Wanawake wanapitia mateso na manyanyaso makubwa sana kwa wanaume zao

Mtoa mada ni jinsia gani kwanza..

unaonea huruma hawa viumbe siku ukichomewa ndani ndio utajua hujui

Acha kuandika upuuzi wewe
Wanawake kibao tunaishi nao mtaani tunaona shida wanazopitia kwa wanaume zao
Ebu kwenda bhana ujui chochote wewe
 
Wanaume tunawatesa sana hawa wanawake inafikia stage hadi mwanamke anaongea mwenyewe jinsi gani anapitia magumu kwa mwanaume wake

Wanawake wanapitia mateso na manyanyaso makubwa sana kwa wanaume zao

Unakuta majukumu yote anaachiwa mwanamke huku mwanaume akiponda starehe bila wasiwasi wowote huku hajui watoto wanakula nini wanavaa nini

Hawa wanawake tunawabebesha mizigo mizito sana hata mwanaume ukipewa huwezi kuibeba yote

Mwanaume una unatelekeza watoto na familia bila kujua wanaishi vipi na wanapitia yapi wewe mwanaume unajijali wewe na nafsi yako huu ni ubinafsi wa hali ya juu

Mwanaume unamfanyia vitu ambavyo vinamdhalilisha mwanamke na unaona ufahari

Mwanaume unampa kimada chako kila kitu anachotaka wakati familia yako huwezi kuwafanyia kitu kama hicho

Mwanaume unamkataa mtoto au watoto wako kwasababu ya tamaa zako zisizo na umuhimu wowote

Mwanaume unamdharau mwanamke kwasababu una uwezo au kwasababu umemzalisha na kapoteza Muonekano wake wa awali

Wanaume tupunguze tamaa ambazo zitatutenganisha na familia zetu

Wanaume tupunguze UBINAFSI nikiri hili Wanaume sisi ni WABINAFSI SANA tunajilali wenyewe bila kuangalia familia

Wanaume tuwapende na tuwajali wake zetu ndo wenye umuhimu kwenye maisha yetu

Wanaume tupende na tujali familia zetu

Wanaume tuache kutelekeza damu zetu na kuzikataa kwaajili ya tamaa na ubinafsi

Wanaume tuache kuwanyanyasa wanawake na kuwatwisha mizigo mingi ambayo hawastahili kuibeba

Wanaume punguzeni ulimbukeni wa Wanawake hiyo michepuko haitokufikisha sehemu na hawatokuwa nawe kwenye kipindi utakachopatwa na matatizo

Wanaume kumpiga Mwanamke huo ni Ushamba, Ujinga na upumbavu

Hivi Wanaume unapataje nguvu ya Kunywa pombe wakati Familia yako hata cha kula hawana

Wanaume kuweni na Upendo Kwenye familia zenu kuanzia watoto na Mke wako (Family first)
Wee jamaa umesahau kiwa mateao tunayopitia sie wote wake kwa waume ni kwa sababu ya mwanamke. Wao ndio wametutesa sana.
 
Kuwa makini na wakina mama linapokuja suala la kumuonea huruma.....ni wajanja sana kwenye kuchukua sifa na lawama kuzipeleka kwa mwanaume, na wanaaminika kirahisi haswa kwa watoto.

Juzi nimemkuta mwanangu anamwambia mama yake nikikua ntakusaidia kulipa ada za wadogo zangu na ada huwa nalipa mm. Nikacheka ila ss nitabadili mfumo wa ada. Nitalipa kisha nimpe mwanangu risiti, mama yake abaki kuwa mpenzi wangu tu.
 
Ulivyoandika tu inaonekana huna akili
Usinishushie hasira zako mekuambia ukikua utawaelewa wanawake naamini kabisa hujaoa na wala hujaishi na mwanamke under one ruf kama anakuja mnagongana anaondoka hata mwaka mkibahatika utaisha kwa mikwaruzo midogo midogo.

Ila ishi nae ndani pika pakua ndio utajua kwann wengi wamekupinga
 
Yote tisa kumi Wanawake wengi wanapitia mateso tena mengi sana manyanyaso yote yao
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Usinishushie hasira zako mekuambia ukikua utawaelewa wanawake naamini kabisa hujaoa na wala hujaishi na mwanamke under one ruf kama anakuja mnagongana anaondoka hata mwaka mkibahatika utaisha kwa mikwaruzo midogo midogo.

