Wanawake wanaoomba pesa kwenye mapenzi sasa hivi ndio wanaitwa TAMISEMI?

Wanawake wanaoomba pesa kwenye mapenzi sasa hivi ndio wanaitwa TAMISEMI?

Mwingine nimetoka kufuta namba yake na kumpiga pini kabisa jioni hii.

Ka-upload status "NANI ANIKOPESHE LAKI TANO, NISIPOMLIPA NAMPA 🍑 then akaweka neno (jokes) , nikajua huyu yupo serious, hakuna jokes hapo.

Sitaki cycle yangu kuingia mdudu aisee.!
Daàaah
Naomba namba yake ili nimwambie alichokifanya sio kitu kizuri.
 
Nafikiri unamaanisha fursa sawa, Hata hivyo hakuna haki sawa hata kati ya wanaume wenyewe, mfano watoto wa wa kiume wa watawala na watu wenye connection wana haki na fursa zaidi kuliko watoto wa kiume wa raia wa kawaida tu.
Naongelea usawa siongelei connection, au nepotism na feminism kwako ni kitu kimoja?
Mimi naamini kwenye merits, mtu yeyote awe mwanaume au mwanamke apewe kazi kulingana na uwezo wake wa kuifanya hiyo kazi bila kujali jinsia yake, dini au kabila.
Hilo nalitambua lakini hatuwezi ku-implement usawa for the sake of usawa, lazima effectiveness zake zionekane mtaani otherwise huo usawa hautakua na maana tena.

Ukipewa elimu maana yake unajengewa uwezo wa kuyatafsiri mazingira na kuja majibu ya changamoto zinazokuzunguka. Ukipewa ajira maana yake automatically unaondolewa kwenye kundi la watu tegemezi. Utawajibika kujilipia mahitaji yako na kuchangia kila kitu unachotumia.

Sasa mwanamke apewe elimu na ajira lakini mwisho wa siku jukumu la kutatua matatizo yake na mahitaji kifedha libebwe na mwanaume, je haki sawa ina tija kwenye jsmii yetu?
 
Naongelea usawa siongelei connection, au nepotism na feminism kwako ni kitu kimoja?

Hilo nalitambua lakini hatuwezi ku-implement usawa for the sake of usawa, lazima effectiveness zake zionekane mtaani otherwise huo usawa hautakua na maana tena.

Ukipewa elimu maana yake unajengewa uwezo wa kuyatafsiri mazingira na kuja majibu ya changamoto zinazokuzunguka. Ukipewa ajira maana yake automatically unaondolewa kwenye kundi la watu tegemezi. Utawajibika kujilipia mahitaji yako na kuchangia kila kitu unachotumia.

Sasa mwanamke apewe elimu na ajira lakini mwisho wa siku jukumu la kutatua matatizo yake na mahitaji kifedha libebwe na mwanaume, je haki sawa ina tija kwenye jsmii yetu?
Sieweli swali lako?
Kwa mfano kazi imetangazwa wanawake na wanaume wametuma maombi wamefanyiwa usahili mwanamke amepata ufaulu mkubwa kuliko wanaume katika interviews unataka huyo mwanamke asipiwe hiyo kazi kwa sababu hata akiwa na kazi ataendelea kuomba pesa kwa wanaume??
 
Ila mimi huwa nakaa chini na kufikiria

Hivi mimi pamoja na kuwa mwanamme napata shida kupata hela Kwa binti ambaye hana kazi je?

Muda mwingine tuwaonee huruma ni umaskini tu

Kumbuka mwanamke matumizi ni mengi

1.Lotion ya ngozi anukie vizuri
2. Set za nguo za ndani , mwanamme waweza kuwa na boxa mbili maisha yakaenda
3. Deodorant , mwanamke akinuka kikwapa hapana ila kwa mwanamme hata ukinuka kama beberu poa
4. Kuna issue za period kila mwezi

Kwa ufupi wana mambo mengi
Hata sizungumzii haya uliyasema hapa,

Points yangu ya msingi ni kuwa huwa hawaridhiki, akiona tu mtu mwenye gari tayari ameunga chain.
 
Ushaona status ya mwanamke mtu mzima imeandikwa.

SI AJITOKEZE MTU ANIULIZE NINATAKA NINI, NIMTAJIE SHIDA ZANGU ZOTE.
Kuna mmoja last week niliona kaweka status hivo halafu akapost pia na watu walivyo reply na asilimia kubwa ya waliojibu wote ni wanaume wajinga wenzake
 
Attachments

  • IMG_8586.png
    IMG_8586.png
    638.7 KB · Views: 11
Sieweli swali lako?
Kwa mfano kazi imetangazwa wanawake na wanaume wametuma maombi wamefanyiwa usahili mwanamke amepata ufaulu mkubwa kuliko wanaume katika interviews unataka huyo mwanamke asipiwe hiyo kazi kwa sababu hata akiwa na kazi ataendelea kuomba pesa kwa wanaume??
Siongelei kesi moja moja naongelea suala zima kwa ujumla wake. Haki sawa inaenda sambamba na wajibu sawa. Mwanamke kupewa haki sawa na bado kutaka lifetime provision kutoka kwa mwanaume, je haki sawa ina tija kwenye jamii yetu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom