Ila sema sasa hivi akili za wanaume wengi ziko sawa kidogo kutokana na hali ilivyo
 
Daaah Yani shida wameweka mbele wako nyuma yani akili zao wanazijua wenyewe
 
Hahaaa. Inategemea mkuu kwa sababu kama ni hizi tunazoziona kwenye Wallet sidhani kama huwa zinashawishi mpaka kuua mtu wakati hujui hata njia anazotumia kuipata hiyo pesa.
Ila ukigundua anazo nyingine nyingi, lazima ushawishikike kumuua c ndio,

Ndio mana huwa sishawishiki kuoa mwanamke anaemiliki lipstick na wanja
 
Back
Top Bottom