Ila ishi nae ndani pika pakua ndio utajua kwann wengi wamekupinga

Sawa Mzee ila Kuna wanawake unyanyasaji wanaofanyiwa sio kabisa tunaona mtaani
 
Hizo ni exceptions chache za malimbukeni wa kipato, ila mwanamke mrembo au mwenye kipato mdhibiti mapema aelewe nafasi yake. Otherwise utalia kama nyuzi mbili tatu za jamaa humu ndani wanavyoonewa na wanawake
 
Kuwa makini na wakina mama linapokuja suala la kumuonea huruma.....ni wajanja sana kwenye kuchukua sifa na lawama kuzipeleka kwa mwanaume, na wanaaminika kirahisi haswa kwa watoto.

Juzi nimemkuta mwanangu anamwambia mama yake nikikua ntakusaidia kulipa ada za wadogo zangu na ada huwa nalipa mm. Nikacheka ila ss nitabadili mfumo wa ada. Nitalipa kisha nimpe mwanangu risiti, mama yake abaki kuwa mpenzi wangu tu.
Sasa wenzio hawalipi ADA wanakimbia majukumu, na ukute ni mtoto anakuwa busy na familia yakwao kuliko mke na watoto
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Wanaume tunawatesa sana hawa wanawake inafikia stage hadi mwanamke anaongea mwenyewe jinsi gani anapitia magumu kwa mwanaume wake

Wanawake wanapitia mateso na manyanyaso makubwa sana kwa wanaume zao

Unakuta majukumu yote anaachiwa mwanamke huku mwanaume akiponda starehe bila wasiwasi wowote huku hajui watoto wanakula nini wanavaa nini

Hawa wanawake tunawabebesha mizigo mizito sana hata mwanaume ukipewa huwezi kuibeba yote

Mwanaume una unatelekeza watoto na familia bila kujua wanaishi vipi na wanapitia yapi wewe mwanaume unajijali wewe na nafsi yako huu ni ubinafsi wa hali ya juu

Mwanaume unamfanyia vitu ambavyo vinamdhalilisha mwanamke na unaona ufahari

Mwanaume unampa kimada chako kila kitu anachotaka wakati familia yako huwezi kuwafanyia kitu kama hicho

Mwanaume unamkataa mtoto au watoto wako kwasababu ya tamaa zako zisizo na umuhimu wowote

Mwanaume unamdharau mwanamke kwasababu una uwezo au kwasababu umemzalisha na kapoteza Muonekano wake wa awali

Wanaume tupunguze tamaa ambazo zitatutenganisha na familia zetu

Wanaume tupunguze UBINAFSI nikiri hili Wanaume sisi ni WABINAFSI SANA tunajilali wenyewe bila kuangalia familia

Wanaume tuwapende na tuwajali wake zetu ndo wenye umuhimu kwenye maisha yetu

Wanaume tupende na tujali familia zetu

Wanaume tuache kutelekeza damu zetu na kuzikataa kwaajili ya tamaa na ubinafsi

Wanaume tuache kuwanyanyasa wanawake na kuwatwisha mizigo mingi ambayo hawastahili kuibeba

Wanaume punguzeni ulimbukeni wa Wanawake hiyo michepuko haitokufikisha sehemu na hawatokuwa nawe kwenye kipindi utakachopatwa na matatizo

Wanaume kumpiga Mwanamke huo ni Ushamba, Ujinga na upumbavu

Hivi Wanaume unapataje nguvu ya Kunywa pombe wakati Familia yako hata cha kula hawana

Wanaume kuweni na Upendo Kwenye familia zenu kuanzia watoto na Mke wako (Family first)
Ahsante sana

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Wanawake ni mabingwa wa kuongea, ni mabingwa wa kutafuta huruma kwa jamii, ni watu ambao jamii inawaamini sana. Mwanamke akisema wewe ni mwizi mtaani utafungiwa tela na hata kuuawa kabisa hata kama kakusingizia tu.

Mwanamke akisema anateswa jamii itaamini hata kama ni uongo, mwanaume huwa hawasemi chochote kuhusu maumivu yao.

Mtoa uzi ujue hilo leo mwanamke atasema flani hatoi matumizi lakini huko nyuma huenda alimwambia huyu si mwanao. Huend uko nyuma alikua mchepukaji hadi baba halisi wa mtoto hajulikani ila tu kaamua kumganda mwanaume glani na kumzushia mbofu mbofu isivyo halali.

