Wanawake wanaotafuta wachumba humu ni noma!

Mkuu, PM huishia huko huko PM, usilete nje mambo ya PM, na mwanamke hawezi tu kuanza kukuomba hela kama wewe hukujitapa kuwa unazo, we unapotongoza mwambie we ni maskini sana na kuwa uwezo wako ni kula mara 1 tu kwa siku ila umempenda. Lakini ukiaanza oo sijui ninaenda kulipia insurance gari langu lazima atajuwa ulikuwa unamjulisha una pesa.

Nakumbuka jamaa yangu mmoja akikuta wanawake anaanza kujiongelesha; Unajuwa lile duka langu la spea za magari kariakoo limefanya hivi mara vile, ndiyo nyieeeeeeeee.

Mwambie mi sina hata sumuni na hata akikupa usimpe mpaka siku utakapopenda mwenyewe, lasivyo mkubaliane kama mnauziana.
 
Kituko kipo facebook bwana. Mtu anakutumia friendship request hata humjui. Ukimuaccept, message ya kwanza anakusalimia. ya pili anakuita dear, ya tatu sweet, ya nne my love, ya tano matatizo yake, inayofuata anaomba hela. Hizi message zote unazipokea in the same day, pengine ni muda wa saa moja tu. Huwa najitahidi sana kujibu zile zote za awali, lakini akishaniambia anaomba hela, basi ndo mwisho wa kujibu message zake.

Au mwingine anafuata the same trend halafu anamalizia na kuomba namba ya simu kwa kisingizio cha eti ana jambo private anataka akushirikishe. Ukimpa tu you are gone, kila siku atakupigia kukueleza hili mara lile akitaka umsaidie hela.

Hivi najiuliza akina dada wa Tanzania hali zao zimekuwa mbaya kiasi hiki? Yaani mtu unamwona kama ni dada wa heshima kweli, lakini anakutongoza live na kukuomba hela as if mnafahamiana kwa muda mrefu. Halafu cha kushangaza wengine wameandika kwenye status zao kwamba ni married. Nafikiri hali ya nchi sasa imefika pabaya kwa kweli!
 
wanaomba mshiko kupitia Pm hata kabla hamjaonana! mara kodi yangu ya nyumba imeisha,mara bima yangu ya gari imeisha,mara nirushie vocha Jamani kuna wanaume wako serious hapa jamvini!

baby.... gari langu halijapata service mwezi huu!!!! afu huwa nafanyia service kule TOYOTA sio garage bubu.........
 
Kituko kipo facebook bwana. Mtu anakutumia friendship request hata humjui. Ukimuaccept, message ya kwanza anakusalimia. ya pili anakuita dear, ya tatu sweet, ya nne my love, ya tano matatizo yake, inayofuata anaomba hela. Hizi message zote unazipokea in the same day, pengine ni muda wa saa moja tu. Huwa najitahidi sana kujibu zile zote za awali, lakini akishaniambia anaomba hela, basi ndo mwisho wa kujibu message zake.

Au mwingine anafuata the same trend halafu anamalizia na kuomba namba ya simu kwa kisingizio cha eti ana jambo private anataka akushirikishe. Ukimpa tu you are gone, kila siku atakupigia kukueleza hili mara lile akitaka umsaidie hela.

Hivi najiuliza akina dada wa Tanzania hali zao zimekuwa mbaya kiasi hiki? Yaani mtu unamwona kama ni dada wa heshima kweli, lakini anakutongoza live na kukuomba hela as if mnafahamiana kwa muda mrefu. Halafu cha kushangaza wengine wameandika kwenye status zao kwamba ni married. Nafikiri hali ya nchi sasa imefika pabaya kwa kweli!

Desperate situation need Desperate measure.
 
Nawewe si unamnyima kimya kimya kama alituma pm we hapa unayaleta yanini,ilikua siri yenu wawili sasa imekua ya wote.mbona mlipotumiana maombi hukutujulisha.
umeonaeeh kaka...kama aliku pm na wewe m-pm sina au mpe kwa siri c kutuambia sisi....
 
Nawewe si unamnyima kimya kimya kama alituma pm we hapa unayaleta yanini,ilikua siri yenu wawili sasa imekua ya wote.mbona mlipotumiana maombi hukutujulisha.

Hebu piga kimya binti

Mwenzio napata mauzoefu hapa maana yaweza kunikuta na uzee huu..

Eh, mkuu sasa ukiombwa unawajibuje? au unawachomolea vipi...?
 
Back
Top Bottom