Wanawake wanaojiuza, si wale tu wanaosimama barabarani na kwenye baa

Status
Not open for further replies.
Wakala wangu sijui utaitwaje?????? wakala wa changudoa hahahaha!!!!! ntakukuadia na wewe kimataifa.

mimi dalali tu aka kuwadi mkuu. Hakuna mtu kupata papucci mpaka awe amelipa dola. Inabidi kuweka viwango vizuri ili tutengeneze pesa nzuri. Hii inatakiwa ifunguliwe mapema kabla ya serikali kulasimisha biashara na kututaka tulipe kodi. Wakati serikali inashtuka sisi tulishazichanga za kutosha na wewe ulishakufa kwa ukimwi
 
Wao ndio chanzo. wakivaa vizuri na kufunga miguu yao sidhani kama haya yangetokea.
usiwatukane Mama zetu
kwani bila wao wewe usingezaliwa
ama yetu alipoenda kwa shetani mpaka akarudi kwa adan kwanini wewe hukumzuia?????

ukikua utaacha kwani hakuna mwanamke anayeishika mikononi na kuitangaza bali ni wanaume ndio wanaowafunua
Makosa ni yako
bora wakipita funga macho tuachie wenyewe tanaohudumiwa na MACHANGUDOA
 
Samahan mtoa mada.wewe ni bikra?ila asante kwa ushauri japo sitaufanyia kazi.mm changudua.na hela lazima unipe kama ungekua bwana angu..mxuuuu
 
Mm nasema ivi machangudoa tunao wengi sana kila pahala..ofisini,majumbani, mitaani,kila mahali. Sasa basi mwanamke yeyote anaetoa penzi kwa minajili ya kujipatia pesa toka kwa mwanaume uyo ni changudoa,so wale wote wanaojiita team no free p n machangudoa
 
mimi dalali tu aka kuwadi mkuu. Hakuna mtu kupata papucci mpaka awe amelipa dola. Inabidi kuweka viwango vizuri ili tutengeneze pesa nzuri. Hii inatakiwa ifunguliwe mapema kabla ya serikali kulasimisha biashara na kututaka tulipe kodi. Wakati serikali inashtuka sisi tulishazichanga za kutosha na wewe ulishakufa kwa ukimwi

hahahaha!!!!! dua la kuku hilo....................
Tigo yako si unayo?????? iuze kwa dola inalipa sana watu wajilie vyao
 
hahahaha!!!!! dua la kuku hilo....................
Tigo yako si unayo?????? iuze kwa dola inalipa sana watu wajilie vyao

hiyo ni kwa mawasilianoo tu yaani ukisikia fyuuu ama druuuu basi ujue mtu kashiba.
Unajua sipendi biashara holela unayofanya ni vema tukaunda saccoss kwa hicho kipochi manyoya chako kwani huna hiyana. Mi dalali na ukipata wenzako nawashauri muunde chama na napendekeza kiitwe CHAWAKU (chama cha wauza k..) mi ntakuwa dalali wenu tu na si kingine.
 
Unyanyasaji wa kijinsia upo kwa namna nyingi.
Hivi kuzaliwa mwanamke ni kosa??
Kwani mwanamke hana hamu ya ngono kama mwanaume?
Mwanamke hana maamuzi kuhusu maisha yake binafsi?
NI KWELI ZINAA NI DHAMBI
Ila kama binadamu tunafanya kwa udhaifu wetu kwanini ihalalishwe kwa mwanaume na iharamishwe kwa mwanamke??

Mtuache jamani, msitusakame mkaatuathiri kisaikolojia tukajuta kuwa wanawake.

Mbona hamuanzishi mada zenu za uovu wenu??
Halafu haya mambo humu Jf ni kama yameibuka ghafla tu.... NI NINI??
MTUACHE JAMANI, NYINYI SIO MIUNGU WA KUTUHUKUMU.

Kutoka moyoni umeyatoa uyaonayo hayapendezi heko:thumbup:
 
Umekosa la kuandika?
Je wewe ni BIKRA uwe mwanaume au mwanamke?



Wewe kama hujaolewa halafu unapanua miguu kwa jamaa ambae sio mume wako, yani boyfriend au mchumba, ujue wewe ni changudoa. Huna tofauti na wale wanaosimama usiku kujiuza.

Japokuwa wewe husimami usiku lakini jijue kuwa na wewe ni changudoa kwasababu wote mnapewa pesa baada ya tendo. Hata kama hupewi mara tu baada ya tendo kama wanavyofanya changudoa wanaosimama barabarani, lakini unapewa pesa za matumizi na mtu ambaye si mume wako kisha ukampanulia miguu, jua wewe ni changudoa au tunaweza kukuita changudoa mwenye kiwango.

Kwa wale dada zangu ambao bado hawajaingia katika hii biashara nawashauri kufunga miguu yenu masije kujiingiza katika hii bihashara. Kwasababu mbali na kumchukiza Mungu unakuwa unajishusha thamani wewe mwenyewe.

Halafu uzuri wake ukifanya hivi huwezi ukaja kukosa wa kukuoa dada.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom