Wanawake wanaotoka Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Njombe & Iringa regions)

Kama hii ndio mjadala inayojadiliwa na wasomi kutoka vyuo vikuu mbali mbali......bado tuna safari ndefu sana kuyafikia malengo kama taifa....
 

uzuri wa kitu upo machoni pa mtazamaji. hawa wanawake wanaooneka warembo kinacho wabeba cha ziada ni jinsi wanavyo jiamini na kujitambua.
 
Mimi ni MTU wa Mara mzanaki nimeowa mbaya bans acheni uongo au uzalilishaji wenu hapa shemeji yenu ni MTU wa mbeya lakini ona kisu hiki
 

Attachments

  • 1451540165722.jpg
    1451540165722.jpg
    52.8 KB · Views: 41
Back
Top Bottom