Wanawake wanaotoka Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Njombe & Iringa regions)

Aisee!! mzuri mke wako.
Mbeya hiyo mkuu penda sana yeye acha kisu cha moyo wangu mbeya paache kabisa wadada wengi kule ni wasomi pia wastaarabu wanasikiliza waume zao wachaga hakuna kitu mkuu asikwambie MTU watataka wakutawale so sad kuoa mchaga bora Mkurya Mara billion
 
Kwenda huko,kisimbilisi wee,na kumsotea kote huko mama Bhooke toka Imalinyi leo uje useme nimeoa mbaya...ivi unajua upendo anaonionesha ni GB ngapi kwanza?
 
mlianza kwa wanaume wa kisukuma sasa mnaingia kwa wanawake watokao kanda ya kusini kaskazini haya mkiimaliza nendeni na zanizibar pia nako mtuletee sifa na watu wa huko walivyo
 
maasai_rose-2-copy.jpg
heri ya mwaka mpya daddy
msalimie mummy measkron nimemiss atarudi lini? daddy
 
So chagga is the best!! u mean that?
So chagga is the best!! u mean that?
Nimefuatilia post zako kwa makini na final nimegundua lengo lako kuu ni kuusifia uchaga na kuudharau ukusini,

lakin tambua kwamba uzuri na ubaya wa mwanamke hautambuliwi kwa sifa moja au mbili ,kuna zaid ya hayo unayo yadhania wewe,

lakin wakati huo huo ukae ukijua jua mazingira ndiyo yanayi mshepu binadamu katika muonekano wa nnje, ndio maana kama hujatafakari kwa makin unaweza kudiriki kisema dar es salaam hakuna mwanamke mbaya , ukasahau utofaaut wa mazingira kati yao na wengine ,

urembo ni sifa ya mwanamke mvivu ( ingawa si wote wavivu ila ni wengi) lakin pia matumizi ya vipodozi pia yanahitaji kundi la watu wa aina fulan pia na kundi hilo ni dhahiri wataoneka katika sifa unayo usema wewe ,

nina uhakika ikipita sensa ya kuhesabu ni mikoa gani inaongoza kwa matumizi ya vipodozi nadhan hiyo mikoa ya kusini itashika nafasi ya mwishon mwishon. Na ndio maana wanawake wa kusini wanasifika pia kwa akili ya maisha,kujituma na kuchapa kazi sasa kwa sifa hizo sina hakika kama wataweza kuwa na sifa ya urembo pia, maana kuchapa kazi na kujituma katika Maisha huwa vinatofautiana kidogo na urembo.
 
Last edited:
Wanawake WA Njombe wana waza pesa tu hawana cjui mambo yakujiremba remba ukibahatika kumpata mke kutoka Njombe umeula.hata kichwan wapo vinzuri sana
 
Back
Top Bottom