Wanawake wanao tafuta wanaume mtandaoni wanatofauti gani na wale wanaojiuza?

sasa kama hajaona chaguo lake kwa woote wanaomzunguka ,atajaliona kwa asiowafahamu hata sura? ,sina shaka kwamba hakuna kitu kama hicho
unaekutana nae katika daladala na wa humu tofauti iko wapi??? kaka hizi za online inaonekana bado mgeni sana kuonana sura jamani si ndo kazi ya video call au unahisi tunapendania hapa hapa katika maandishi na kingine, sio kila anae kuzunguka analika
 
acha usenge basi na wewe au nawe n walewale ,yani huwezi niambia woote waliomtongoza hawamfai mpaka aje aombe kutongozwa mtandaoni,mtu wa hivyo hatongozwi,hafai,au malaya .
 
acha usenge basi na wewe au nawe n walewale ,yani huwezi niambia woote waliomtongoza hawamfai mpaka aje aombe kutongozwa mtandaoni,mtu wa hivyo hatongozwi,hafai,au malaya .
chaaa muda wote nlikuwa najua naongea na mtu!!!! matusi huwa nayafanya tu kutamka siwezi byeee
 
Je ww nikitaka kukutongoza nakupata wapi?? Mitandao imepunguza gharama za usafir zisizo kuwa na maana.. unayongwa whats app.. unatuma mpaka picha ya k tunaitahmani then unaitwa uliwe basi.. dunia kijiji ww
 
Aaaah,,wapi bhanaa mbona tunadanganyana mchana kweupe ndugu yangu
yani chaguo lake hajaliona katika wanaume wote wanaomzunguka aje alione kwa watu asiowafahamu. NOOOO THANKS
Unajuaje
Kuna wengine walishaanzisha uhusiano na hao unaowasema wa Mtaani wakashindwana .pia elewa wa humu hao ni watu kama mnaweza anzisha urafiki wa kusaidiana mambo mengi
Why ushangae uchumba
Mnanishangaza sana au mnajitoa akili tu
Kila MTU anapoona pazuri
Yakimshinda ya humu si atarudi unapoona
Shida nini
 
halafu mbona wamitandaoni ndio haohao wanaopishana kila siku huko mitaani
Labda wanadhani Maroboti
Halafu hivi hata ukikutana na MTU Mtaani ni lazima muwe mnajuana kabla
Mbona watu huwa wanaexchange no.za simu harusini, misibani.Wanaanza chatting body wapenzi.Tofauti ni IPI na hapa
Tuache ushamba
 
ndugu hao wanaume ambao utakutana nao sehemu zote hizo si ndo hawa hawa walioko love connect au wa humu wanaishi sayari tofauti. ninachoamini mapenzi ni popote inategemea tu kama it’s meant to be mnaweza kutana sehem ya hatari na ndo penzi likanoga mnoo. kikubwa zaidi ni wewe na mtazamo wako mf. kuna wengine huwa wanachukulia mabar maid ni vicheche ila kuna waliojilipua na wanafurahia ndoa zao
Huyu mgeni katoka Kolomije
Anadhani watu wa Love connect wametoka Sayari
Usikute wapo Mtaa mmoja
Au nimsaidie hii mitandao ni njia tu ya kurahisisha mawasiliano
Ni sawa na zamani kutuma barua but now days ni simu
Nayo utashangaa
Huwa nawaonaje watu wanaoshangaa watu kuanza upenzi humu
Hawajiulizi watu kama waanzilishi wa JF na kwingineko why waanzishe love connect. Wakilijua hilo watatuliza akili
Halafu kujiuza Ohio na kufananisha na humu ni ukosefu wa uelewa au kitu science na technology vimewapita
PIA Naona huruma kwa wanaotishwa wkt wengine tumepata humu humu na life is so sweet.
Kila MTU na mahali pake Mtaani au humu sawa
Ukiona ni kujiuza whatever you will call it sawa.Ni mtazamo wa MTU.
Ila poleeeeeeee
 