Makinika na kauli zao za kusema wanateswa na kunyanyaswa ilhali wengi wao ni vi.
Siku zote tunatakiwa kuwa makini sana na wanawake. Hawa ni mafundi sana wa kugeuza maneno. Na akiwa wakwanza kushtaki yeye kuna maranyingi anakuaga mwanzilishi wa ukorofi. Wanaume hatupendi mwanamke anae ongea ongea sana, hata tukikosea kuna namna mwanamke anatakiwa kuongea na mwanaume wake wakayamaliza. Ila akileta kimdomo tatizo lingine linazaliwa. Wengi wanavburi, jeuri, umalaya, matusi na kukosa heshima kwa wanaume ndio unaskia kala kichapo, kaachwa, kaachiwa nyumba mwanaume kasepa. Tusiwe wepesi kuwaskiliza na malalamiko yao.
 
Siku pesa na nguvu za kiume zikiisha ndiyo anarudi kwa mkewe kwasababu mke ndiye mbeba takataka, aise mie simpokei kabisa.
Anaweza asirudi kwako kabisaa usijifariji wakati hujarekebisha matatizo yalio mfanya aondoke kwako
 
zunguka Uone wanawake wanayopitia then ndo utakuja na hizo sababu zako za chekechea
Si andiki tu kwa kuwa nimeandaka naishi na mwanamke. Nawajua vizuri. Tunavumilia na kuwaelimisha kila siku la sivyo siku nyingi sana ningekuwa nimetimua mtu.
 
Anaweza asirudi kwako kabisaa usijifariji wakati hujarekebisha matatizo yalio mfanya aondoke kwako
Wewe fuatilia wanao ondoka kwa mbwembwe, sio wanarudi kwakupenda wanarudi ili wafie pazuri, unazani wanapo ondoka tatizo ni mwanamke? Usikariri!
 
Wanaume tunawatesa sana hawa wanawake inafikia stage hadi mwanamke anaongea mwenyewe jinsi gani anapitia magumu kwa mwanaume wake

Wanawake wanapitia mateso na manyanyaso makubwa sana kwa wanaume zao

Unakuta majukumu yote anaachiwa mwanamke huku mwanaume akiponda starehe bila wasiwasi wowote huku hajui watoto wanakula nini wanavaa nini

Hawa wanawake tunawabebesha mizigo mizito sana hata mwanaume ukipewa huwezi kuibeba yote

Mwanaume una unatelekeza watoto na familia bila kujua wanaishi vipi na wanapitia yapi wewe mwanaume unajijali wewe na nafsi yako huu ni ubinafsi wa hali ya juu

Mwanaume unamfanyia vitu ambavyo vinamdhalilisha mwanamke na unaona ufahari

Mwanaume unampa kimada chako kila kitu anachotaka wakati familia yako huwezi kuwafanyia kitu kama hicho

Mwanaume unamkataa mtoto au watoto wako kwasababu ya tamaa zako zisizo na umuhimu wowote

Mwanaume unamdharau mwanamke kwasababu una uwezo au kwasababu umemzalisha na kapoteza Muonekano wake wa awali

Wanaume tupunguze tamaa ambazo zitatutenganisha na familia zetu

Wanaume tupunguze UBINAFSI nikiri hili Wanaume sisi ni WABINAFSI SANA tunajilali wenyewe bila kuangalia familia

Wanaume tuwapende na tuwajali wake zetu ndo wenye umuhimu kwenye maisha yetu

Wanaume tupende na tujali familia zetu

Wanaume tuache kutelekeza damu zetu na kuzikataa kwaajili ya tamaa na ubinafsi

Wanaume tuache kuwanyanyasa wanawake na kuwatwisha mizigo mingi ambayo hawastahili kuibeba

Wanaume punguzeni ulimbukeni wa Wanawake hiyo michepuko haitokufikisha sehemu na hawatokuwa nawe kwenye kipindi utakachopatwa na matatizo

Wanaume kumpiga Mwanamke huo ni Ushamba, Ujinga na upumbavu

Hivi Wanaume unapataje nguvu ya Kunywa pombe wakati Familia yako hata cha kula hawana

Wanaume kuweni na Upendo Kwenye familia zenu kuanzia watoto na Mke wako (Family first)
Una miaka mingapi ya ndoa mkuu...?
 
Usiwe haraka ku judge .Hawa wanawake wenyewe mnagombana kidogo hachelewi kukuambia HUYU MTOTO SIO WAKO. Ingawa irresponsible fathers wapo ila kila mtu kwenye mahusiano ana suffer kulingana na urefu wa kamba yake ya matatizo toka kwa mwenzake
 
Back
Top Bottom