Wanawake wanaongea duh...!

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,104
2,489
Akiwa nje ya mood anatupa neno moja moja hata kujibu kwake ni kitendawili saa zingine, akiwa ndani ya mood ndo sikukuu inakuwa ndefu na uwingi wa maneno iwe ya kukera ama ya kufurahisha na wakati mwingine anajipamba kabisa na kutembea kwa madaha kunakuwa juu!

Wanawake bwana ha ha ha!


Mna vituko sana ninyi wanawake, ila nawapenda sana, siwatupi ninyi!
 
Kitabibu wanawake huongea maneno takribani 24elfu per day. Xo nilazma waongee either wapatapo nafas or not, bt dey 've 2talk. Msishangae guys hyo n kawaida kwao. LA..!
 
Kumbe wanawake ndivyo walivyo! Wanaume je?

Mwanaume anakuwa haongei kama mwanamke anaongea sana, zaidi raha ya mwanaume ni kusikiliza kwa sana, akiongea sana ni pale ambapo mada inamhusu kwa sana!
 
Back
Top Bottom