syakuswighisya
Member
- Dec 29, 2015
- 37
- 22
naloli bha kanagho kuti!!!Abhajanga mkanamahala
naloli bha kanagho kuti!!!Abhajanga mkanamahala
e loli amasyo manywamu agha fii ugwe!!!
naloli bhakonyofu abhen kumyabho bhakajhapo bho abho bhikubhajobha? matingo itoloSibhabhagile kunongwa ja kuti bhikubhatuka n'ukubhafujula bha joubha, abhanyasenga, abhalumbu n'abhisukulu bhitu...!!
Bhakonyofu bhakindilile...!!
Tafakari...!!
nikikuwekea picha yangu, mama yangu, na dada zetu pamoja na watoto wao utatamani uhamie kwetu.kweli njombe mbeya ukiona mwanamke mweupe ujue carolite imehusika
Mbeya hiyo mkuu penda sana yeye acha kisu cha moyo wangu mbeya paache kabisa wadada wengi kule ni wasomi pia wastaarabu wanasikiliza waume zao wachaga hakuna kitu mkuu asikwambie MTU watataka wakutawale so sad kuoa mchaga bora Mkurya Mara billionAisee!! mzuri mke wako.
Ndaga fijoooooMbeyaaaa napapenda sana wakarimu aana
So chagga is the best!! u mean that?
Nimefuatilia post zako kwa makini na final nimegundua lengo lako kuu ni kuusifia uchaga na kuudharau ukusini,So chagga is the best!! u mean that?
ASANTE MISSING TOO MUMY YAANI ACHA TU UKUJE BASI JAMANIHello my daughter..... Missing you too
Njombe ipi mkuu?Wanawake WA Njombe wana waza pesa tu hawana cjui mambo yakujiremba remba ukibahatika kumpata mke kutoka Njombe umeula.hata kichwan wapo vinzuri sana
Umejuaje mkuu species za Kusini Zina tsha class Ile mbayaUnakuta demu sura kama anazima mshumaa wa besidei ila yanakuaga na akili kinoma!!