Wanawake wanajisikiaje pale unapoambiwa umenimalizia nguvu zangu na mwili wangu umeudhoofisha?

dimaa

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
4,143
5,609
Habari zenu,

Katika tendo la ndoa, anayetumia nguvu kubwa ni mwanamume na ndiye muhanga mkuu wa kudhoofika kiafya, ikatokea unaona mwili unazidi kukosa afya , ukafikia hatua ya kumwambia mkewe kwamba umenifanya hadi nimedhoofika kiafya kutokana na yeye kuhitaji tendo lifanywe kila siku, kila ukimwambia tuvumilie japo wiki moja lakini yeye haelewi. Ikafikia hatua ya kumwambia hivo, je huwa wanajiskiaje?

Karibuni,


By

Dimaa.
 
unahitaji usaidizi mke mmoja anakushinda wanne utakimbia nchi
 
Kwani lazima jamani, huku kupelekea kudhoofisha si kuzuri afya kwanza. Na pia kila jambo ni kupanga, ila kufia stage hii kuna kukomoana.
Jike la namna hiyo litajiskia raha sana maana ni yye peke yake
 
Kula kukizidi sana huleta kuvimbirwa na njaa ikizidi sana huleta vidonda vya tumbo
 
Back
Top Bottom