sasa kama hajaona chaguo lake kwa woote wanaomzunguka ,atajaliona kwa asiowafahamu hata sura? ,sina shaka kwamba hakuna kitu kama hicho
Wewe umetokea wapi mbona kama si mwelewa
Kwani huelewi nini
Ninachojua watu watapeana no .like ya Whatsaap au kawaida kuna video call kuna sijui Viber
Mdogo mdogo watapanfa appointment waonane.
Then mengine yanafuata
Mbona u mbishi au shida ni nini
Hivi unaweza ghafra ukasema namuoa huyu au unakuwa mapenzi bila process za hapo juu
Unachoshaaa bwana
Ushauri.
Kama wewe huamini wenzio tunawaamini watu wa humu na wewe unawaamini ndo Mana hata tunachat
Unataka kuniambua pm huna marafiki unaochat nao??
Why mkikubaliana muonane live utaogopa?
Why ukikubari na mkaanzisha uhusiano utakuwa mhuni?
Be wise, think logically
 
Vipi tena best angu, siku hizi huniamini eeeh
Umenihuzunisha kusema tuliopata wapenzi humu huko hatujapata au ni wahuni
Hata wewe unaamini hivyoi
Nje watu wanatongozaaa but sio lazima ukubarii
Kifupi ni choice ya MTU.pia hata humu waliomo ni binadamu ndo Mana huwa tunachat as if tumeonana na wengine kukutana live toka humu
Na walioanzisha love connect sidhani kama walikurupuka
Na sio kweli kwamba wadada wanaoleta application zao hawavutii trust me wengi ni vyuma.
Kuna MTU aliwai mwona MTU live toka humu na aliweka Bango
Hakuamini Mana ni wale dizaini akipita wote macho kodo
Utasema huyo hapati au mbaya
Sijui nisemeje.nmNi choice na pia watu wa humu ni hao hao wa mitaani .Na uzuri wa humu through chattings na comments unamlearn MTU vizuri..
Tena wa Mtaani unaweza usimjue vizuri hulka zake
 
mbona kawaida mkuu.huku mtandaoni ni mkutano wa watu kama mkutanoni,ibada,sherehe etc...I am on dating site and am having fun,inaelekea unataka kujiunga unaogopa watu watakujudge,lol
 
Umenihuzunisha kusema tuliopata wapenzi humu huko hatujapata au ni wahuni
Hata wewe unaamini hivyoi
Nje watu wanatongozaaa but sio lazima ukubarii
Kifupi ni choice ya MTU.pia hata humu waliomo ni binadamu ndo Mana huwa tunachat as if tumeonana na wengine kukutana live toka humu
Na walioanzisha love connect sidhani kama walikurupuka
Na sio kweli kwamba wadada wanaoleta application zao hawavutii trust me wengi ni vyuma.
Kuna MTU aliwai mwona MTU live toka humu na aliweka Bango
Hakuamini Mana ni wale dizaini akipita wote macho kodo
Utasema huyo hapati au mbaya
Sijui nisemeje.nmNi choice na pia watu wa humu ni hao hao wa mitaani .Na uzuri wa humu through chattings na comments unamlearn MTU vizuri..
Tena wa Mtaani unaweza usimjue vizuri hulka zake
Mie sijabisha, ila naamini Mke/mume bora mtu hupewa na Mungu!!! Haijalishi mmekutana wapi
 
Wewe umetokea wapi mbona kama si mwelewa
Kwani huelewi nini
Ninachojua watu watapeana no .like ya Whatsaap au kawaida kuna video call kuna sijui Viber
Mdogo mdogo watapanfa appointment waonane.
Then mengine yanafuata
Mbona u mbishi au shida ni nini
Hivi unaweza ghafra ukasema namuoa huyu au unakuwa mapenzi bila process za hapo juu
Unachoshaaa bwana
Ushauri.
Kama wewe huamini wenzio tunawaamini watu wa humu na wewe unawaamini ndo Mana hata tunachat
Unataka kuniambua pm huna marafiki unaochat nao??
Why mkikubaliana muonane live utaogopa?
Why ukikubari na mkaanzisha uhusiano utakuwa mhuni?
Be wise, think logically
"Njia ya mtu huonekana kuwa sahihi machoni pake mwenyewe lakini ndio njia ielekeayo mautini"
 
Back
Top Bottom